Patrobas Katambi: Upinzani sio kupinga kila kitu bila mantiki na tija kwa taifa. Unafiki ni dhambi

JINOME

JF-Expert Member
May 29, 2017
958
1,424
UPINZANI SIO KUPINGA KILA KITU BILA MANTIKI NA TIJA KWA TAIFA. UNAFIKI NI DHAMBI.

Vyama flani upinzani kwa miaka mingi vilipata umaarufu na kujipambanua kwa kupinga na kupigia kelele mambo yafuatayo leo yanatekelezwa na CCM Mpya kwa faida ya Watanzania Imekua nongwa tena tuwaeleweje ???

Mambo yaliyokuwa tatizo kwa Watz na Upinzani ni...

1. Kuna ufisadi na mafisadi papa ni ni 1, 2,3,...11.
Hatua:-
zikachukuliwa na Serikali ya CCM na badae Fisadi papa akawa Malaika wa Mungu kwao.

2. Barabara mbovu...tangu uhuru...
Hatua:- Serikali ya CCM awamu ya nne chini ya Waziri mashuhuri shupavu na mwenye misimamo wakati huo aliezijua barabara zote Tz hadi za mitaa kwa Urefu na mapana na kutaja kilometa kichwani JPM aliunganisha Mikoa kwa rami na Sasa ndie Rais kila kukicha anafungua Mabarabara, madaraja na vivuko kwa miaka miwili kaiunganisha Tanzania maeneo yote nyeti.

3. Safari za nje Rais na watendaji wanakaa nje kwa mwaka siku nyingi kuliko za ofisini...
Hatua:- Serikali ya CCM chini ya Mhe. Rais JPM amefuta safari zisizo na tija, hata yeye hasafiri bila ulazima kakataa miariko mia kidogo na Bunge pia spiker amedhibiti safari zisizo na faida kwa taifa pia Mahakamani Judge mkuu anatimiza haya.

4. Shirika la ndege limekufa kwa wizi na uhujumu...
Hatua:- Nikweli hakukuwa na Shirika tena bali jina tu, Serikali awamu ya Tano imeanza livalia njuga walau for 2yrs tu leo kuna Bomberdier zaidi 7 hata wapinzani wanapanda na usafiri wa anga si haba ushindani umeanza na bei imeshuka pengine itazidi shuka hata mtu huanza kwa kutambaa, kisha kusimama na kutembea... Bado kelele sijui walitaka tununue heilcopter?

5. Watu wanalipwa Mishahara hewa...
Hatua:- Uhakiki umefanyika na sasa hakuna wizi huo kama ilivyokuwa awali... Bado kunadomodomo ‍♂

6. Watu wameajiriwa bila vyeti...
Hatua:- Uhakiki umefanyika na hatua zimechukuliwa na zinazisi kuchukuliwa bado ikawa agenda ya mtu mmoja bila kuangalia maslahi mapana ya taifa na kinachofanyika, uchochezi ukashika kasi na kulaghai watanzania.

7. Tunaibiwa madini yetu na rasilimali za taifa kwa mikataba mibovu...

Hatua:- Serikali awamu ya nne iliunda kamati ya Mark Bomani, hatua zilisuasua kwa muendelezo na kwa ujasiri mkubwa Serikali ya awamu ya tano ya Rais Magufuli ikaunda tume za uchunguzi madini ikasitisha usafirishaji makinikia na uchimbaji dhahabu na Almasi mpaka muafaka upatikane kwa wizi uliodhihirika mpaka wazungu wakaja, Mhe. Spika akaunda tume ya Tanzanite,hatua zilichukuliwa na zinaendelea kuchukuliwa bado hapa Hatukuwa wamoja kwa maslahi mapana ya Taifa mpaka leo tunalumbana badala ya kushirikiana kufukuza wezi na kupata njia muafaka yenye tija kwetu kama taifa.

