Ni aibu kumkashifu kiongozi wa nchi yako ukiwa umejificha ugenini

mbona huyo jamaa anazo hizo clip zaidi ya mbili u tube...

kimtokacho mtu si najisi najisi ni kimuingiacho....
 
K
Yupo jamaa mmoja hapa JF ambaye kwa muda mrefu amekuwa akikosoa Serikali akiwa mafichoni huko Marekani kwa jina la T.L.Marandu. Juzi amesikika kwenye You tube akimtukana na kumkashifu Rais wa Nchi yetu bila aibu wala adabu. Katika kauli zake alionesha kujaa chuki na kutoa tuhuma nyingi moja kwa moja kwa Rais kama mtu na siyo Taasisi.

Kumbe huyu jamaa anatukana akiwa Marekani amejificha kwa dada yake aliyeolewa huko! Ni aibu na upumbavu wa hali ya juu kumkashifu Rais kwa kile kilichodaiwa kufuta Ardhi ya Bwana fulani mroho aliyemiliki sehemu kubwa ya ardhi bila kuendeleza huku wananchi wa kawaida wakiteseka. Huyu mtu pia anatoa tuhuma ambazo hana uhakika nazo kwa kuihusisha Serikali na mauaji ya kijana mmoja wa CHADEMA (kama kweli anao ushahidi).

Alisikika akimlaumu Mwenyekiti wa CHADEMA taifa kwa kile alichodai ulegevu na kutomchukulia hatua Rais. Haieleweki kama T.L.Marandu ndio hatokanyaga tena Tanzania au anadhani kuwa Serikali haiwezi kumpata kwa kuwa amejificha Nje ya Nchi?? Nina mashaka kama kweli huyu ni Mzalendo wa Nchi hii au anatumiwa na watu fulani kwa maslahi yao. Jamani Rais wa Nchi ni lazima apewe heshima yake maana tumemchagua wenyewe na anapodhalilishwa ni sawa na kudhalilisha Taifa pia. Vijana kumbukeni kuwa mdharau kwao ni mtumwa na tujifunze kuheshimu Viongozi wetu.
Toa ufafanuzi, weka na ushahidi. Tuone kama ulichoandika ni kweli au unafanya propaganda hapa
 
Yupo jamaa mmoja hapa JF ambaye kwa muda mrefu amekuwa akikosoa Serikali akiwa mafichoni huko Marekani kwa jina la T.L.Marandu. Juzi amesikika kwenye You tube akimtukana na kumkashifu Rais wa Nchi yetu bila aibu wala adabu. Katika kauli zake alionesha kujaa chuki na kutoa tuhuma nyingi moja kwa moja kwa Rais kama mtu na siyo Taasisi.
HEBU TAFADHALI TUELEZE MAANA YA UZALENDO. PIA WEKA ANDIKO LA HUYO MARANDU
Kumbe huyu jamaa anatukana akiwa Marekani amejificha kwa dada yake aliyeolewa huko! Ni aibu na upumbavu wa hali ya juu kumkashifu Rais kwa kile kilichodaiwa kufuta Ardhi ya Bwana fulani mroho aliyemiliki sehemu kubwa ya ardhi bila kuendeleza huku wananchi wa kawaida wakiteseka. Huyu mtu pia anatoa tuhuma ambazo hana uhakika nazo kwa kuihusisha Serikali na mauaji ya kijana mmoja wa CHADEMA (kama kweli anao ushahidi).

Alisikika akimlaumu Mwenyekiti wa CHADEMA taifa kwa kile alichodai ulegevu na kutomchukulia hatua Rais. Haieleweki kama T.L.Marandu ndio hatokanyaga tena Tanzania au anadhani kuwa Serikali haiwezi kumpata kwa kuwa amejificha Nje ya Nchi?? Nina mashaka kama kweli huyu ni Mzalendo wa Nchi hii au anatumiwa na watu fulani kwa maslahi yao. Jamani Rais wa Nchi ni lazima apewe heshima yake maana tumemchagua wenyewe na anapodhalilishwa ni sawa na kudhalilisha Taifa pia. Vijana kumbukeni kuwa mdharau kwao ni mtumwa na tujifunze kuheshimu Viongozi wetu.
 
