Ni aibu kubwa Taifa kutimiza miaka 60 ya uhuru wake, linahangaika kuwatafutia wananchi umeme na maji

Watanzania badala ya kuangalia njia ya kumaliza matatizo wao wanakimbilia kulaumu amabye hayupo na amabye alitusqidia kuondokana na suala la migao
 
Watanzania badala ya kuangalia njia ya kumaliza matatizo wao wanakimbilia kulaumu amabye hayupo na amabye alitusqidia kuondokana na suala la migao
Kwa kweli inaudhi sana shughuli zinadorora joto limezidi unatafuta maji uoge kupoza mwili unakuta haypo unataka uwashe feni ili ikupepee umeme hamna serikali inataka kusingizia maji kumbe maji yapo sasa tumechoka njooni na suluhu sio kutuzugazuga tu!!
 
Back
Top Bottom