8. Reli ya kati imekufa miti mikubwa imeota katikati ya reli...

Hatua:- marekebisho yanafanywa na serikali ya CCM ya Rais Magufuli na zaidi inaletwa STD GAUGE treni ya umeme itakayookoa barabara, muda na uchumi wa viwanda na biashara bado minong'ono na kelele huyoo huyoo mkamate huyo... Mchinje... Mhe. Rais Magufuli, Waziri mkuu, Spika, Jaji mkuu kazeni shingo msigeuke nyuma utageuka jiwe na nchi itamkosa mchumba Maendeleo.

9. Wizi ujambazi na uhujumu umezidi

Hatua:- Kazi inaonekana kupitia Vyombo vyetu imara vya Ulinzi na Usalama. Msikate tamaa acha wawabeze ila Amani na Utulivu ndio matunda ya weledi wenu na ufanisi katika kazi Mungu anajua na anawaona wanaowabeza ... Wajifunze Rwanda, DR Congo, Libya na kule ambapo huwezi hata pata mda wa kufanya Press conference au kumiliki gari zuri kila mahari milindimo ya mitutu ya bunduki na mabomu uhuru na amani hakuna. Poleni kwa Askari wetu waliokufa katika kutetea haki za wanyonge tunazidi kuwaombea.

10. Sukari imepanda bei viwanda vimekufa...

Hatua:- Uingizaji sukari umedhibitiwa vilivyo, viwanda vimefufuliwa, vinafunguliwa na vinapata faida sasa ni jitihada za miaka yote za serikali ya CCM na sasa Serikali ya Viwanda ya JPM inapasua anga na haitabadirishia gia angani.

11. Viwanda vyote vimekufa nchi haina viwanda....mwatex kilitex Bora, General tyre, Tanganyika parkers nk nk

Hatua:- Ilani ya CCM inaeleza vizuri na mtekelezaji ni Serikali yake mnaona kila leo viwanda vinafunguliwa Rais na Waziri Mkuu pia Waziri wa viwanda mnawasikia kwa kauli na matendo. Wanaobeza wataelewa badea acha kupiga mayowe acha wayaone wenyewe...

12. Matumizi mabaya ya pesa za Umma katika Semina, warsha, Vikao, study tours, ugeni, sherehe nk
Hatua:- Serikali awamu ya tano haina mdhaha katika hili hata ikulu vikao ni mwendo wa maji na karanga tu ukibahatika sana basi Diamond Karanga moja.

13. Mikopo elimu ya juu, uborehaji vyuo vikuu na urejeshaji mikopo...

Hatua:- Pesa zimemiminwa na watoto wa maskini walio wengi wananufaika kulingana na Uwezo wa Serikali Ikumbukwe sio Absolute right ni previledge kusomeshwa na serikali Soma Ibara ya 11 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tz 1977. Nanyie mliokopeshwa na Bodi ya mikopo rudisheni na wenzenu wasome tulisaidie Taifa letu.

14. Uthibiti uchumi, viwanda na biashara..
Hatua:- Hatua stahiki zinazidi kuchukuliwa, upitoshaji ni mkubwa ila ni kwa makusudi ili kupata sifa za kisiasa ...hakuna nchi duniani inayojitosheleza kwa kila kitu hivyo kukopa ni moja ya survival. Kukopa si tatizo tatizo ni kama mkopo hautumiki kuzalisha faida na kuleta tija ... Hata hao wanaopiga kelele nao wanamikopo ktk mabenki hivyo kubwa hapa ni control na ipo...

15. Hospital, Zahanati, Vituo vya afya hakuna dawa...hakuna watumishi... Hakuna majengo nk nk

Hatua:- Hospitali, H/C na zahanati zinaboreshwa na kujengwa kwa wingi takwimu zipo na Rais alizitoa...

16. Meli zimekufa... Mv. Victoria, Mv. Liemba, Vivuko Busisi..Kigamboni Kilombero nk nk
Hatua:- Rias katika hotuba yake MZA mv. Victoria itakarabatiwa, Mv. Liemba na zote meli na vivuko vilivyopo na zaidi ataleta Meli kubwa mpya na ya kisasa Ziwa victoria pia amezidi weka ferry mpya Mungu awape nini Watanzania gunia la chawa?

