BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
Chai
Kwahiyo hata kule somalia wanapojiua ni kwa sababu ya watu wa jf[emoji15] [emoji15] [emoji15] jiue tu. Sababu atakua huyo mkeo (wa stori ya kutunga) maana kwa mtu timamu angeeleza kwanza upuuzi wake wa fb Whatsap na insta kwanza ili tujue tatizo lina ukubwa ganiDah jf tatz lenu kila kitu mnajua cha kutunga IPO cku watu watajiuwa
Acha urongooJamani ndugu zangu, niko kwenye hali mbaya sana naandika hii mada nalia kwa kitendo alichonifanyia mke wangu, mke wangu mimi ni mwanajeshi tena ana cheo kikubwa tu. Leo mida ya saa1 nilikuwa nachek gemu ya Man United, mke wangu akaja na mwanaume wa nchi 6 mapande saba pale home bila salamu wala kuvua viatu akaingia na kukaa kwa kochi nilishangaa coz si kawaida yake kuja na mwanaume kwangu cha kushangaza walikuwa wako bwii.
Mke wangu akaanza kulia machozi na kuanza kuniambia alichukua simu yangu na kusoma text insta watsap Facebook JF na kuona upuuzi wangu wote sasa anataka kunishikisha adabu. Mara nikasikia lile baba la mapande sita limenirukia na kunifunga kamba miguu na mikono pamoja na mdomo nilijitahidi kupambana wapi nikaambulia mitama na ngumi nikawa mpole huku nikishaangaa mke wangu ujasiri kautoa wapi.
Nikiwa nimefungwa kamba siwezi kufurukuta Mara naona mke wangu na lile baba wanaanza kupigana romance mbele yangu wanavuana nguo mpaka wanafanya mapenzi pale, nimelia sana huku mke wangu akilia kimahaba eti anakunwa zaidi mimi nina kibamia nione tango.
Baaada ya hapa wakamaliza, mke wangu akawa anachezewa makalio huku naona nililia sana, walivomaliza wakaondoka mpaka sasa sijui walipo jamani sina raha beki tatu kaona mlinzi na yeye najua kitaa kitajua.
Nifanyaje? Msadaa.
hata mimi naona ya kutunga inawezekana vipi?Hii sio story ya kutunga kweli...