Ugonjwa wa Kusahau/Kupoteza Kumbukumbu: Dalili, Tiba na Ushauri wa Kukabiliana na Hali Hii

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,809

memory loss.jpg


Memory Re-writes To Treat Disorders
Scientists have succeeded in conquering fear in human volunteers by "rewriting" their memories.

The breakthrough follows similar results in animal experiments, and could lead to radical new ways of treating post-traumatic stress and other anxiety disorders without using drugs.

Earlier research had shown that emotional memories are susceptible to being modified each time they are retrieved.

For a short "consolidation window" period of six hours, a resurrected frightening memory can be tamed by re-training so that it no longer feels threatening.

The technique was demonstrated in rats taught to associate a certain sound with an electric shock.

Now scientists in the US have gone a step further and shown that what is true for rodents also applies to humans.

Researchers led by Professor Elizabeth Phelps, from New York University, carried out an experiment in which 20 volunteers were first conditioned to fear coloured squares by pairing them with electric shocks to the wrist.

The next day the memory was re-activated by once again showing participants the feared squares. By measuring electrical conductance of the skin, which increases when the nervous system is aroused, the scientists confirmed that the volunteers were experiencing a fear response.

The researchers then started the reprogramming process, known as "extinction training", designed to erase the fearful memory.

Volunteers were repeatedly exposed to the coloured squares, this time without the accompanying shocks. Eventually the once-frightening objects came to be regarded as harmless. Repeating the test 24 hours later showed that the fear associated with the squares had gone - but only in participants whose memories were rewritten soon after fear reactivation


BAADHI YA WANAOHITAJI KUELEWA TATIZO HILI
Mama yangu amestaafu Miaka kama mitano sasa, na hajawahi pata shida yeyote huko nyuma lakini tokea Mwaka jana Mwezi wa nane Tumeanza kuona ana tatizo la kupoteza Kumbukumbu na kuwa na Hofu. Alifanyiwa citi scan ya kichwa regency Hospital lakini haikuonyesha kama ana tatizo kubwa ila ajabu pamoja na kutumia dawa karibu Mwaka sasa bado haonyeshi kuimprove.

Kiufupi hana tatizo la kipato wala mtu wa kumtegemea na since amestaafu hajawahi pata shida yeyote. Naomba msaada na ushauri kwa sasa nimemuagizia Omega toka canada za kumsaidia.

Pia kuna muda anakuwa vizuri sana na huwezi jua kama ana shida ila kuna muda hadi kwake hakujui na anakuwa mkali kama kichaa kabisa.
Wanamzengo bila shaka ni wazima na buheri wa afya kwa kila mmoja wenu

Kwa wale ambao hawako vizuri kiafya mungu awafanyie wepesi wawe wenye afya njema

Naomba nisipoteze muda nijielekeze kwenye mada:-

Nina tatizo lakupoteza kumbukumbu kwa haraka sana

Nimeanza kugundua hili tatizo miaka kadhaa iliyopita ila saivi naona kama linazidi mno yaani nikifanya jambo au kuzungumza namtu dakika 2 mbali nakuwa nishasahau 90% yamazungumzo

Najikuta nakuwa muongo maana mtu anakuwa haamini kam kweli nimesahau jambo lililoongelewa punde tu alafu namwambia mtu sikumbuki kitu duh anaona namtania.

Lakini pia inanipelekea kutokuwa na uhusiano mzuri nawatu maana wananiona mzembe (careless) jambo linaloniumiza sana

Kwenye uhusiano naonekana mi cheater tu maana kwenye maongezi naweza kujikanyaga mpaka basi yaani nachanganya habari tu sijui hili limeongelewa lini wala saangapi nani anaweza kuvumilia hili mtu anakutua tu!!

Huko kazini sasa kituko tu yani mtu anakuita anakupa maelezo yakufanya kazi flani mwishoni anakuuliza umeelewa unabaki kumkodolea macho tu unachukua alichokutuma unasepa nacho unatumia akili nyingi nakuulizauliza kila mda mpaka unaboa mtu anakuona kichwa Maji

Muda mwingine nakuwa hasira bila sababu yaani mtu anakuuliza mambo ya jana ambayo hukumbuki chochote ukute ilikuwa ishu yakufarahia jamaa anacheka zake alafu ananiangalia namuona tu kama ananizingua

Hivi kuna mtu mwingine mwenye shida kama hii au niko mimi tu?

Hivi kuna suluhisho kweli litakalonifanya nirudi kwenye hali yakawaida nakufurahia kila kitu??

Maana nakosa fursa lukuki kwa sababu ya hii hali jamaniii

Inanitesaaa mno.

Naona bora niishie hapa jamani!!

MAJIBU NA MICHANGO YA WADAU
AINA SABA ZA MATATIZO YA KUSAHAU

1. Kusahau kwa muda mfupi (Transience)
Hii ni hali ya kusahau habari au matukio fulani yaliyopita. Tatizo hilo humfanya mtu asahau habari ambayo ameipata muda mfupi. Hata hivyo, habari ambayo mtu atakuwa haihitaji kuitumia mara kwa mara ni rahisi kuisahau.
Japokuwa hali ya kusahau mambo kwa muda mfupi inaweza kuonekana kama ni dalili ya udhaifu wa kumbukumbu, wanasayansi wa masuala ya akili huiona hali hiyo kuwa ni ya manufaa kwani huisafisha akili kwa kuondoa kumbukumbu ambazo hazitumiki na kuingiza kumbukumbu mpya na zenye manufaa.