17. Kilimo kimekufa...
Hatua:- Uboreshaji wa kilimo unafanyika ... Migogoro ya wakulima na Wafugaji sio headlines tena katika vyombo vya habari kama ilivyokuwa awali. Nia na dhamira ya dhati ipo kwa vitendo sasa yanafanyika bei na mfumobwa upatikanajibpembejeo udhibiti na masoko... Propaganda hazikosekani toka kwa upinzani nazo ni sehemu ya mafanikio

18. Utamaduni matumizi lugha kiswahili, nyimbo na mavazi nk nk...
Hatua:- Lugha adhimubya kiswahili inazidi kwea minazi na sasa milima ya kilimanjaro na Evaresti... Mnaoshadadia lugha za watu kazi kwenu... Mavazi sasa kauli imetolewa tujirekebishe, nyimbo ziwepi za kizalendo sio "Bongo bahati mbaya karibu ulaya..." Jivunie chako tengeneza kwako sio kusifia nchi za wenzio yako huijengi... Mnailaumu Taifa stars huku mnathamini La Liga, UEFA, Bundes Liga nk jifunzeni uzalendo hujui wimbo wa Taifa ubeti wa pili, hutujui nyimbo za kizalendo na waimbaji wake tunachojua ni majina na nyimbo wanamziki wote ulaya... Hatujui wanyama pori wetu top5, Hatuju hata ukubwa wa nchi yetu ardhi na miliki ya majini, nk nk Harafu tunajiita Wazalendo kweli?????

19. Wanyama wanaibiwa, Ufisadi maliasili ...
Hatua:- Mawaziri walifukuzwa na awamu hii Rais ataanza fukua mafaili kwa hatua stahiki, kuna mtu kakimbia na alishirikiana na Waziri kivuli wa upinzani kupiga deal sasa ana gari la kifahari lisilo akisi kipato chake halali hahaaaa itatumbuka hivi punde

20. Wizi na uhujumu uchumi... EPA hoja aliyoibua Dr. Slaa, RICHMOND ya Wabunge wa CCM waliibua, ESCROW ya kina Kafulila, Mikataba mibovu ya madini hoja ya Zitto nk nk
Hatua:- Serikali za CCM zilichukua hatua na Sasa awamu ya tano inakagua uhalali wa hatua hizo na kama kunafair play ilifanyia wezi wajifiche utawasoma punde ktk Mahakama ya Mafisadi hakuna aibu nchi inaangamia... Jiulizeni walioongoza hoja hizo zote nzito kwanini wako nje ya vyama vyao vya awali na jiulize sasa wako wapi?? Tafakari

21. Biashara ya Madawa ya kulevya na Usafirishaji...na Athari zake kwa wa Tanzania.
Hatua:- Serikali ilijaribu yakatokea ya kina Amina chifupa, Mhe. JK nae alipigana sasa Awamu ya Tano ilianza nalo kwa nguvu bila woga kwa Agizo la Rais na Usimamizi wa RC DSM alievaa mabomu kwaajari ya kuisaidia nchi yake Ndg. P. Makonda sasa mateja hatuwaoni wala wauzaji na wasafirishaji Tz sio tena njia ya biashara ya madawa. Najua mtabisha kwani kubisha ndio kunawapa ugali endeleeni acha nchi isongembele

22. Wizi na Ufisadi Bandari ya Salama.
Hatua:- Kila kukicha kunasafisha safisha ya nzi pale bandari hakuna deal zinafanywa zifanikiwe Wafanya biashara Rwanda juzi wamesifia mifumo na sasa kodi itanufaisha wa Tz. Rais akienda anajua kila kitu wanachofanya kuibia taifa, Waziri mkuu pia anakamata wezi chama sasa kinaisimamia serikali ...

23.
24.
Nakadharika nk nk.to infinity...

Leo wapinzani ni No.1 kupinga na kulialia hayo yanaporekebishwa na kufanyiwa kazi na CCM chini ya Chuma cha pua Mhe. Rais JPM eti ni agenda zao zisiguswe tusubiri mpaka wao waingie madarakani hahaaa ni kituko. Ukichunguza jiulizeni Upinzani umesaidia nini watakuambia Escrow, EPA, Madini basi ila ukiangalia tangu 1992 CCM imeokoa na kusimamia mangapi pia kutekeleza mangapi ukicalculate kila mradi na value for money... Ulinzi na usalama wa nchi hii kwa miaka 56 sasa je nalo tunalibeza?

