Issue siyo kukosolewa issue ni matusi bro...
Tatizo JF nayo imejaa manyumbu mengi ya kaskazini ndio yanaounga mkono huu upuuzi.kumtukana matusi kama yale kiongozi wa nchi ni kosa kubwa sana, mtu mwenyewe anaongea kichaga/swahili tu na kidhungu hajui sijui anafanya nini US kwa kiingereza kile.Huyu anatakiwa atumiwe watu wakammalizie kule kule kama afanyavyo Kagame.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ninyi vijana wa ccm mmeishiwa ufahamu kiasi hicho na kukalia kuwatia hofu wananchi wasijitokeze kumkosoa rais?Yupo jamaa mmoja hapa JF ambaye kwa muda mrefu amekuwa akikosoa Serikali akiwa mafichoni huko Marekani kwa jina la T.L.Marandu. Juzi amesikika kwenye You tube akimtukana na kumkashifu Rais wa Nchi yetu bila aibu wala adabu. Katika kauli zake alionesha kujaa chuki na kutoa tuhuma nyingi moja kwa moja kwa Rais kama mtu na siyo Taasisi.
Kumbe huyu jamaa anatukana akiwa Marekani amejificha kwa dada yake aliyeolewa huko! Ni aibu na upumbavu wa hali ya juu kumkashifu Rais kwa kile kilichodaiwa kufuta Ardhi ya Bwana fulani mroho aliyemiliki sehemu kubwa ya ardhi bila kuendeleza huku wananchi wa kawaida wakiteseka. Huyu mtu pia anatoa tuhuma ambazo hana uhakika nazo kwa kuihusisha Serikali na mauaji ya kijana mmoja wa CHADEMA (kama kweli anao ushahidi).
Alisikika akimlaumu Mwenyekiti wa CHADEMA taifa kwa kile alichodai ulegevu na kutomchukulia hatua Rais. Haieleweki kama T.L.Marandu ndio hatokanyaga tena Tanzania au anadhani kuwa Serikali haiwezi kumpata kwa kuwa amejificha Nje ya Nchi?? Nina mashaka kama kweli huyu ni Mzalendo wa Nchi hii au anatumiwa na watu fulani kwa maslahi yao. Jamani Rais wa Nchi ni lazima apewe heshima yake maana tumemchagua wenyewe na anapodhalilishwa ni sawa na kudhalilisha Taifa pia. Vijana kumbukeni kuwa mdharau kwao ni mtumwa na tujifunze kuheshimu Viongozi wetu.
Even you my friend you will be reasonable for your stupidity.Any decision you make in life you are responsible for it
Good point..
Good point..
Mbona huelweki?unataka uzalendo kwa nchi ambapo naamini watz 99%ni wazalendo kwa nchi yao ndio maana makelele mengi wanapoona mambo yako ndivyo sivyo au unataka 100%utiifu kwa Rais ambaye kwa macho ya wengine huyo unayehis anakashifiwa kwa 100%wanamuona ni mkandamizaji wa demokrasia ,mvunja sheria ,haheshimy hata watumishi wake .Yupo jamaa mmoja hapa JF ambaye kwa muda mrefu amekuwa akikosoa Serikali akiwa mafichoni huko Marekani kwa jina la T.L.Marandu. Juzi amesikika kwenye You tube akimtukana na kumkashifu Rais wa Nchi yetu bila aibu wala adabu. Katika kauli zake alionesha kujaa chuki na kutoa tuhuma nyingi moja kwa moja kwa Rais kama mtu na siyo Taasisi.
Kumbe huyu jamaa anatukana akiwa Marekani amejificha kwa dada yake aliyeolewa huko! Ni aibu na upumbavu wa hali ya juu kumkashifu Rais kwa kile kilichodaiwa kufuta Ardhi ya Bwana fulani mroho aliyemiliki sehemu kubwa ya ardhi bila kuendeleza huku wananchi wa kawaida wakiteseka. Huyu mtu pia anatoa tuhuma ambazo hana uhakika nazo kwa kuihusisha Serikali na mauaji ya kijana mmoja wa CHADEMA (kama kweli anao ushahidi).
Alisikika akimlaumu Mwenyekiti wa CHADEMA taifa kwa kile alichodai ulegevu na kutomchukulia hatua Rais. Haieleweki kama T.L.Marandu ndio hatokanyaga tena Tanzania au anadhani kuwa Serikali haiwezi kumpata kwa kuwa amejificha Nje ya Nchi?? Nina mashaka kama kweli huyu ni Mzalendo wa Nchi hii au anatumiwa na watu fulani kwa maslahi yao. Jamani Rais wa Nchi ni lazima apewe heshima yake maana tumemchagua wenyewe na anapodhalilishwa ni sawa na kudhalilisha Taifa pia. Vijana kumbukeni kuwa mdharau kwao ni mtumwa na tujifunze kuheshimu Viongozi wetu.
Yupo jamaa mmoja hapa JF ambaye kwa muda mrefu amekuwa akikosoa Serikali akiwa mafichoni huko Marekani kwa jina la T.L.Marandu. Juzi amesikika kwenye You tube akimtukana na kumkashifu Rais wa Nchi yetu bila aibu wala adabu. Katika kauli zake alionesha kujaa chuki na kutoa tuhuma nyingi moja kwa moja kwa Rais kama mtu na siyo Taasisi.
Kumbe huyu jamaa anatukana akiwa Marekani amejificha kwa dada yake aliyeolewa huko! Ni aibu na upumbavu wa hali ya juu kumkashifu Rais kwa kile kilichodaiwa kufuta Ardhi ya Bwana fulani mroho aliyemiliki sehemu kubwa ya ardhi bila kuendeleza huku wananchi wa kawaida wakiteseka. Huyu mtu pia anatoa tuhuma ambazo hana uhakika nazo kwa kuihusisha Serikali na mauaji ya kijana mmoja wa CHADEMA (kama kweli anao ushahidi).
Alisikika akimlaumu Mwenyekiti wa CHADEMA taifa kwa kile alichodai ulegevu na kutomchukulia hatua Rais. Haieleweki kama T.L.Marandu ndio hatokanyaga tena Tanzania au anadhani kuwa Serikali haiwezi kumpata kwa kuwa amejificha Nje ya Nchi?? Nina mashaka kama kweli huyu ni Mzalendo wa Nchi hii au anatumiwa na watu fulani kwa maslahi yao. Jamani Rais wa Nchi ni lazima apewe heshima yake maana tumemchagua wenyewe na anapodhalilishwa ni sawa na kudhalilisha Taifa pia. Vijana kumbukeni kuwa mdharau kwao ni mtumwa na tujifunze kuheshimu Viongozi wetu.
Naomba link ya hiyo channel na mimi nijionee mwenyewe.Nimeangalia hiyo clip yaani nilijihic mm ndo ninayeongea, nilijiona kama jamaa kachukua kinywa changu. Nimempenda sn kwa kujitoa kwake kufikisha ujumbe. Mamburula na wenye Maslahi binafsi waendelee tu kuisifia serikali ya gongo.
Hiyo clip inapatikana channel gani mheshimiwa!?Kwani katukanwa au kaambiwa ukweli? Ukifanya uovu utalipwa uovu, huyu jamaa kamtia akili na ndio maana sasa anajidai kukurupuka eti hana taarifa za bomoa bomoa, jamaa huko ulipo tuma ujumbe mwingine ili akili zimrudie huyu jamaa anajidai chizi ajue kuna machizi zaidi yake..
Inapatikana FB.. HUKO mkuu..