2. Usahaulifu wa kutotilia maanani mambo (Absentmindedness)
Aina hii ya usahaulifu hutokea iwapo mtu hatilii maanani jambo fulani. Mfano, unaweza kusahau ulipoweka kalamu yako kwa sababu hukuweka maanani mahali ulipoiweka. Inawezekana ulikuwa unafikiria kitu kingine wakati unafanya hivyo, au huenda ulikuwa hufikirii chochote ila akili yako haikuchukua kumbukumbu ya tendo ulilolifanya. Usahaulifu huu pia ni pamoja na kusahau kufanya jambo fulani katika muda wake, kama vile kutumia dawa au kwenda kutimiza ahadi.

3. Kutokumbuka mara moja (Blocking)
Mtu anaweza kukuuliza swali ambalo unalifahamu kabisa, lakini ukashindwa kulijibu mara moja kwa kutolikumbuka. Huu huenda ni aina kubwa zaidi ya usahaulifu ambapo akili hushindwa kuifikia kumbukumbu mara moja.
Wanasayansi huamini kwamba usahaulifu huu ni kawaida kulingana na umri wa mtu unavyozidi kuongezeka .
Pia, usahaulifu huu huchangia kwa kiasi kikubwa kwa watu wenye umri mkubwa katika matatizo ya kukumbuka majina ya watu na vitu vingine. Hata hivyo, utafiti umeonesha kwamba watu huweza kunasa nusu ya kumbukumbu zao katika kipindi cha dakika moja.

4. Kumbukumbu potofu (Misattribution)
Kumbukumbu potofu hutokea wakati mtu anapokumbuka sehemu ya jambo kwa usahihi, lakini akakosea maelezo kadhaa kama vile wakati, mahali, au mtu husika. Usahaulifu mwingine wa aina hii ni pale unapoamini kwamba dhana uliyokuwa nayo ni halisi wakati ukweli ni kwamba ilitokana na kusoma mahali au kuisikia kwa watu wengine, lakini ukawa umesahau ukweli huo.
Aina hii ya usahaulifu iko zaidi katika wizi usiokusudiwa wa kazi za sanaa ambapo mwandishi, kwa mfano, anaandika habari fulani akidhani ni ya kwake kumbe aliisoma mahali fulani.
Kuhusiana na matatizo mengine ya kupoteza kumbukumbu, kumbukumbu potofu huendana na umri. Mtu anapozidi kuzeeka anakuwa anaingiza habari chache zaidi kwenye akili yake, kwani akili yake inakuwa haina uwezo wa kudaka habari kwa haraka.

5. Kudaka habari potofu (Suggestibility)
Kudaka habari potofu pia kunaathiri mfumo wa kumbukumbu, ambapo mtu huiweka habari hiyo katika akili yake akifahamu kwamba ni jambo la kweli wakati siyo kama alivyoliona wakati likitokea. Alidanganyika.

6. Kumbukumbu iliyojenga dhana tayari (Bias)
Kumbukumbu ya mtu ambayo tayari imejenga dhana fulani inayotokana na mambo aliyoyaona, imani fulani, mambo ambayo ameyapa mwenyewe kipaumbele, itamletea matatizo.

Dhana ambayo tayari unayo kichwani ni dhahiri itaathiri mawazo yako, hivyo kila ukitaka kukumbuka jambo fulani mawazo yako na dhana zako ni lazima yatatawaliwa na habari ambayo unaikumbuka.

Lakini, pamoja na hali hii, wanasayansi hawajafanya utafiti mkubwa kuhusu dhana aliyo nayo mtu na jinsi inavyoweza kuathiri kumbukumbu zake, pia hawajafahamu vyema iwapo hali hiyo huenda sambamba na umri.

7. Kumbukumbu mbaya (Persistence)
Watu wengi husumbuliwa na tatizo la kusahau mambo kila wakati lakini katika matukio mengine, kuna watu ambao huteseka kwa kuwa na kumbukumbu mbaya ambazo hutaka kuzisahau, lakini wanashindwa.

Kuendelea kwa kumbukumbu mbaya na zenye matukio yasiyopendeza au yenye kuleta hisia mbaya ni moja ya matatizo ya kumbukumbu.

Baadhi ya kumbukumbu hizi huonesha matukio ya kutisha na mengine ambayo huwa ni ya kufikirika na hivyo kuleta hisia mbaya.
Kumbukumbu hizi kwa watu wengi hutokana na matatizo ambayo waliyapata kama vile kudhalilishwa kijinsia au matukio waliyoyapata wakiwa vitani.

KUONDOA/KUPUNGUZA TATIZO
Amnesia ni ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu (lost of memory) ugonjwa huu aghlabu huwatokea vizee na watu wenye matatizo ya akili.