Hatuwezi paa bila ku cluise ndege huanza kwa speed kali runway kisha inapaa angani CCM inaenda ikiongeza kasi ktk runway kila mwaka na sasa ina take off.
Uvaeni Uzalendo na Tuizungumzie Tanzania bara na Visiwani ambako Dr. Shain na uongozi mzima wanafanya kwa kasi kubwa kuleta maendeleo. Kwa sasa Pesa ya maendeleo ni 60% na 40% Matumizi tuwaunge mkono wazalendo wa matendo si wa maneno.

"Kelele pigeni CCM inasonga mbele kuelekea kuposa Maendeleo ya Watanzania kamwe haitageuka nyuma kuwa jiwe..."

Mungu ibariki Tanzania,
Mungu wabariki Viongozi wetu na Watanzania wajue kilicho chema kwao.
Amen!

P. Katambi
MwanaCCM - Dodoma.
Dec, 2017
 
Njaa huleta unafki na kujipendekeza,
Njaa huleta kupoteza imani yako,
Njaa huleta kuvunja msimamo wako,
Njaa huleta kukubaliana na UONGO,
Njaa huleta kudharau mtazamo wako,
Njaa huleta kupoteza haki yako,
Njaa huleta kudharau hadhi yako,
Njaa huleta kuikana hata ELIMU yako,
Njaa huleta kubadili marafiki wa kweli,
Njaa huleta kuchonganisha watu,
Njaa huleta kumtegemea mwanadamu,
Njaa huleta kupigana na mwenzako,
Njaa huleta kumsahau MUNGU.

NJAA NJAA NJAA NJAA NJAA NJAA
HATARI
 
Sitakagi kucheka ila nikitaka kucheka huwa natafuta clip za uchwara na kufuatilia mambo inayofanya hii sera -kali ya uchwara!
 
Njaa huleta unafki na kujipendekeza,
Njaa huleta kupoteza imani yako,
Njaa huleta kuvunja msimamo wako,
Njaa huleta kukubaliana na UONGO,
Njaa huleta kudharau mtazamo wako,
Njaa huleta kupoteza haki yako,
Njaa huleta kudharau hadhi yako,
Njaa huleta kuikana hata ELIMU yako,
Njaa huleta kubadili marafiki wa kweli,
Njaa huleta kuchonganisha watu,
Njaa huleta kumtegemea mwanadamu,
Njaa huleta kupigana na mwenzako,
Njaa huleta kumsahau MUNGU.

NJAA NJAA NJAA NJAA NJAA NJAA
HATARI
Kweli mkuu
 
Huyu jama kaandika kama anwahi kupost, kijana ungetulia ukaandika kitu kinachoeleweka. Lakini hamna mbaya ongeza maandiko usije ukasahaulika kama moses machali
 
UPINZANI SIO KUPINGA KILA KITU BILA MANTIKI NA TIJA KWA TAIFA. UNAFIKI NI DHAMBI.

Vyama flani upinzani kwa miaka mingi vilipata umaarufu na kujipambanua kwa kupinga na kupigia kelele mambo yafuatayo leo yanatekelezwa na CCM Mpya kwa faida ya Watanzania Imekua nongwa tena tuwaeleweje ???

Mambo yaliyokuwa tatizo kwa Watz na Upinzani ni...

1. Kuna ufisadi na mafisadi papa ni ni 1, 2,3,...11.
Hatua:-
zikachukuliwa na Serikali ya CCM na badae Fisadi papa akawa Malaika wa Mungu kwao.

2. Barabara mbovu...tangu uhuru...
Hatua:- Serikali ya CCM awamu ya nne chini ya Waziri mashuhuri shupavu na mwenye misimamo wakati huo aliezijua barabara zote Tz hadi za mitaa kwa Urefu na mapana na kutaja kilometa kichwani JPM aliunganisha Mikoa kwa rami na Sasa ndie Rais kila kukicha anafungua Mabarabara, madaraja na vivuko kwa miaka miwili kaiunganisha Tanzania maeneo yote nyeti.