Aliyetukana wanafunzi wa UDOM kwamba vilaza hivi alikua nani vile aliyesema kuna mawaziri wapumbavu alikua nani vile anaekunya kuku akinya bata kaarisha
 
Nendeni Marekani mkamkamate....si mna jeuri hiyo?

No matter how evil money is,but being broke is not holly.
 
Kina T.L Marandu wamesema mpaka rais Magufuli kaanza kujirudi suala la kuvunja nyumba Morogoro Road.

Anawaruka aliowatuma kwa kusema hana habari.

Kitu kipo kwenye headlines miezi na miezi, rais wa nchi hana habari kivipi?

Ina maana wasaidizi wake wote hawaoni? Yeye mwenyewe hasomi habari?

Washaanza damage control.
 
Mimi wa Kukaa kwa Dada? Mimi Nawinda Swala na Kupiga Story na Akina Jeff Sessions, na Lindsey Graham niwe Mtu wa kukaa kwa Dada! What a Joke! Wewe Ni Mwongo na hujui Lolote juu yangu! Na Nilishasema Bila aibu kuwa, Nilimia Lugha isiyokubalika, Ingawa Naikubali na Kuilelewa Mwenyewe, Nikawataka Wadau wote Radhi na Akiwepo Rais Mwenyewe. Lakini Nikasema Kimsingi Madai yangu yapo Pale, Mtu 1) Akileta hila na hujuma na uhuni katika siasa 2) Mtu akiwa Mwonevu na Mwenye double stadard 3)Mtu akitaka Kuingilia uhuru wa Mahakama 4) Mtu akiingilia Bunge 5) Mtu akitumia Polisi Kisiasa Kukomoa na Kutesa Watu 6) Mtu akiwa Mkatili kuharibu maisha ya Watu Kama ilivyotokea Ubungo!Mtu huyo hata akiwa Baba yangu Nitampinga Kwa Maneno Mazito sana!

Kuhusu wewe Mleta Mada, Mimi Ni Mkondorasi wa Umeme Mwenye Uzoefu wa Miaka 13 na Utaalamu wa Hali ya Juu! Mimi sio wa Kukaa kwa Dada! By the way, Ninyi si Ndio Mliokuwa Majukwaani akiwepo Magufuli Mkipigia Makofi waliosema Lowassa Kajinyea? Ulikuwa wapi hukukemea?
Kwa hiyo kumbe umetumwa na Lowassa ili kulipiza kisasi kwa yeye kuambiwa kajinyea? Halafu wewe unakemea kama nani hasa? Kwa nini kama mwanaume kweli na usiyeogopa Mamlaka usije kutukania huku Tanzania badala yake umejificha huko ughaibuni unabweka kama kijibwa!! Halafu unajisifia kwa ushamba wa hali ya juu eti nawinda swala mara oh mkandarasi wa umeme wa hali ya juu wakati English yenyewe unachapia tu! Poor you! Hao uliowataja wana faida gani kwangu na kwa Tanzania? Endelea kutumika huko ughaibuni ukijidai ni shujaa uliyejificha chumbani!!
 
Yupo jamaa mmoja hapa JF ambaye kwa muda mrefu amekuwa akikosoa Serikali akiwa mafichoni huko Marekani kwa jina la T.L.Marandu. Juzi amesikika kwenye You tube akimtukana na kumkashifu Rais wa Nchi yetu bila aibu wala adabu. Katika kauli zake alionesha kujaa chuki na kutoa tuhuma nyingi moja kwa moja kwa Rais kama mtu na siyo Taasisi.