Mara nyingi mgonjwa husahau maneno au majina ya watu wake na mara nyengine husahau hadi jina lake pamoja na ukoo wake mzima, na husau yote yale yaliyopita katika maisha yake.

Sababu kuu ya maradhi haya ni kutengana kwa cells za ubongo kwa maradhi ambayo yanawakumbuka kwa njia moja au njia nyengine kutokana na upungufu wa mwendo wa damu ndani ya mwili.

Maradhi haya pia husababisha mtu kuwa kama "Zuzu" na mtu wa kutojifahamu.

Pia mtu anaekumbwa na maradhi haya mabaya, ima atakumbuka mateso yaliyomkumbuka au atakumbuka utoto wake na ukumbukaji wake unakuwa wa muda mdogo sana hauchukui hata dakika 10 basi tayari anakuwa kishasahau.

Rosemary: ni moja katika dawa inayojulikana kwa kuondoa au kupunguza maradhi haya. Zamani watu walikuwa wkaichemsha majani yake na kuvuta harufu yake pia walikuwa wakitengeza chai kwa majani ya rose mary kwajili wagonjwa.

Lodhi: ni moja katika dawa za kuzidisha Memory. Chukua lozi 10-12 na uziroweshe katika maji usiku wa kucha na uzitoe maganda yake na uzile kila siku. Pia uvute harufu ya Mafuta ya lozi kila asubuhi.

Walnut: nayo ni dawa inayosaidia sana kurudisha memory kila siku asubuhi ule kiasi ya 20gm pamoja na raisin 10 gm.

Apple pamoja na Asali nayo ni dawa nzuri kwa maradhi hayo kila siku uwe unakula pamoja na kikombe kimoja cha maziwa fresh ya ng'ombe.

Saga pili pili manga chembe 5 uchange na asali na unywe asubuhi na jioni kila siku.

Mgonjwa apewe zaidi Maziwa Fresh ya ngo'mbe pamoja na fruits kwa wingi.

tumia kwa kuda wa siku 21 Asubuhi,mchana na usiku kabla ya kula kitu kisha unipe feedBack.
VYANZO VYA TATIZO NI VINGI
Tatizo la kusau linasababishwa na mambo mengi sana. Mfano may be uko na jambo linalo kusumbua ambalo linakusababishia mawazo (stress), eventually hupati usingizi wa kutosha. Kumbuka kiafya unahsuriwa kulala masaa 8 kwa siku. Kupoteza kumbukumbu inamaanisha kwamba ubongo wako haupati mzunguko wa damu ya kutosha (fuzzy thinking are often connected to lack of blood flow to the brain). The brain responsible for short-term memory, concentration, sleep, sexual and emotional drives, and the 'feel-good factor.

This part is bathed by cerebrospinal fluid (CSF), which provides nutrients (glucose and oxygen) to the brain and the surface of the spinal cord. Some of the nutrients sent to the limbic system come directly from blood supplied by arteries of the brain, particularly the vertebral arteries in the neck. Pia ukiwa mlevi sana wa pombe kama konyagi kwa mfano.

Alcohol can produce detectable impairments in memory after only a few drinks and, as the amount of alcohol increases, so does the degree of impairment. Large quantities of alcohol, especially when consumed quickly and on an empty stomach, can produce a blackout, or an interval of time for which the intoxicated person cannot recall key details of events, or even entire events. In order to relieve your symptoms, I suggest you change your lifestyle for the second half of your cycle before you cry with one eye!!
NAMNA YA KUEPUKA TATIZO LA KUPOTEZA KUMBUKUMBU
Bila shaka wanajamii wote na washika dau wa JamiiForums mnaendelea vizuri na kazi zenu za kila siku. Mimi kama mshika dau kwa upande wa afya napenda kuwashirikisha namna ya kuepuka tatizo la kupoteza kumbukumbu kwa kutumia bidhaa za afya kama zilivyoelezwa hapo chini. Fuatilia maelezo yafuatayo:

CORDY ROYAL JELLY
Bidhaa hii imetokana na mmea wa cordy ceps sinensis na Royal jelly. Royal jelly Inatokana na chakula maalum cha malkia wa nyuki.
FAIDA ZA CORDY ROYAL JELLY
  • Ina vitamin A,B,C,D,E na K ni chakula kilichokamilika.
  • Inaondoa cholesterol
  • Inaimarisha mfumo wa damu mwilini.
  • Ina faty Acid
  • Inaongeza nguvu na kutoa uchovu na kutoa sumu mwilini
  • Inakufanya usizeeke haraka(anti aging)
  • Kulainisha ngozi na kufanya ngozi kuwa nzuri
  • Inafanya damu kuwa nyepesi
  • Inaimarisha usafirishaji wa damu mwilini
  • Kuweka kiwango cha mafuta na cholesterol sawa.
  • Mafuta yaliyoganda kuzunguka moyo na kwenye mishipa ya damu huyeyusha na kulainisha mishipa ya damu.
CORDY ACTIVE
Bidhaa hii imetokana na mmea wa cordy ceps, sinensis. Mmea huu unapatikana Asia Mashariki uko kwenye familia ya kutumia mizizi na uyoga. Kinatumika kiini chake kinachoitwa cordy cepine.
FAIDA ZA CORDY ACTIVE
  • Huimarisha kinga ya mwili. Uchunguzi unaonyesha kuwa bidhaa hii ina kila kitu tunachohitaji mwilini(vitamin,wanga,protini,madini nk)
  • Huondoa matatizo yote kwenye mfumo wa hewa(upumuaji).
  • Huponya pumu, dyspnea, allergy, homa ya mafua
  • Kuondoa msongo wa mawazo na uchovu mwilini.
  • Kuondoa matatizo ya figo, moyo kutanuka.
  • Matatizo ya uvimbe, kuzuia kansa kuenea mwilini
CA + FE + ZI PLUS
  • CA Madini ya Chokaa
  • FE Madini ya Chuma
  • ZI Madini ya Zinki
FAIDA ZA MADINI YA CHOKAA
  • 5% ni uzito wa mwili wa binadamu na ni 2% ya uzito wa binadamu ni madini ya chokaa.
  • Madini ya chokaa yanaimarisha mfumo wa kinga mwilini
  • Madini haya yanasaidia utendaji wa kazi mwilini
  • Madini ckokaa yanaimarisha mishipa ya hisia na ubongo
  • Madini chokaa yanasaidia kugandisha damu mtu anapopata majeraha
FAIDA ZA MADINI CHUMA
  • Hutumika kutengeneza damu hasa Red blood cells ambazo husafirisha oxygen
  • Huimarisha mfumo wa mishipa ya hisia mwilini
  • Huongeza uwezo wa kufikiria na nguvu ya ubongo kwa binadamu
  • Huongeza nguvu mwilini
FAIDA ZA MADINI YA ZINKI
  • Inaimarisha mfumo wa uzazi kwa wanaume
  • Inaimarisha milango ya fahamu
  • Kutibu vidonda vya ndani na nje wa binadamu
  • Inatunza ngozi na kulinda ngozi na nywele
  • Inaondoa matatizo ya macho
CAUSES OF MEMORY LOSS/VISABABISHI VYA TATIZO

Here are some of the more common things that can cause memory loss:

Medications. A number of prescription and over-the-counter medications can interfere with or cause loss of memory. Possible culprits include: antidepressants, antihistamines, anti-anxiety medications, muscle relaxants, tranquilizers, sleeping pills, and pain medications given after surgery.

Alcohol, tobacco, or drug use. Excessive alcohol use has long been recognized as a cause of memory loss.

Smoking harms memory by reducing the amount of oxygen that gets to the brain. Studies have shown that people who smoke find it more difficult to put faces with names than do nonsmokers. Illicit drugs can change chemicals in the brain that can make it hard to recall memories.

Sleep deprivation. Both quantity and quality of sleep are important to memory. Getting too little sleep or waking frequently in the night can lead to fatigue, which interferes with the ability to consolidate and retrieve information.

Depression and stress. Being depressed can make it difficult to pay attention and focus, which can affect memory. Stress and anxiety can also get in the way of concentration. When you are tense and your mind is overstimulated or distracted, your ability to remember can suffer. Stress caused by an emotional trauma can also lead to memory loss.

Nutritional deficiency. Good nutrition -- including high-quality proteins and fats -- is important to proper brain function. Deficiencies in vitamin B1 and B12 specifically can affect memory.

Head injury. A severe hit to the head -- from a fall or automobile accident, for example -- can injure the brain and cause both short- and long-term memory loss. Memory may gradually improve over time.

Stroke. A stroke occurs when the blood supply to the brain is stopped due to the blockage of a blood vessel to the brain or leakage of a vessel into the brain. Strokes often cause short-term memory loss. A person who has had a stroke may have vivid memories of childhood events but be unable to recall what he or she had for lunch.

Dementia. Dementia is the name for progressive loss of memory and other aspects of thinking that are severe enough to interfere with the ability to function in daily activities. Although there are many causes of dementia -- including blood vessel disease, drug or alcohol abuse, or other causes of damage to the brain -- the most common and familiar is Alzheimer's disease. Alzheimer's disease is characterized by a progressive loss of brain cells and other irregularities of the brain.

Other causes. Other possible causes of memory loss include an underactive or overactive thyroid gland and infections such as HIV, tuberculosis, and syphilis that affect the brain.

Memory Loss Treatment

Treatment for memory loss depends on the cause. In many cases, it may be reversible with treatment. For example, memory loss from medications may resolve with a change in medication. Nutritional supplements can be useful against memory loss caused by a nutritional deficiency. And treating depression may be helpful for memory when depression is a factor. In some cases -- such as following a stroke -- therapy may help people remember how to do certain tasks such as walking or tying shoes. In others, memory may improve over time.

Treatments may also be specific to conditions related to memory loss. For example, drugs are available to treat memory problems related to Alzheimer's disease, and drugs to help lower blood pressure can help reduce risk of more brain damage from dementia related to high blood pressure.
NINACHOFAHAMU
Kusahau ni jambo la kawaida kwa mwanaadamu yoyote haswa ukiwa na msongamano ya mawazo/fikra kichwani.