3. Safari za nje Rais na watendaji wanakaa nje kwa mwaka siku nyingi kuliko za ofisini...
Hatua:- Serikali ya CCM chini ya Mhe. Rais JPM amefuta safari zisizo na tija, hata yeye hasafiri bila ulazima kakataa miariko mia kidogo na Bunge pia spiker amedhibiti safari zisizo na faida kwa taifa pia Mahakamani Judge mkuu anatimiza haya.

4. Shirika la ndege limekufa kwa wizi na uhujumu...
Hatua:- Nikweli hakukuwa na Shirika tena bali jina tu, Serikali awamu ya Tano imeanza livalia njuga walau for 2yrs tu leo kuna Bomberdier zaidi 7 hata wapinzani wanapanda na usafiri wa anga si haba ushindani umeanza na bei imeshuka pengine itazidi shuka hata mtu huanza kwa kutambaa, kisha kusimama na kutembea... Bado kelele sijui walitaka tununue heilcopter?

5. Watu wanalipwa Mishahara hewa...
Hatua:- Uhakiki umefanyika na sasa hakuna wizi huo kama ilivyokuwa awali... Bado kunadomodomo ‍♂

6. Watu wameajiriwa bila vyeti...
Hatua:- Uhakiki umefanyika na hatua zimechukuliwa na zinazisi kuchukuliwa bado ikawa agenda ya mtu mmoja bila kuangalia maslahi mapana ya taifa na kinachofanyika, uchochezi ukashika kasi na kulaghai watanzania.

7. Tunaibiwa madini yetu na rasilimali za taifa kwa mikataba mibovu...

Hatua:- Serikali awamu ya nne iliunda kamati ya Mark Bomani, hatua zilisuasua kwa muendelezo na kwa ujasiri mkubwa Serikali ya awamu ya tano ya Rais Magufuli ikaunda tume za uchunguzi madini ikasitisha usafirishaji makinikia na uchimbaji dhahabu na Almasi mpaka muafaka upatikane kwa wizi uliodhihirika mpaka wazungu wakaja, Mhe. Spika akaunda tume ya Tanzanite,hatua zilichukuliwa na zinaendelea kuchukuliwa bado hapa Hatukuwa wamoja kwa maslahi mapana ya Taifa mpaka leo tunalumbana badala ya kushirikiana kufukuza wezi na kupata njia muafaka yenye tija kwetu kama taifa.

8. Reli ya kati imekufa miti mikubwa imeota katikati ya reli...

Hatua:- marekebisho yanafanywa na serikali ya CCM ya Rais Magufuli na zaidi inaletwa STD GAUGE treni ya umeme itakayookoa barabara, muda na uchumi wa viwanda na biashara bado minong'ono na kelele huyoo huyoo mkamate huyo... Mchinje... Mhe. Rais Magufuli, Waziri mkuu, Spika, Jaji mkuu kazeni shingo msigeuke nyuma utageuka jiwe na nchi itamkosa mchumba Maendeleo.

9. Wizi ujambazi na uhujumu umezidi

Hatua:- Kazi inaonekana kupitia Vyombo vyetu imara vya Ulinzi na Usalama. Msikate tamaa acha wawabeze ila Amani na Utulivu ndio matunda ya weledi wenu na ufanisi katika kazi Mungu anajua na anawaona wanaowabeza ... Wajifunze Rwanda, DR Congo, Libya na kule ambapo huwezi hata pata mda wa kufanya Press conference au kumiliki gari zuri kila mahari milindimo ya mitutu ya bunduki na mabomu uhuru na amani hakuna. Poleni kwa Askari wetu waliokufa katika kutetea haki za wanyonge tunazidi kuwaombea.

10. Sukari imepanda bei viwanda vimekufa...

Hatua:- Uingizaji sukari umedhibitiwa vilivyo, viwanda vimefufuliwa, vinafunguliwa na vinapata faida sasa ni jitihada za miaka yote za serikali ya CCM na sasa Serikali ya Viwanda ya JPM inapasua anga na haitabadirishia gia angani.

