Ni aibu kumkashifu kiongozi wa nchi yako ukiwa umejificha ugenini

bhututu

JF-Expert Member
Sep 14, 2016
663
1,000
Kamtukana, kamkashifu rais na sio tanzania, ni sawa tu hiyo yote ni kwa sababu ya uzalendo wake tuu.
 
Ciril

JF-Expert Member
Jan 10, 2011
8,562
2,000
Tatizo JF nayo imejaa manyumbu mengi ya kaskazini ndio yanaounga mkono huu upuuzi.kumtukana matusi kama yale kiongozi wa nchi ni kosa kubwa sana, mtu mwenyewe anaongea kichaga/swahili tu na kidhungu hajui sijui anafanya nini US kwa kiingereza kile.Huyu anatakiwa atumiwe watu wakammalizie kule kule kama afanyavyo Kagame.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuanzia unae mtetea mpaka mfuasi wa mwisho kama wewe woote mnaonekana mlivyo wauaji,kisa mmeambiwa mmepyuuu ..
 
Say no to actors

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
638
1,000
Yupo jamaa mmoja hapa JF ambaye kwa muda mrefu amekuwa akikosoa Serikali akiwa mafichoni huko Marekani kwa jina la T.L.Marandu. Juzi amesikika kwenye You tube akimtukana na kumkashifu Rais wa Nchi yetu bila aibu wala adabu. Katika kauli zake alionesha kujaa chuki na kutoa tuhuma nyingi moja kwa moja kwa Rais kama mtu na siyo Taasisi.

Kumbe huyu jamaa anatukana akiwa Marekani amejificha kwa dada yake aliyeolewa huko! Ni aibu na upumbavu wa hali ya juu kumkashifu Rais kwa kile kilichodaiwa kufuta Ardhi ya Bwana fulani mroho aliyemiliki sehemu kubwa ya ardhi bila kuendeleza huku wananchi wa kawaida wakiteseka. Huyu mtu pia anatoa tuhuma ambazo hana uhakika nazo kwa kuihusisha Serikali na mauaji ya kijana mmoja wa CHADEMA (kama kweli anao ushahidi).

Alisikika akimlaumu Mwenyekiti wa CHADEMA taifa kwa kile alichodai ulegevu na kutomchukulia hatua Rais. Haieleweki kama T.L.Marandu ndio hatokanyaga tena Tanzania au anadhani kuwa Serikali haiwezi kumpata kwa kuwa amejificha Nje ya Nchi?? Nina mashaka kama kweli huyu ni Mzalendo wa Nchi hii au anatumiwa na watu fulani kwa maslahi yao. Jamani Rais wa Nchi ni lazima apewe heshima yake maana tumemchagua wenyewe na anapodhalilishwa ni sawa na kudhalilisha Taifa pia. Vijana kumbukeni kuwa mdharau kwao ni mtumwa na tujifunze kuheshimu Viongozi wetu.
Hivi ninyi vijana wa ccm mmeishiwa ufahamu kiasi hicho na kukalia kuwatia hofu wananchi wasijitokeze kumkosoa rais?
 
kigogo warioba

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
5,747
2,000
tatizo kubwa la nchi hii ni kutaka kuwaelekeza watu jinsi ya kutoa maoni, waacheni watu watoa maoni yao, wako huru!
 
Wa Nyumbani

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
433
195
E="Gangongine, post: 23097936, member: 346691"]Yupo jamaa mmoja hapa JF ambaye kwa muda mrefu amekuwa akikosoa Serikali akiwa mafichoni huko Marekani kwa jina la T.L.Marandu. Juzi amesikika kwenye You tube akimtukana na kumkashifu Rais wa Nchi yetu bila aibu wala adabu. Katika kauli zake alionesha kujaa chuki na kutoa tuhuma nyingi moja kwa moja kwa Rais kama mtu na siyo Taasisi.

