Villky_J
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 492
- 610
Mm mwanzo tu...nimeistukia mapema.Hii sio story ya kutunga kweli...
Mm mwanzo tu...nimeistukia mapema.Hii sio story ya kutunga kweli...
Tena makubwa snkumbe wasukuma wote mna matatizo aisee...
Jamaa ametunga anatufanya ss km watoto bhanaMm mwanzo tu...nimeistukia mapema.
hahaa..pia mm nlitaka kuuliza hilo kwani hajatueleza hiyo partVipi wameshakufungulia au unatype kifungoni?!? Tuma picha yako tukuweke group icon kwenye whatsapp maana hilo nalo janga!!!!!
usiwaamshe watoto wa majirani wala usiwatishe wanaomalizia michezo ya mida hizi...Aiseeeh, baada ya kusoma hii post nmecheka kwa sauti, hadi majirani wAmeshtuka.[emoji3] [emoji12] [emoji3] [emoji1] [emoji3]
Ila kuna saa wasukuma wanashangaza sana [emoji23]
usiwaamshe watoto wa majirani wala usiwatishe wanaomalizia michezo ya mida hizi...Aiseeeh, baada ya kusoma hii post nmecheka kwa sauti, hadi majirani wAmeshtuka.[emoji3] [emoji12] [emoji3] [emoji1] [emoji3]
Najitahid kuji control , ila nimecheka sana mkuuusiwaamshe watoto wa majirani wala usiwatishe wanaomalizia michezo ya mida hizi...
Hahhahahahahahahah janga kweliVipi wameshakufungulia au unatype kifungoni?!? Tuma picha yako tukuweke group icon kwenye whatsapp maana hilo nalo janga!!!!!
mtoa mada ana uwezo wa kubuni scripts poa sana za muvi za kinigeriaNajitahid kuji control , ila nimecheka sana mkuu
Apeleke kwa shigongo sasamtoa mada ana uwezo wa kubuni scripts poa sana za muvi za kinigeria