11. Viwanda vyote vimekufa nchi haina viwanda....mwatex kilitex Bora, General tyre, Tanganyika parkers nk nk

Hatua:- Ilani ya CCM inaeleza vizuri na mtekelezaji ni Serikali yake mnaona kila leo viwanda vinafunguliwa Rais na Waziri Mkuu pia Waziri wa viwanda mnawasikia kwa kauli na matendo. Wanaobeza wataelewa badea acha kupiga mayowe acha wayaone wenyewe...

12. Matumizi mabaya ya pesa za Umma katika Semina, warsha, Vikao, study tours, ugeni, sherehe nk
Hatua:- Serikali awamu ya tano haina mdhaha katika hili hata ikulu vikao ni mwendo wa maji na karanga tu ukibahatika sana basi Diamond Karanga moja.

13. Mikopo elimu ya juu, uborehaji vyuo vikuu na urejeshaji mikopo...

Hatua:- Pesa zimemiminwa na watoto wa maskini walio wengi wananufaika kulingana na Uwezo wa Serikali Ikumbukwe sio Absolute right ni previledge kusomeshwa na serikali Soma Ibara ya 11 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tz 1977. Nanyie mliokopeshwa na Bodi ya mikopo rudisheni na wenzenu wasome tulisaidie Taifa letu.

14. Uthibiti uchumi, viwanda na biashara..
Hatua:- Hatua stahiki zinazidi kuchukuliwa, upitoshaji ni mkubwa ila ni kwa makusudi ili kupata sifa za kisiasa ...hakuna nchi duniani inayojitosheleza kwa kila kitu hivyo kukopa ni moja ya survival. Kukopa si tatizo tatizo ni kama mkopo hautumiki kuzalisha faida na kuleta tija ... Hata hao wanaopiga kelele nao wanamikopo ktk mabenki hivyo kubwa hapa ni control na ipo...

15. Hospital, Zahanati, Vituo vya afya hakuna dawa...hakuna watumishi... Hakuna majengo nk nk

Hatua:- Hospitali, H/C na zahanati zinaboreshwa na kujengwa kwa wingi takwimu zipo na Rais alizitoa...

16. Meli zimekufa... Mv. Victoria, Mv. Liemba, Vivuko Busisi..Kigamboni Kilombero nk nk
Hatua:- Rias katika hotuba yake MZA mv. Victoria itakarabatiwa, Mv. Liemba na zote meli na vivuko vilivyopo na zaidi ataleta Meli kubwa mpya na ya kisasa Ziwa victoria pia amezidi weka ferry mpya Mungu awape nini Watanzania gunia la chawa?

17. Kilimo kimekufa...
Hatua:- Uboreshaji wa kilimo unafanyika ... Migogoro ya wakulima na Wafugaji sio headlines tena katika vyombo vya habari kama ilivyokuwa awali. Nia na dhamira ya dhati ipo kwa vitendo sasa yanafanyika bei na mfumobwa upatikanajibpembejeo udhibiti na masoko... Propaganda hazikosekani toka kwa upinzani nazo ni sehemu ya mafanikio

18. Utamaduni matumizi lugha kiswahili, nyimbo na mavazi nk nk...
Hatua:- Lugha adhimubya kiswahili inazidi kwea minazi na sasa milima ya kilimanjaro na Evaresti... Mnaoshadadia lugha za watu kazi kwenu... Mavazi sasa kauli imetolewa tujirekebishe, nyimbo ziwepi za kizalendo sio "Bongo bahati mbaya karibu ulaya..." Jivunie chako tengeneza kwako sio kusifia nchi za wenzio yako huijengi... Mnailaumu Taifa stars huku mnathamini La Liga, UEFA, Bundes Liga nk jifunzeni uzalendo hujui wimbo wa Taifa ubeti wa pili, hutujui nyimbo za kizalendo na waimbaji wake tunachojua ni majina na nyimbo wanamziki wote ulaya... Hatujui wanyama pori wetu top5, Hatuju hata ukubwa wa nchi yetu ardhi na miliki ya majini, nk nk Harafu tunajiita Wazalendo kweli?????