Kuna ugonjwa unaitwa DEMENTIA /ALZHEIMER ambao huwapata hususani wazee >65yrs unaosababishwa na mapungufu ya signal substance inayoitwa acetylcholine kwenye ubongo,ambayo hupelekea kupoteza kwa neurones na mapungufu ya baadhi ya sehemu ubongo ambapo husababisha mapungufu katika kuweka kumbukumbu.Hii inaweza kugundulika kwa kuchukua MR ya ubongo.

Ugonjwa huu ni wa kurithi na katika stage za mwanzo unaitwa Dementia,na baadae Alzheimer(at last stage).

Ugonjwa huu unatibiwa na ANTICHOLINESTERASE(ARICEPT) ili kuimarisha yale mapungu ya acetylcholin kwenye ubongo.Ila zile sehemu za ubongo zilizoharibika/athirika haziwezi kutibika kwahio ukishapata ugonjwa huu kumbukumbu hupungua na hata kupotea.

Upande wa kushoto ni ubongo mzima na upande wa kushoto ubongo wa mtu mwenye alzheimer`s disease

ELEWA KUHUSU TATIZO HILI NA KISHA FANYA HAYA
Kupoteza kumbukumbu limekuwa ni jambo la kawaida sana kusikia kwa watu wenye umri mkubwa. Mtu anaweza kuanza kuzungumzia tamthilia ambayo amesahau inaitwaje kwa jina, mtu anaweza akaingia jikoni lakini akawa anajiuliza ni kitu gain kimempeleka jikoni akawa ameshasahau.

Lakini yote katika kusahau siyo kila moja husababishwa na uzee kwa sababu ubongo unatakiwa uwe unazalisha seli mpya kila wakati. Yapo ambayo husababishwa na uzee kutokana na protini na homoni zinazohusika na kukua kwa seli kupungua, ile kasi ya damu kutembea kwenda kwenye ubongo hupumgua na pia ule uwezo wa ubongo kunyonya virutubisho hupungua. Mambo yanayosababisha kukosa kumbukumbu nzuri hata ikiwa siyo kuwa na umri mkubwa(uzee) huchangiwa na haya yafuatayo:
  • Madhara yatokanayo na madawa hasa mchanganyiko wa aina nyingi na hii hutokea zaidi kwa wenye umri mkubwa kwa sababu ya uwezo wa kuyeyusha na kunyonya dawa ni wa taratibu.
  • Kuvunjika moyo. Hii huchangia kupunguza kumbukumbu sababu huwa ni kazi kubwa kwa ubongo kutulia, kupangilia mambo na kuyatekeleza.
  • Kutokuwa na vitamin B12 ya kutosha. Ukosefu wa vitamin B12 huaribu kabisa ubongo na kwa wazee unyonyaji wa virutubisho mwilini ni kwa polepole na hivyo husababisha kutopata vizuri vitamini B12. Kama tatizo hili likigundulika mapema linaweza kutatuliwa ambapo huwa matibabu hufanyika kwa sindano za kila mwezi.
  • Matatizo katika tezi zijulikanazo kwa kiingereza kama (thyroid glands) ambapo husababisha matatizo katika kumbukumbu na hutakiwa kuwahi hospitalini tatizo kama hili likitokea.
  • Matumizi makubwa ya pombe pia ni sumu katika seli za ubongo na hupunguza uwezo wa kukumbuka.
  • Ukosefu wa maji ya kutosha mwilini husababisha pia tatizo la kukosa kumbukumbu nzuri na inashauriwa mwili kuwa na maji ya kutosha muda wote.
Hayo ni baadhi ya mambo ambayo husababisha kupoteza kumbukumbu na inatakiwa kuzingatia yafuatayo ili kuwa na afya njema na kumbukumbu nzuri.

-Ufanyaji wa mazoezi. Ufanyaji wa mazoezi huimarisha afya na husisimua uzalishaji wa seli mpya za ubongo pia hupunguza matatizo yanayosabisha upungufu wa kumbukumbu kama matatizo ya moyo, kisukari.

- Kujihusisha vizuri na watu. Watu ambao huwa hawana mahusiano ya karibu na jamii mfano familia na marafiki huwa katika riski ya kupata matatizo ya kupoteza kumbukumbu kuliko wale ambao wapo karibu na jamii.

-Uangalizi wa lishe. Ulaji wa matunda na mboga za majani ni mzuri sana kwani hutunza seli za ubongo katika hali nzuri ya kutochoka. Pia inatakiwa kula vyakula visivyo na mafuta mengi na nguvu nyingi sababu husababisha matatizo katika mfumo wa damu.

-Kutunza afya katika mazingira ya kuepukana na matatizo ya presha kwa sababu husababisha kuwa na wakati mgumu kufikiria jambo fulani

-Kupata usingizi wa kutosha. Usingizi ni muhimu sana katika ukuaji wa afya na upangiliaji mzuri wa kumbukumbu. Mtu anayekosa usingizi wa kutosha husababisha ubongo kutotunza kumbukumbu, kutokuwa makini, kutokuwa na maamuzi mazuri katika kile anachokifanya ambapo baadaye husababisha uvunjikaji wa moyo.