Kumbe huyu jamaa anatukana akiwa Marekani amejificha kwa dada yake aliyeolewa huko! Ni aibu na upumbavu wa hali ya juu kumkashifu Rais kwa kile kilichodaiwa kufuta Ardhi ya Bwana fulani mroho aliyemiliki sehemu kubwa ya ardhi bila kuendeleza huku wananchi wa kawaida wakiteseka. Huyu mtu pia anatoa tuhuma ambazo hana uhakika nazo kwa kuihusisha Serikali na mauaji ya kijana mmoja wa CHADEMA (kama kweli anao ushahidi).

Alisikika akimlaumu Mwenyekiti wa CHADEMA taifa kwa kile alichodai ulegevu na kutomchukulia hatua Rais. Haieleweki kama T.L.Marandu ndio hatokanyaga tena Tanzania au anadhani kuwa Serikali haiwezi kumpata kwa kuwa amejificha Nje ya Nchi?? Nina mashaka kama kweli huyu ni Mzalendo wa Nchi hii au anatumiwa na watu fulani kwa maslahi yao. Jamani Rais wa Nchi ni lazima apewe heshima yake maana tumemchagua wenyewe na anapodhalilishwa ni sawa na kudhalilisha Taifa pia. Vijana kumbukeni kuwa mdharau kwao ni mtumwa na tujifunze kuheshimu Viongozi wetu.
Naomba nijaribu kusaidia kukupunguzia hasira kuhusu clip hii inayotembea mtandaoni.
Katika masuala ya kiimani na yanayomhusu Mungu wengi tunaamini ya kuwa unaweza ukawa mchafu sana lakini ukatakasika na kuwa msafi baada ya matendo fulani.Waislamu wanaorudi toka Hijja wanarudi wakiamini wamesafishika na dini nyingine kadhalika.
Katika maisha ya dunia kusafishika jumla hakupo hata kama utabadili matendo yako.Godbless Lema aliishi Nairobi na kuna habari za kuwa alishiriki hata katika wizi wa magari (sina Uhakika).Kwa muonekano wa leo wa Godbless Lema kiimani inaonekana ya kuwa ni mtu safi lakini ni vipi kwa watu walioibiwa magari yao huku Nairobi?
JPM katika safari yake ya siasa amepitia hatua nyingi na nyingine ni kinyume ya kile anachokihubiri sasa.Inawezekana kwa Mwenyezi Mungu JPM huyu ni tofauti na yule aliyefanya upendeleo akiwa Waziri lakini kwa wale tuliosoma makala za uuzaji wa nyumba za serikali katika gazeti la Rai tunamuonaje JPM?
Hitimisho,katika maisha haya huwezi kupendwa na kila mtu na wakati mwingine yaacheni mambo yapite.Huyo bwana kazungumza,mema yachukueni mabaya muachieni mwenyewe.
JPM ndiye Raisi!!
 
Kwa hiyo kumbe umetumwa na Lowassa ili kulipiza kisasi kwa yeye kuambiwa kajinyea? Halafu wewe unakemea kama nani hasa? Kwa nini kama mwanaume kweli na usiyeogopa Mamlaka usije kutukania huku Tanzania badala yake umejificha huko ughaibuni unabweka kama kijibwa!! Halafu unajisifia kwa ushamba wa hali ya juu eti nawinda swala mara oh mkandarasi wa umeme wa hali ya juu wakati English yenyewe unachapia tu! Poor you! Hao uliowataja wana faida gani kwangu na kwa Tanzania? Endelea kutumika huko ughaibuni ukijidai ni shujaa uliyejificha chumbani!!
Nyerere Alikuwa Mwanamme au La? Kwanini Miaka ya 65-80 Asingeenda Johannesburg kufanya Press conference ya Kupinga Utawala wa Makaburu? Mimi sijatumwa na Lowassa Je wewe Umetumwa na Bashite au Magufuli? Nachapia English sio? Bado Nakazana Nipate PHD pengine nitaweza kama hivi!
Usijifanye
 
HAYA BWANA UMESHINDA. BAKI HUKO HUKO KWENU MAREKANI. SISI TUNASONGA MBELE
 
26 Reactions
Reply
Back
Top Bottom