Ni aibu kumkashifu kiongozi wa nchi yako ukiwa umejificha ugenini

HAYA BWANA UMESHINDA. BAKI HUKO HUKO KWENU MAREKANI. SISI TUNASONGA MBELE
Unakosea, Nilishasema Nakuja Tanzania November 2017! Usije kudhani mimi naogopa, sana sana Wataninyima Visa! Negeuza na Kushukia zangu Nairobi au Lilogwe. Yaani Mambo ya Siasa yaninyime Kusafiri? Mark my Words! I will be in Tanzania November.
 
Mkuu TL,

Sidhani kama kuna mtu atapoteza muda kukufuatilia kihivyo.

lIa ningependa tu kukutahadharisha kwamba ulichokifanya katika hizo video zako si kibaya lakini kwa upande huu (upande wa TZ) kinaleta hamasa za aina nyingi.

Ikiwa umeamua kuwa mwanasiasa basi ingia kwenye ngoma uicheze, lakini kama una maisha yako huko uliko na yana mashiko basi wewe piga kazi huko na ukiwa likizo uwe huru kutembelea Tanzania.

Kinachoweza kufanyika kwako ni kama wanavyofanya nchi nyingi tu zenye watu wakorofi kama wewe, kwamba wanangojea urudi na passport yako ya huko Marekani kabla ya kukukamata na kukuweka rumande.

Kisha wanawasiliana na ubalozi wa Marekani kuhusu wewe na kuwapa ushahidi wote na inakuwa ni tabu sana kuachiwa.

Zipo kesi nyingi za namna hiyo zi-goole utaziona za watu wenye passport za mataifa makubwa lakini wanakuwa na kimbelembele kuwakashifu viongozi wa nchi zao huku wakiwa wamesahau kwamba wana ndugu katika nchi zao za asili.

Wanasahau kwamba wakifanya hicho ulichokifanya basi kinakuwa kimeandikiwa kinoti "permanent logged".

Lakini kama ulivyotoa mfano wa simba kwamba ni mwoga ndiyo maana anashambulia kujilinda lakini pia wewe umejifungia chumbani na ukarekodi hiyo video kuonyesha dalili za uoga.

Unasahau kwamba wewe una kwenu na kwenu ni Tanzania na si Marekani ambako ni kwa makazi ya muda tu ya kutafuta maisha.

Kuna kitu kinaitwa "blacklisting" unafahamu? Ni orodha ndeefu ya watu wenye utata na inaweza kuwekwa na wamarekani wenyewe au watanzania.

Ni vizuri umetambua hilo na umejaribu kusawazisha lakini unapofanya mambo kama haya unatakiwa uwe unatafakari kwanza.

Nikuulize suali moja tu je, kwanini unajiamini sana na wewe siyo Tundu Lissu?

Otherwise stay blessed.
 
  1. Ndimi Bwana Mungu wako usimwabudu mungu mwingine
  2. Usilitaje jina la Mungu wako bure
  3. Shika kitakatifu siku ya Bwana
Kwa umakini hapo juu hutakiwi;
  1. kumjadili Mungu
  2. kumsema vibaya
  3. kumtukana ktk namna yoyote
  4. Kutoa kashfa yoyote
Mitume na Manabii wa Mungu walipata kutukanwa, kusemwa, kusengenywa, kupigwa na KUUWA.
Amen!
 
sijui ni malezi au mitaala ya shule zetu ndio inaleta huu uzuzu-hivi mnawezaje kutamani Rais asifiwe tuuuuuu, atukuzwe tuuuuu, ashangiliwe tuuuuu yaani asisahihishwe hata kwa kauli moja, hata kwa uamuzi mmoja. Kwanza hilo wazo ni kufuru kwa sababu mbili-mosi: hata Mungu kupitia maandiko matakatifu anaridhia kukosolewa..Pili:kujiaminisha kwamba mwanadamu fulani hakosei ni kumtoa daraja la ubinadamu na kumuweka daraja la umungu. Magufuli na wafuasi wake ni dhaifu na waoga hadi kwa vivuli vyao. Muoga na dhaifu hukimbia criticism ya aina yoyote.
 
Du kumbe hata nikiwa Malawi ni poa tu ngoja nikafungukie huko hapa bongo mkojo wangu naogopa kupimwa
 
Mkuu nawewe nenda marekani uwatukane wapinzani,hivi mtu unaenda jimboni kwa wananchi waliotumia haki yao ya kikatiba kumchagua mbunge wa upinzani unawakejeli unategemnea nani atakuheshimu
 
sijui ni malezi au mitaala ya shule zetu ndio inaleta huu uzuzu-hivi mnawezaje kutamani Rais asifiwe tuuuuuu, atukuzwe tuuuuu, ashangiliwe tuuuuu yaani asisahihishwe hata kwa kauli moja, hata kwa uamuzi mmoja. Kwanza hilo wazo ni kufuru kwa sababu mbili-mosi: hata Mungu kupitia maandiko matakatifu anaridhia kukosolewa..Pili:kujiaminisha kwamba mwanadamu fulani hakosei ni kumtoa daraja la ubinadamu na kumuweka daraja la umungu. Magufuli na wafuasi wake ni dhaifu na waoga hadi kwa vivuli vyao. Muoga na dhaifu hukimbia criticism ya aina yoyote.
Kwa hiyo wewe ni strong sana siyo?
 