-Uvutaji ni muhimu kuepuka sababu husababisha matatizo ya moyo kutofanya kazi vizuri na damu kutoweza kusafirisha vema damu kwenda katika ubongo ili kuweza kulisha hewa safi na virutubisho vinavyohitajika.

Pia kutokana na mazingira mengine yanayofanya lishe husika kutopatikana kirahisi au kupatikana lakini ikiwa virutubisho husika havipo, pia kuimarisha afya ili kuweza kuwa na kumbukumbu nzuri imeandaliwa lishe kiasilia isiyokuwa na madhara kiafya na iliyothibitishwa kutumika duniani kote. Hapa Tanzania pia lishe hii imethibitishwa na mamlaka ya chakula na dawa(TFDA).
TIBA ASILI ZA TATIZO
Sababu za tatizo la sahau mara nyingi hasababishwa na sababu zifuatazo:
  • Sumu katika mwili
  • Madawa
  • Ulevi
  • Ajali na hata urithi.
Kwahiyo utabibu wako yategemea zaidi na sababu ya hilo tatizo lako.

Kwanza jiangalie katika maisha yako hujawahi kupata ajali ambayo imepelekea ubongo kupata mshtuko, utumizi wako wa madawa ukoje,jee ndani ya familia yako ni asilimia ngapi ya watu wenye tatizo hilo,aina gani ya vyakula ambavyo unakula na wakati mwengine tatizo hili husababishwa na sindikizo kubwa la mawazo ambalo huathiri ubogo.

Fig tunda la Tini

Pendelea Kula tini (fig) mbili au tatu kabla ya Chakula (cha mchana na cha usiku).

Tini inayo calcium kwa wingi, pia inayo iron, copper, Zinc, Vit. C Vit. A (Lakini Vit A inapotea 30 percent kwa tini iliyo kauka.) Tini pia inayo Vit B (complex) na vit D.

Tini ni dawa nzuri sana kwa Wagonjwa wa kusahau.

Dawa nzuri nyingine ya wagonywa wa kusahau ni kulala masaa 8 kila siku (Usingizi wa usiku si kama usingizi wa mchana), usizidishe kulala zaidi ya masaa 8, kuzidisha pia ni mbaya kwa afya.

Dawa zingine hizi hapa Utwange Dawa moja inayoitwa Halilinji Utwange upate unga wake uchanganye na Asali Safi mbichi ya nyuki

kijiko kimoja kikubwa uwe unakunywa kila siku katika maisha yako. Au ıpate Mafuta ya siku nyingi ya

Zaituni ujipake nyuma ya kichwa upande wa kichogoni uwe unajipaka kila siku inasaidia sana hayo mafuta ya Zaituni ya siku nyingi

Na ingine awe unakula Sana Figili na Samli Safi ya Ng'ombe.

itakusaidia kuondosha ugonjwa wa sahau. Au ule Zabibu kavu kwa wingi kila siku hiyo pia itakusaidia kuondosha huo ugonjwa wa Sahau. Usikose kuleta Feedback Acha mambo ya kusahau mkuu.
VYAKULA VINAVYOSAIDIA KUONGEZA KUMBUKUMBU

Utafiti ulio angalia uhusiano kati ya kumbukumbu na vyakula, umeonesha kuwa kadri mtu anavyokula aina nyingi ya vyakula asili ndiyo uwezo wa kumbukumbu yake unavyoimarika.

Utafiti wa muda wa miaka 25 uliofanywa katika Chuo Kikuu cha Tiba cha Havard nchini Marekani, uliowahusu zaidi ya watu 13,000, umeonesha kuwa watu waliokula kiasi kikubwa cha mboga mboga kwa miaka mingi, walikuwa na athari ndogo ya kupungukiwa na kumbukumbu baada ya kuzeeka.

Miongoni mwa mboga zenye kiasi kikubwa cha virutubisho vinavyoongeza kumbukumbu ni pamoja na Brokoli, kabichi na maua ya maboga. Zingine ni mboga za kijani kama vile mchicha, majani ya maboga, nk.

Kwa upande wa matunda, aina zote za beri, zabibu za rangi ya papo (Purple Grapes), tufaha nyekundu (Red Apples) na matunda yanayojulikana kama vitunguu vyekundu (Red Onions).

Halikadhalika vyakula vyenye kiwango kikubwa cha Folic Acid, husaidia sana katika kuongeza kumbukumbu. Mfano wa vyakula hivyo ni pamoja na nafaka zisizo kobolewa, maharagwe meusi, brokoli, ngano, machungwa, n.k.

SAMAKI

Watafiti wa Rush University Medical Centre, Chicago nchini Marekani, walifuatilia watu 3000, wake kwa waume, kwa muda wa miaka sita kuona ni kwa kiasi gani lishe huathiri kumbukumbu ya mtu.

Utafiti huo ulionesha kuwa watu waliokula samaki angalau mara moja kwa wiki, walionesha kupoteza kumbukumbu taratibu kwa asilimia 10 ukilinganisha na wasiokula samaki. Kiasi hicho kiliwapa uwezo wa kufikiri na kuwa na kumbukumbu sawa na kijana waliyemzidi umri wa miaka mitatu.