Huyo Rais unayesema anatukanwa, mlimchagua ninyi. Na wewe watukane wanaomtukana

Kumbe huyu jamaa anatukana akiwa Marekani amejificha kwa dada yake aliyeolewa huko! Ni aibu na upumbavu wa hali ya juu kumkashifu Rais kwa kile kilichodaiwa kufuta Ardhi ya Bwana fulani mroho aliyemiliki sehemu kubwa ya ardhi bila kuendeleza huku wananchi wa kawaida wakiteseka. Huyu mtu pia anatoa tuhuma ambazo hana uhakika nazo kwa kuihusisha Serikali na mauaji ya kijana mmoja wa CHADEMA (kama kweli anao ushahidi).

Alisikika akimlaumu Mwenyekiti wa CHADEMA taifa kwa kile alichodai ulegevu na kutomchukulia hatua Rais. Haieleweki kama T.L.Marandu ndio hatokanyaga tena Tanzania au anadhani kuwa Serikali haiwezi kumpata kwa kuwa amejificha Nje ya Nchi?? Nina mashaka kama kweli huyu ni Mzalendo wa Nchi hii au anatumiwa na watu fulani kwa maslahi yao. Jamani Rais wa Nchi ni lazima apewe heshima yake maana tumemchagua wenyewe na anapodhalilishwa ni sawa na kudhalilisha Taifa pia. Vijana kumbukeni kuwa mdharau kwao ni mtumwa na tujifunze kuheshimu Viongozi wetu.[/QUOTE]

Huyo
 
124 Ali

JF-Expert Member
Apr 25, 2010
7,677
2,000
Yupo jamaa mmoja hapa JF ambaye kwa muda mrefu amekuwa akikosoa Serikali akiwa mafichoni huko Marekani kwa jina la T.L.Marandu. Juzi amesikika kwenye You tube akimtukana na kumkashifu Rais wa Nchi yetu bila aibu wala adabu. Katika kauli zake alionesha kujaa chuki na kutoa tuhuma nyingi moja kwa moja kwa Rais kama mtu na siyo Taasisi.

Kumbe huyu jamaa anatukana akiwa Marekani amejificha kwa dada yake aliyeolewa huko! Ni aibu na upumbavu wa hali ya juu kumkashifu Rais kwa kile kilichodaiwa kufuta Ardhi ya Bwana fulani mroho aliyemiliki sehemu kubwa ya ardhi bila kuendeleza huku wananchi wa kawaida wakiteseka. Huyu mtu pia anatoa tuhuma ambazo hana uhakika nazo kwa kuihusisha Serikali na mauaji ya kijana mmoja wa CHADEMA (kama kweli anao ushahidi).

Alisikika akimlaumu Mwenyekiti wa CHADEMA taifa kwa kile alichodai ulegevu na kutomchukulia hatua Rais. Haieleweki kama T.L.Marandu ndio hatokanyaga tena Tanzania au anadhani kuwa Serikali haiwezi kumpata kwa kuwa amejificha Nje ya Nchi?? Nina mashaka kama kweli huyu ni Mzalendo wa Nchi hii au anatumiwa na watu fulani kwa maslahi yao. Jamani Rais wa Nchi ni lazima apewe heshima yake maana tumemchagua wenyewe na anapodhalilishwa ni sawa na kudhalilisha Taifa pia. Vijana kumbukeni kuwa mdharau kwao ni mtumwa na tujifunze kuheshimu Viongozi wetu.
Mbona huelweki?unataka uzalendo kwa nchi ambapo naamini watz 99%ni wazalendo kwa nchi yao ndio maana makelele mengi wanapoona mambo yako ndivyo sivyo au unataka 100%utiifu kwa Rais ambaye kwa macho ya wengine huyo unayehis anakashifiwa kwa 100%wanamuona ni mkandamizaji wa demokrasia ,mvunja sheria ,haheshimy hata watumishi wake .
Nini unataka ?heshima hainaga mbabe ni mutual understanding unamheshimu mtu nae atakuheshimu ukitaka heshima ta kibabe basi utadhihakiwa utabezwa mbele yako japo kwa mafumbo !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NgugiAchebe