19. Wanyama wanaibiwa, Ufisadi maliasili ...
Hatua:- Mawaziri walifukuzwa na awamu hii Rais ataanza fukua mafaili kwa hatua stahiki, kuna mtu kakimbia na alishirikiana na Waziri kivuli wa upinzani kupiga deal sasa ana gari la kifahari lisilo akisi kipato chake halali hahaaaa itatumbuka hivi punde

20. Wizi na uhujumu uchumi... EPA hoja aliyoibua Dr. Slaa, RICHMOND ya Wabunge wa CCM waliibua, ESCROW ya kina Kafulila, Mikataba mibovu ya madini hoja ya Zitto nk nk
Hatua:- Serikali za CCM zilichukua hatua na Sasa awamu ya tano inakagua uhalali wa hatua hizo na kama kunafair play ilifanyia wezi wajifiche utawasoma punde ktk Mahakama ya Mafisadi hakuna aibu nchi inaangamia... Jiulizeni walioongoza hoja hizo zote nzito kwanini wako nje ya vyama vyao vya awali na jiulize sasa wako wapi?? Tafakari

21. Biashara ya Madawa ya kulevya na Usafirishaji...na Athari zake kwa wa Tanzania.
Hatua:- Serikali ilijaribu yakatokea ya kina Amina chifupa, Mhe. JK nae alipigana sasa Awamu ya Tano ilianza nalo kwa nguvu bila woga kwa Agizo la Rais na Usimamizi wa RC DSM alievaa mabomu kwaajari ya kuisaidia nchi yake Ndg. P. Makonda sasa mateja hatuwaoni wala wauzaji na wasafirishaji Tz sio tena njia ya biashara ya madawa. Najua mtabisha kwani kubisha ndio kunawapa ugali endeleeni acha nchi isongembele

22. Wizi na Ufisadi Bandari ya Salama.
Hatua:- Kila kukicha kunasafisha safisha ya nzi pale bandari hakuna deal zinafanywa zifanikiwe Wafanya biashara Rwanda juzi wamesifia mifumo na sasa kodi itanufaisha wa Tz. Rais akienda anajua kila kitu wanachofanya kuibia taifa, Waziri mkuu pia anakamata wezi chama sasa kinaisimamia serikali ...

23.
24.
Nakadharika nk nk.to infinity...

Leo wapinzani ni No.1 kupinga na kulialia hayo yanaporekebishwa na kufanyiwa kazi na CCM chini ya Chuma cha pua Mhe. Rais JPM eti ni agenda zao zisiguswe tusubiri mpaka wao waingie madarakani hahaaa ni kituko. Ukichunguza jiulizeni Upinzani umesaidia nini watakuambia Escrow, EPA, Madini basi ila ukiangalia tangu 1992 CCM imeokoa na kusimamia mangapi pia kutekeleza mangapi ukicalculate kila mradi na value for money... Ulinzi na usalama wa nchi hii kwa miaka 56 sasa je nalo tunalibeza?

Hatuwezi paa bila ku cluise ndege huanza kwa speed kali runway kisha inapaa angani CCM inaenda ikiongeza kasi ktk runway kila mwaka na sasa ina take off.
Uvaeni Uzalendo na Tuizungumzie Tanzania bara na Visiwani ambako Dr. Shain na uongozi mzima wanafanya kwa kasi kubwa kuleta maendeleo. Kwa sasa Pesa ya maendeleo ni 60% na 40% Matumizi tuwaunge mkono wazalendo wa matendo si wa maneno.

"Kelele pigeni CCM inasonga mbele kuelekea kuposa Maendeleo ya Watanzania kamwe haitageuka nyuma kuwa jiwe..."

Mungu ibariki Tanzania,
Mungu wabariki Viongozi wetu na Watanzania wajue kilicho chema kwao.
Amen!

P. Katambi
MwanaCCM - Dodoma.
Dec, 2017
Kitambi ni vizuri uende taratibu. Ni busara pia
 
Dogo ndio kwanza umeanza kusugua benchi alafu unawashwawashwa makalio mapema hivi. Tuliza kitenesi kijana huu mchezo hautaki papara
 
Back
Top Bottom