Mkuu Pole sana kwa hayo Matatizo ya kusahau jitahidi kufuata Ushauri utafanikiwa usije tu kusahau. Je ukifika kama umri wangu miaka 50 unaweza kupatwa na ugonjwa Mbya sana ( Alzheimer's Disease ) Mwenyeezi mungu akunusuru bado kijana.
Ugonjwa wa akili haupewi kipaumbele

Mtaalamu mashuhuri wa maradhi ya Ki-akili ya dementia ambayo huathiri uwezo wa kufikiri, Daktari Dennis Gillings, amejitokeza na kuzungumzia kile anachokiita, mwendo wa Kobe katika taratibu ya kupata tiba mpya ya ugonjwa huo. Ugonjwa huo wa akili unawaathiri zaidi ya watu milioni 4 kote Duniani.

Daktari Gillings ambaye aliteuliwa na waziri mkuu wa Uingereza mwaka jana amesema ahadi zilizotolewa na mataifa manene yenye uchumi mkubwa duniani G8 kutafuta tiba ya ugonjwa huo kufikia mwaka 2025 haziwezi kutimizwa bila kuwekeza zaidi katika utafiti.

Miezi sita baada ya ahadi hizo kutolewa wataalam kutoka maeneo mbalimbali duniani wanakutana London ili kujadili hatua zinazohitajika kuimarisha utafiti na majaribio ya dawa za kutibu ugonjwa huo.

Daktari Gillings anasema majaribio ya dawa hizi yanapaswa kudhibitiwa kuambatana na utaratibu wa majaribio ya dawa zingine.

Serikali ya Uingereza inatarajiwa kuwasilisha ripoti kuhusu ugonjwa huo nchini humo ambapo watu laki nane wameathirika. Wanasayasi pia watatoa ripoti itakayoangazia uhusiano wa Ugonjwa wa dementia na lishe.source.BBC
 
Scientists have succeeded in conquering fear in human volunteers by "rewriting" their memories.
The breakthrough follows similar results in animal experiments.

It could lead to radical new ways of treating post-traumatic stress and other anxiety disorders without using drugs. Earlier research had shown that emotional memories are susceptible to being modified each time they are retrieved. For a short "consolidation window" period of six hours, a resurrected frightening memory can be tamed by re-training so it no longer feels threatening.

The technique was demonstrated in rats taught to associate a certain sound with an electric shock. Now scientists in the US have gone a step further and shown that what is true for rodents also applies to humans. Researchers led by Professor Elizabeth Phelps, from New York University, carried out an experiment in which 20 volunteers were first conditioned to fear coloured squares by pairing them with electric shocks to the wrist.

The next day the memory was re-activated by once again showing participants the feared squares. By measuring electrical conductance of the skin, which increases when the nervous system is aroused, the scientists confirmed that the volunteers were experiencing a fear response.

The researchers then started the reprogramming process, known as "extinction training", designed to erase the fearful memory.
Volunteers were repeatedly exposed to the coloured squares, this time without the accompanying shocks. Eventually the once-frightening objects came to be regarded as harmless.

Repeating the test 24 hours later showed that the fear associated with the squares had gone -- but only in participants whose memories were rewritten soon after fear reactivation.

Those given extinction training after a gap of six hours remained afraid of the squares. The same was true of a third group of participants who received extinction training without first experiencing reactivation of the fear memory.

Immune
A year later, the volunteers were brought back to the laboratory. The scientists made a strong attempt to re-instate their fear by delivering four electric shocks followed by presentations of the same coloured squares.

Participants whose fear memories had earlier been erased during the "consolidation window" were largely immune to the shock treatment. However, the others experienced a significant rekindling of the fear response.

The new research, reported yesterday in the journal 'Nature', shows that fearful memories can be banished without resorting to chemicals that affect the brain.

Prof Phelps said: "Previous attempts to disrupt fear memories have relied on pharmacological interventions. "Our results suggest such invasive techniques may not be necessary. Using a more natural intervention that captures the adaptive purpose of reconsolidation allows a safe way to prevent the return of fear," she added.

Victims and witnesses of serious accidents, natural disasters, violent crimes or acts of war and terrorist attacks may be some of the people most likely to benefit from rewriting fear memories.

Post traumatic stress disorder (PTSD) can cause "flashbacks" which revive terrifying memories, recurring nightmares, "hypervigilance" -- jumpiness and irritability, feelings of panic and fear, social isolation and depression.

Lives can be ruined by the effects of PTSD, which may last many years. A US study in 2004 found that one in eight soldiers returned from fighting in Iraq with symptoms of PTSD.
Source:Irish Independent
 
This is very nice ila nina query, but i reserved it until some other members comments on the issue
 
The brain always remembers what it likes most; try to show interest in things that u want to remember. This is why u only remember some things from ur childhood and not everything.

then try to associate things; its easier to keep things associated for instance mtu akisema anaitwa John associate his resemblance with a person u know anaitwa John.

Keep a diary. Its January 2011 buy one my friend
 
Naomba msaada wenu ni jinsi gani mtu anaweza kuweka kumbukumbu ya kichwa chake vizuri naona na matatizo ya kusahau sana na umri wangu bado mdogo sana

Mkuu jaribu kupunguza na stress mwisho utasahau kufungua JF upate majibu ulopewa.
 
Tatizo la kusau linasababishwa na mambo mengi sana. Mfano may be uko na jambo linalo kusumbua ambalo linakusababishia mawazo (stress), eventually hupati usingizi wa kutosha. Kumbuka kiafya unahsuriwa kulala masaa 8 kwa siku. Kupoteza kumbukumbu inamaanisha kwamba ubongo wako haupati mzunguko wa damu ya kutosha (fuzzy thinking are often connected to lack of blood flow to the brain). The brain responsible for short-term memory, concentration, sleep, sexual and emotional drives, and the 'feel-good factor.

This part is bathed by cerebrospinal fluid (CSF), which provides nutrients (glucose and oxygen) to the brain and the surface of the spinal cord. Some of the nutrients sent to the limbic system come directly from blood supplied by arteries of the brain, particularly the vertebral arteries in the neck.Pia ukiwa mlevi sana wa pombe kama konyagi kwa mfano.

Alcohol can produce detectable impairments in memory after only a few drinks and, as the amount of alcohol increases, so does the degree of impairment. Large quantities of alcohol, especially when consumed quickly and on an empty stomach, can produce a blackout, or an interval of time for which the intoxicated person cannot recall key details of events, or even entire events. In order to relieve your symptoms, I suggest you change your lifestyle for the second half of your cycle before you cry with one eye!!
 
Nunua diary uwe unaweka kumbukumbuku halafu usiku kabla hujalala fikiria mambo yote uliyoyafanya kutwa nzima. Pole mpendwa.
 
Memory Problems

About

Memory is affected by nutrient deficiencies, free radical exposure, alcohol, drugs, allergies, stress, and other factors. Memory problems are not limited to aging adults, but can affect those of all ages.

Notes
  • Make sure you are taking supplements for overall good health. If you are not taking these basic supplements, we recommend Enfuz from Vitabase. When you take a small packet of pills each day, you get all the basic nutrition you need. Each packet contains a multi-vitamin, CoQ10 (for heart health), Omega 3, Vitamin D-3, a probiotic, and a powerful set of antioxidants to help your body fight off disease.
  • Attitudes and approach to aging have a factor in our ability to remember.
  • Beta-Blocker, Benzodiazepines, some painkillers, antihistamines and anticholinergics can have an adverse effect.
  • Estrogen may or may not improve memory function.
  • To forget every now and again is normal. You may have a problem if you start to forget things that are more common to you before and becoming lost in familiar surrounding telling the same story over and over again there may be a problem.
  • To improve the brain's function use HGH (human Growth Hormone)
Advice
  • Be sure to rest.
  • Blueberries and spinach could help in retaining memory.
  • Do not eat reined sugars.
  • Exercise regularly.
  • For a month do not eat dairy or wheat products.
  • Hold your breath for 30 seconds every day to help alertness.
  • Use your brain everyday to increase the activity and you should be more likely to recall.
  • Your diet needs to consist of raw fruits and vegetables.
Source: Memory Problems Information : NaturalHerbsGuide
 
Vyakula vipi vinaboresha afya ya akili. Tafuta thread yenye tittle hiyo utapata majibu.
 
Heshima yenu wakuu,

Naombeni msaada wa ushauri au tiba kama upo. Nimekuwa na tatizo la kusahau sana na hasa pale ninapokuwa na kazi nyingi. Je, hili ni jambo la kawaida au tatizo, na nini tiba yake.
 
Kusahau wakati una kazi nyingi ni jambo la kawaida kwa kuwa ubongo wa binadamu hauwezi ku-handle vitu vingi kwa wakati mmoja. Tiba ya tatizo lako ni kuandika kila jambo unalopanga kulifanya au unaloambiwa kulifanya au tumia reminder ya kwenye computer iwe inakukumbusha vitu kama vikao na tasks muhimu unazotakiwa kuzifanya au kama ni boss mwambie sekretari wako awe anakukumbusha vitu muhimu kama vikao n.k
 
Style yako ya maisha ikoje? kama una mzoea ya kunywa pombe na hasa kali jaribu kuacha kabla hujapoteza kumbukumbu kabisa.
 
Kama una sahau na wakati siyo mlevi, ukianza ulevi utakuwa empty box walking along the road. Pole, ngoja wataalam waje wakuelezee kitu inaitwa brain stimulator, anayo dr. ndodi huwa anaitangaza sana hiyo dawa.
 
Kama una sahau na wakati siyo mlevi, ukianza ulevi utakuwa empty box walking along the road. Pole, ngoja wataalam waje wakuelezee kitu inaitwa brain stimulator, anayo dr. ndodi huwa anaitangaza sana hiyo dawa.
Brain stimulator inakuwaje hiyo?
 
Kama una sahau na wakati siyo mlevi, ukianza ulevi utakuwa empty box walking along the road. Pole, ngoja wataalam waje wakuelezee kitu inaitwa brain stimulator, anayo Dr. Ndodi huwa anaitangaza sana hiyo dawa.

"Biashara matangazo"
 
Back
Top Bottom