Yupo jamaa mmoja hapa JF ambaye kwa muda mrefu amekuwa akikosoa Serikali akiwa mafichoni huko Marekani kwa jina la T.L.Marandu. Juzi amesikika kwenye You tube akimtukana na kumkashifu Rais wa Nchi yetu bila aibu wala adabu. Katika kauli zake alionesha kujaa chuki na kutoa tuhuma nyingi moja kwa moja kwa Rais kama mtu na siyo Taasisi.

Kumbe huyu jamaa anatukana akiwa Marekani amejificha kwa dada yake aliyeolewa huko! Ni aibu na upumbavu wa hali ya juu kumkashifu Rais kwa kile kilichodaiwa kufuta Ardhi ya Bwana fulani mroho aliyemiliki sehemu kubwa ya ardhi bila kuendeleza huku wananchi wa kawaida wakiteseka. Huyu mtu pia anatoa tuhuma ambazo hana uhakika nazo kwa kuihusisha Serikali na mauaji ya kijana mmoja wa CHADEMA (kama kweli anao ushahidi).

Alisikika akimlaumu Mwenyekiti wa CHADEMA taifa kwa kile alichodai ulegevu na kutomchukulia hatua Rais. Haieleweki kama T.L.Marandu ndio hatokanyaga tena Tanzania au anadhani kuwa Serikali haiwezi kumpata kwa kuwa amejificha Nje ya Nchi?? Nina mashaka kama kweli huyu ni Mzalendo wa Nchi hii au anatumiwa na watu fulani kwa maslahi yao. Jamani Rais wa Nchi ni lazima apewe heshima yake maana tumemchagua wenyewe na anapodhalilishwa ni sawa na kudhalilisha Taifa pia. Vijana kumbukeni kuwa mdharau kwao ni mtumwa na tujifunze kuheshimu Viongozi wetu.
Huyo jamaa yupo kwa dada yake aliye olewa huko USA na anathubutu kutoa matusi na kujidai hapa na pale,siku wakipewa talaka sijui itakuwaje.

Nb. Kijana unaeishi kwa dada usiwe na mbwembwe.

"the highest risk shoud give the maximum profit"
 
Yupo jamaa mmoja hapa JF ambaye kwa muda mrefu amekuwa akikosoa Serikali akiwa mafichoni huko Marekani kwa jina la T.L.Marandu. Juzi amesikika kwenye You tube akimtukana na kumkashifu Rais wa Nchi yetu bila aibu wala adabu. Katika kauli zake alionesha kujaa chuki na kutoa tuhuma nyingi moja kwa moja kwa Rais kama mtu na siyo Taasisi.

Kumbe huyu jamaa anatukana akiwa Marekani amejificha kwa dada yake aliyeolewa huko! Ni aibu na upumbavu wa hali ya juu kumkashifu Rais kwa kile kilichodaiwa kufuta Ardhi ya Bwana fulani mroho aliyemiliki sehemu kubwa ya ardhi bila kuendeleza huku wananchi wa kawaida wakiteseka. Huyu mtu pia anatoa tuhuma ambazo hana uhakika nazo kwa kuihusisha Serikali na mauaji ya kijana mmoja wa CHADEMA (kama kweli anao ushahidi).

Alisikika akimlaumu Mwenyekiti wa CHADEMA taifa kwa kile alichodai ulegevu na kutomchukulia hatua Rais. Haieleweki kama T.L.Marandu ndio hatokanyaga tena Tanzania au anadhani kuwa Serikali haiwezi kumpata kwa kuwa amejificha Nje ya Nchi?? Nina mashaka kama kweli huyu ni Mzalendo wa Nchi hii au anatumiwa na watu fulani kwa maslahi yao. Jamani Rais wa Nchi ni lazima apewe heshima yake maana tumemchagua wenyewe na anapodhalilishwa ni sawa na kudhalilisha Taifa pia. Vijana kumbukeni kuwa mdharau kwao ni mtumwa na tujifunze kuheshimu Viongozi wetu.
Jibu ni rahisi sanaaaaaaana, "Mara zote, huwezi kusukuma gari ukiwa ndani"!
 
Kwa nn rais asikosolewe eti kisa anayemkosoa yuko nje mafichon kwan shida iko wapi Kama serikali imejaa upuuzi na ubakaji wa demokrasia na chuki kwa wapizan na utapeli kwa watumishi shida iko wapi serikali ikikosolewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sahihi, watu wasio na kwao , hawatakuelewa. Ni kundi lisilojua na kujijuà. Wanakula matusi na wanaishi kwa matusi. Hawajui utamu wa kuheshimu kiongozi wao. Kwao hakuna kiongozi wao ni zaidi ya wanyama. Hawajui kusitili aibu ya kwao wala mema ya nyumbani kwao.
 
Kwa nn rais asikosolewe eti kisa anayemkosoa yuko nje mafichon kwan shida iko wapi Kama serikali imejaa upuuzi na ubakaji wa demokrasia na chuki kwa wapizan na utapeli kwa watumishi shida iko wapi serikali ikikosolewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio maana huolewi kwa sababu ya kiranga chako! pyeeeeeeeee!
 
Back
Top Bottom