uhaba wa maji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. UTPC

    JamiiForums Tanzania MKUWASA inavyopambana na changamoto ya uhaba wa maji, Shilingi Bilioni 4.046 zinatumika

    Katika kukabiliana na uhaba mkubwa wa maji safi na salama unaoikumba Kata ya Mkwajuni pamoja na kata nyingine za Saza na Mwambani wilayani Songwe, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mkwajuni (MKUWASA) kwa sasa inatekeleza mpango haraka wa kuongeza upatikanaji wa maji kupitia mradi wa...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania LHRC Yafuatilia Wimbi la Malalamiko Kuhusu Uhaba wa Maji Safi na Salama Nchini

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinaendelea kufuatilia taarifa kutoka maeneo mbalimbali nchini kuhusu changamoto za upatikanaji wa huduma ya maji. Taarifa zinazoendelea kuripotiwa zinaonesha kuwa wananchi wengi bado wanakabiliwa na uhaba wa maji safi na salama pamoja na huduma zisizo...
  3. B

    JamiiForums Tanzania KERO Tatizo la uhaba wa maji Dar

    Kuna uhaba mkubwa sana wa Maji maeneo ya Kwa Msuguri, Dar. Ni zaidi ya wiki tatu Sasa maji hayatoki na bili zinaletwa. Watu tunanunua maji Kwa gharama kubwa. Au ni mbinu ya DAWASA ili watu wafanye biashara ya maji? Uhaba wa Maji huku ni zaidi ya Mwanza AWESO.
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Uhaba wa MAJI - Mlandizi-Msufini

    Jamii Forums naomba msaada kwenu. Nipo kata ya Mlandizi, Kitongoji cha Msufini, Mtaa wa Kilimanjaro. Kuna changamoto ya Uhaba wa maji kutoka, huu ni mwezi wa pili sasa. Wakati wa Mchana huwa yanatoka kwa masaa si zaidi ya 8 na saa 12 jioni yanafungwa - kuna baadhi ya siku yanafunguliwa mchana...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mgao mkali wa Maji katika Mtaa wa PPF, Kata ya Kiseke – Ilemela Mwanza

    Naomba kuwasilisha kilio cha wananchi wa Mtaa wa PPF, Kata ya Kiseke ndani ya Manispaa ya Ilemela kuhusu tatizo kubwa la ukosefu wa maji ambalo limekuwa likiendelea kwa muda mrefu sasa. Kwa sasa eneo hili hupata maji mara moja tu kwa wiki, mara nyingi siku ya Jumatano pekee. Wakati mwingine...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Mwanza: Uhaba wa Maji - Mkolani, Relini, na Utemini

    Ni zaidi ya wiki mbili Sasa wakazi wa Utemini, Maendeleo, Relini na Maduka Matatu hatuna maji na hakuna taarifa yeyote kutoka MWAUWASA wanatutesa na bili zinakuja kawaida. Katibu wa wizara ya maji yuko Mwanza sijui kama anafahamu juu ya hili tatizo..Wanawake na Watoto wanateseka na uhaba huu wa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania KERO Nini kimetokea DAWASA? Maji yamepotelea wapi? Kuna matatizo gani?

    Wakuu, salama? Kuna hali inashangaza sana. Mimi ni mkazi wa meneo ya Goba, kabla ya mwezi November mwaka jana (2025) tulikuwa tunapata maji vizuri kabisa na kwa presha kubwa lakini nakumbuka kuelekea mwishoni mwa mwaka jana around hiyo November kuna hali ya upungufu wa maji ilitokea maeneo...
  8. Ntele Bhn

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa maji Dar: Tatizo sio maji, tatizo ni Uongozi

    Dar es Salaam, jiji kubwa na kitovu cha uchumi wa Tanzania, limeendelea kukumbwa na uhaba mkubwa wa maji safi na salama kwa matumizi ya binadamu Jana nimemsikia Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba akiwa mto ruvu anadai tatizo la maji ni tatizo la kidunia.Pia Waziri wa Maji kwa Nyakati tofautitofauti...
  9. M

    JamiiForums Tanzania KERO Guys, hii ni vita ya uchumi, maadui zetu wamesababisha uhaba wa maji Dar. Who are you? They think they are still our masters?

    Guys, guys, guys this is economic sabotage, maadui zetu wanatuonea wivu sababu ya maumbile yetu na rasilimali tulizonazo. Tanzania ina bahari, maziwa, mito, mabwawa ila maadui zetu wanasababisha mpaka sasa miaka 64 ya uhuru maji si ya uhakika. Guys, natamani mfunguke mjue hii ni economic...
  10. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Janga la uhaba wa maji ni kubwa kwa wakazi wa MailiMoja – Kibaha (Pwani), shida ni kubwa mno

    Ni takribani mwezi mmoja sasa maeneo mengi ya Kibaha MailiMoja kuna changamoto kubwa ya maji na majibu ya Mamlaka ya Maji yamekuwa ya kuungaunga. Awali walitoa taarifa kuwa maji yatakoseka kwa siku chache takribani tatu hadi nne kutokana na maboresho ya mitambo yam aji, lakini ilipita wiki...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya maji wilaya ya Mafinga Mjini

    Habari za muda huu wana JamiiForums, Sorry kuna changamoto ya maji wilaya ya Mafinga mjini mtaa wa Changarawe sekondari mkoani Iringa. Ambapo maji yamekuwa hayatoki kuanzia tarehe 1 mwezi wa 3 mpaka sasa, ambapo tumefanya jitihada za kuwasiliana na mamlaka husika wametuambia wanalishughulikia...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DC wa Ubungo, Lazaro Twange azungumzia uhaba wa Maji na ubovu wa Barabara Kimara, asema kuna Mkandarasi amekimbia 'site'

    Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Lazaro Jacob Twange amewataka wataalam wanaosimamia miundombinu ya barabara kufanya kazi kwa haraka na kukamilisha kwa wakati ili wananchi wapate huduma. Mh. Twange ametoa maelekezo hayo katika ziara yake ya kusikiliza na kutatua changamoto mabalimbali za wananchi ...
  13. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wakazi wa Kinyerezi waamua kuchimba visima kwa sababu ya uhaba wa maji

    Baada ya kifo cha Hayati Rais Magufuli, maji nayo yakafa Kinyerezi. Hivi sasa maji yanatoka mara moja kwa mwezi yakitoka yanakaa masaa matatu yanakatika ikiwemo mitaa ya St Alex kwa Babu Ali hadi Sihaba. Maji ambayo hayana hata presha ya kupanda kwenye tanki yanatoka masaa matatu na kukatika...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi Saranga Ubungo (Dar es Salaam) walia uhaba wa Maji, wadai ndoa zao ziko hatarini sababu muda mwingi wanautumia kutafuta maji

    Wananchi wa Mtaa wa Saranga Mpakani, Wilaya ya Ubungo, wameiomba serikali kuwapatia huduma ya maji na kuondokana na changamoto hiyo iliyodumu kwa muda mrefu. Wakizungumza mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Lazaro Twange, wananchi hao wamelalamika kutokuwepo kwa huduma hiyo na kutegemea maji ya...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania SUWASA yafafanua hoja ya Mdau kuhusu uhaba wa maji Kata za Unyianga na Mtamaa Mkoani Singida

    MAELEZO KUHUSIANA NA HUDUMA YA MAJISAFI KWA KATA ZA MTAMAA NA UNYIANGA NA MANISPAA YA SINGIDA KWA UJUMLA Kata za Unyianga na Mtamaa ni mojawapo ya maeneo ambayo yana uhitaji wa kusogezewa huduma ya majisafi katika Manispaa ya Singida na Serikali inatambua hilo na imeshachukuwa hatua stahiki...
  16. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Simiyu: ACT Wazalendo wavalia njuga sakata la uhaba wa maji huko Busega. Awataja viongozi wa CCM kuhusika!

    Wanabodi, Hata baada ya kufikisha miaka 60 tangu Tanzania ipate uhuru bado wanasiasa on stage wanazungumzia changamoto ya kukosekana kwa maji safi na salama kwa wananchi? Akiwa anaongea kwenye kampeni Naibu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Bara, Ester Thomas, ameeleza kutoridhishwa na changamoto...
  17. M

    JamiiForums Tanzania KERO Responded CCM na serikali yenu kuandikisha watoto wawapigie kura mnaweza, ila kuhakikisha tunapata huduma za muhimu kama maji Aaaaa!

    Kuandikisha watoto ili kuiba kura mshinde muunde Serikali mnaweza, mna kila mbinu za wizi wa kura ili muongoze ila hamna mbinu za kutatua changamoto za mnaolazimisha kuwaongoza. Au akili huishia kwenye kuchakachua? Miaka 60+ bado tunaongelea uhaba wa Maji Tanzania, Dar maeneo mengi maji hakuna...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uhaba wa maji mtaa wa Simba, kata ya Kilungule Bunju Beach

    Tumekua tukikosa maji bila taarifa hata wiki 3 mfululizo na DAWASA wakipewa taarifa wanajibu watashughulikia na hawafanyi chochote. Aidha maji yanaweza kutoka wiki moja tu ili waweze kutuletea bili,sasa tunahoji kama yanaweza kutoka kwanini muda mwingine hayatoki? Inatulazimu kununua maji kwa...
  19. Thomas Odera

    JamiiForums Tanzania KERO Uhaba wa maji jijini Arusha

    Kuna tatizo la maji katika jiji la Arusha eneo la Njiro tangu jana mchana mpaka leo. Sijui kama ni kwa eneo ambalo nafanyia kazi au na maeneo mengi ya jiji. Hebu mamlaka husika ilifanyie kazi. cc Wizara ya Maji
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Meneja Magufuli Terminal: Uhaba wa Maji Stendi umetokana na DAWASA kutotangaza kuwa maji yatakatika muda mrefu

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kutoa malalamiko kuwa kuna changamoto ya maji ndani ya Stendi ya Mabasi ya Magufuli (Magufuli Bus Terminal) kwa siku mbili Agosti 28 na 29, 2024, ufafanuzi umetolewa. Kusoma alichokiandika Mdau bonyeza hapa ~ Stendi ya Mbezi Magufuli hakuna maji siku ya...
Back
Top Bottom