JF-Expert Member
Jul 11, 2016
1,027
2,000
Nimemuona yule jamaa Na jina lake tu kiswahili chake tu nikaona ndio wale wale wanaona serkali haiwatendei haki kila siku
 
mwasu

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
10,192
2,000
Kwani katukanwa au kaambiwa ukweli? Ukifanya uovu utalipwa uovu, huyu jamaa kamtia akili na ndio maana sasa anajidai kukurupuka eti hana taarifa za bomoa bomoa, jamaa huko ulipo tuma ujumbe mwingine ili akili zimrudie huyu jamaa anajidai chizi ajue kuna machizi zaidi yake..
 
GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,619
2,000
ndugu ulitaka aongee anayoyaongea akiwa tandale kwa mfuga mbwa ili kesho yake akaongelee segerea au ukonga?we mwenyewe unamtukana jamaa ukiwa umejificha pale gheto kwako vingunguti. sasa kwa nini usingeenda marekani ukawamwambie jamaa? maana unarudia yale yale ambayo anapofanya mwenzio yanaokena ni makosa. wewe hukupaswa kujificha vingunguti kwa dada yako ulipaswa upande ndege uende usa ukamwambie jamaa kuwa anakosea ikiwa anakosea. angekuwa amesema mazuri si ungesema diaspora wanamkubali sana rais? akisema kinyuma inakuwa amesema akiwa amejificha.

Yupo jamaa mmoja hapa JF ambaye kwa muda mrefu amekuwa akikosoa Serikali akiwa mafichoni huko Marekani kwa jina la T.L.Marandu. Juzi amesikika kwenye You tube akimtukana na kumkashifu Rais wa Nchi yetu bila aibu wala adabu. Katika kauli zake alionesha kujaa chuki na kutoa tuhuma nyingi moja kwa moja kwa Rais kama mtu na siyo Taasisi.

Kumbe huyu jamaa anatukana akiwa Marekani amejificha kwa dada yake aliyeolewa huko! Ni aibu na upumbavu wa hali ya juu kumkashifu Rais kwa kile kilichodaiwa kufuta Ardhi ya Bwana fulani mroho aliyemiliki sehemu kubwa ya ardhi bila kuendeleza huku wananchi wa kawaida wakiteseka. Huyu mtu pia anatoa tuhuma ambazo hana uhakika nazo kwa kuihusisha Serikali na mauaji ya kijana mmoja wa CHADEMA (kama kweli anao ushahidi).

Alisikika akimlaumu Mwenyekiti wa CHADEMA taifa kwa kile alichodai ulegevu na kutomchukulia hatua Rais. Haieleweki kama T.L.Marandu ndio hatokanyaga tena Tanzania au anadhani kuwa Serikali haiwezi kumpata kwa kuwa amejificha Nje ya Nchi?? Nina mashaka kama kweli huyu ni Mzalendo wa Nchi hii au anatumiwa na watu fulani kwa maslahi yao. Jamani Rais wa Nchi ni lazima apewe heshima yake maana tumemchagua wenyewe na anapodhalilishwa ni sawa na kudhalilisha Taifa pia. Vijana kumbukeni kuwa mdharau kwao ni mtumwa na tujifunze kuheshimu Viongozi wetu.
 
Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
7,498
2,000
Weka evidence tuone kama kweli kamtukana ila kama kamkosoa ni ruksa kwani rais sio Mungu ni binadamu tu anayekosea kama wengine.

Hii tàbia ya kumfanya rais mungu mtu inafaa ikome kabisa na nyie wenye kupenda kujipendekeza kwa njaa nzenu, mnapashwa kuiacha kabisa hii tabia.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom