Ni aibu alichonifanyia mke wangu

Ni aibu alichonifanyia mke wangu

Hivi hii issue ni ngumu sana kutokea,labda tunaona hadithi kumbe mtu kaliwa kabisa kaamua kupunguza makali.
 
pole mkuu wanyonge tuna tabu sana katika dunia hii
cha muhimu achana nae sio kwa dharau hizo tafuta mwengine
atakuja siku akukumbuke Mungu hulipa hapa hapa dunian
 
Imebidi nipitie profile yako na thread zako za zamani. Kumbe ni wewe, jamani msipate tabu pitieni nyuzi zake za zamani.
 
yaan muda wote nimekaa najiuliza hv mtoa mada kanionaje mpaka kaamua kuniongopea kiasi hiki...!!!!
Huyu jamaa sio kosa lake, msamehe bure.

IMG-20160505-WA0013.jpg
 
uongo mwingine bwanaaa mtu wa inchi 6 anakupigaje ? maana hata kwenye mfuko wa suruali anaingia
 
Wacha utoto bora mwisho ungesema kumbe ilikuwa ndoto
 
Jamani ndugu zangu, niko kwenye hali mbaya sana naandika hii mada nalia kwa kitendo alichonifanyia mke wangu, mke wangu mimi ni mwanajeshi tena ana cheo kikubwa tu. Leo mida ya saa1 nilikuwa nachek gemu ya Man United, mke wangu akaja na mwanaume wa nchi 6 mapande saba pale home bila salamu wala kuvua viatu akaingia na kukaa kwa kochi nilishangaa coz si kawaida yake kuja na mwanaume kwangu cha kushangaza walikuwa wako bwii.

Mke wangu akaanza kulia machozi na kuanza kuniambia alichukua simu yangu na kusoma text insta watsap Facebook JF na kuona upuuzi wangu wote sasa anataka kunishikisha adabu. Mara nikasikia lile baba la mapande sita limenirukia na kunifunga kamba miguu na mikono pamoja na mdomo nilijitahidi kupambana wapi nikaambulia mitama na ngumi nikawa mpole huku nikishaangaa mke wangu ujasiri kautoa wapi.

Nikiwa nimefungwa kamba siwezi kufurukuta Mara naona mke wangu na lile baba wanaanza kupigana romance mbele yangu wanavuana nguo mpaka wanafanya mapenzi pale, nimelia sana huku mke wangu akilia kimahaba eti anakunwa zaidi mimi nina kibamia nione tango.

Baaada ya hapa wakamaliza, mke wangu akawa anachezewa makalio huku naona nililia sana, walivomaliza wakaondoka mpaka sasa sijui walipo jamani sina raha beki tatu kaona mlinzi na yeye najua kitaa kitajua.

Nifanyaje? Msadaa.
mimi kwa akili zangu timamu sinunui ubuyu wa aina hii
 
Yaani wewe jamaa ni muongo sana,,,, juzi tu ulikua na uzi hapa wajisifia umegegeda mademu watatu cku moja mpaka umegegeda ma beki 3 wako na papuchi nyingine ilikua ya ofisini kwako,,, leo imekkuaje?
 
Sasa bado unafanyaga nn duniani,..we juzi umetuletea post umefanya sex na wanawake karibia saba mkeo na beki tatu wote wamo,..wacha uinywe dawa uliotengenza,.
 
Jamani ndugu zangu, niko kwenye hali mbaya sana naandika hii mada nalia kwa kitendo alichonifanyia mke wangu, mke wangu mimi ni mwanajeshi tena ana cheo kikubwa tu. Leo mida ya saa1 nilikuwa nachek gemu ya Man United, mke wangu akaja na mwanaume wa nchi 6 mapande saba pale home bila salamu wala kuvua viatu akaingia na kukaa kwa kochi nilishangaa coz si kawaida yake kuja na mwanaume kwangu cha kushangaza walikuwa wako bwii.

Mke wangu akaanza kulia machozi na kuanza kuniambia alichukua simu yangu na kusoma text insta watsap Facebook JF na kuona upuuzi wangu wote sasa anataka kunishikisha adabu. Mara nikasikia lile baba la mapande sita limenirukia na kunifunga kamba miguu na mikono pamoja na mdomo nilijitahidi kupambana wapi nikaambulia mitama na ngumi nikawa mpole huku nikishaangaa mke wangu ujasiri kautoa wapi.

Nikiwa nimefungwa kamba siwezi kufurukuta Mara naona mke wangu na lile baba wanaanza kupigana romance mbele yangu wanavuana nguo mpaka wanafanya mapenzi pale, nimelia sana huku mke wangu akilia kimahaba eti anakunwa zaidi mimi nina kibamia nione tango.

Baaada ya hapa wakamaliza, mke wangu akawa anachezewa makalio huku naona nililia sana, walivomaliza wakaondoka mpaka sasa sijui walipo jamani sina raha beki tatu kaona mlinzi na yeye najua kitaa kitajua.

Nifanyaje? Msadaa.
hahahahahahahahahahahaahahaahahahahaha
 
Back
Top Bottom