Sura kama mbowe kwenye avatar yakoKwa hiyo nchi nyingine zote zenye ndege hazina tatizo la upungufu wa ajira kwa vijana sio? Mnachosha na mawazo yenu ya kimbowembowe.
Kujadili vipaumbele kama unavyofanya Chige ni dalili nzuri kuwa kuna kazi inafanyika.Sasa kwavile hata huko nyuma hizo pesa hazikupelekwa kule watu wanakoona ingefaa ziende ndo basi tena na Magufuli nae sio lazima apeleke huko na kwa maana hiyo anaweza kuwekeza kokote hata kwenye investments za hovyo?!
Hivi unaweza kueleza tofauti kati ya serikali iliyofanya ufisadi, kwa mfano, wa Sh. 100 Billion na serikali ambayo imewekeza Sh. 100 Billion kwenye white elephant project ambayo ina kila dalili ya kuendelea kunyonya akiba iliyobaki kwa kuhudumia hizo white elephant projects?!
Hapa hakuna cha afadhali kwa sababu bado kuna investment opportunities nyingi tu tena zenye direct and immediate impact kwa Watanzania!!!
Moja ya sifa ya kiongozi bora ni kufanya maamuzi yaliyo sahihi!! Maamuzi yako yatapimwa kwako na si kwa kuangalia wenzako walifanya nini!!!!
I hate to say this lakini ukweli ni kwamba, ingawaje serikali ya JK ilijaa ufisadi lakini ilikuwa inafahamu ianze na nini kisha igeukie nini!!!
Heri ya mtu anayeiba sh. 30 lakini sh.70 anawekeza kwenye right investments kuliko mtu ambae haibi hata senti 5 lakini ni sh.25 tu ndio zinaenda kwenye right investments huku 75 zote zikienda kwenye investments za hovyo hovyo ambazo zina kila dalili za kuendelea kuligharimu taifa siku za usoni!!!
Mtakuja kuona madhara ya haya maamuzi huko mbeleni.Hakuna nchiimewahi kufungwa kwa madeni.
Wacha tudaiwe huku tukiwa na UMEME wa uhakika, USAFIRI wa uhakika na huku madini yetu yakitulipa kwa UHAKIKA
Sie tunasubiri FAIDA wewe endelea kusubiri HASARA (Na utaipata kweli!)Mtakuja kuona madhara ya haya maamuzi huko mbeleni.
Umesema ukweli,hii hela badala yake ilikuwa inaingia kwenye mifuko ya watu,tuwe wa kweli panapo ukweli,kwani msema kweli ni mpenzi wa Mungu..Kumekuwa na critics nyingi juu ya anayoyafanya RAIS wetu.
Kuna wanaodai ndege sio kipaumbele na kwamba RAIS anapoteza pesa zetu kununulia ndege, kujenga Standard gauge, flyovers, viwanja vya ndege, Stiglers George, ukuta wa Merelani nk.
Inaonekana kama Rais alipaswa kuzipeleka pesa hizo kwenye elimu, afya, kilimo, ajira nk.
Madai haya ni kama vile hizo pesa hapo awali zilikuwepo na zilikuwa zikienda huko wanakotaka ziende lakini sasa Magufuli amezichukua na kufanyia haya anayoyafanya.
Wenye akili tunayopaswa kujiuliza, tena kwa HASIRA na UCHUNGU -hivi hizo pesa huko nyuma zilikuwa zikienda wapi au zilikuwa zikifanyia nini?
Si Afadhali Magufuli ndani ya miaka miwili na nusu tu! tumeshaanza kugombania Vipaumbele na huku Ndege, Reli, ukuta, viwanja vya ndege tukiviona?
Huko nyuma kabla JPM hajaingia "tulipokuwa" na hivyo vipaumbele pesa ilikuwa ikienda huko kwenye elimu, afya na kilimo?
Afadhali JPM katufanya tuanze kujadiliana VIPAUMBELE.
Hii ni dalili nzuri kuwa tupo kwenye RIGHT TRACK!
Duh.Sura kama mbowe kwenye avatar yako
Dada unatusahau wa KIGOMA?very BRIGHT indeed,especially kwa wafuga n'gombe wa ukanda wa ziwa….
Dada unatusahau wa KIGOMA?
Kwanim posiibility ni kwenye ndege tu!wewe huelewi,nilikua namaanisha hilo lindege litapunguzaje unemployement?? yaani unafurahi watu kumi kati ya miambili kupewa kazi wakati kulikua na possibility ya Zaidi ya hao kupata kazi?
Nisamehe dada.mbona wewe umejisahaulisha wa Chattle?
Kwanim posiibility ni kwenye ndege tu!
Linchi likubwa hili mafursa kibao hatuyaoni tunataka tukafanye kazi kwenye ndege?
Njoo KIGOMA ziwani huku nikuoneshe dada.mafursa kibao yapi hayo yataje labda utakua umesaidia watu...mmmnhhhh
Hiyo faida iko wapi zaidi kuongeza mzigo tu kwa mlipa kodi?Sie tunasubiri FAIDA wewe endelea kusubiri HASARA (Na utaipata kweli!)
Njoo KIGOMA ziwani huku nikuoneshe dada.
Mzigo gani umeongezewa Mkuu.Hiyo faida iko wapi zaidi kuongeza mzigo tu kwa mlipa kodi?
Kwani wanaofanya kazi kwenye hilo shirika si watanzania?Lakini hizo ndege zinapunguza ukosefu wa ajira kwa vijana?
shallow analysis of the issues at stake! be wider in your analytical skills. Unaacha watoto wanakufa njaa unanunau gari eti litazalisha wakati tunajua fika kuwa magari yako yote yako gounded kwa kupata hasara kubwa! anyway at family level unaweza fanya hivyo, not at national level!Kumekuwa na critics nyingi juu ya anayoyafanya RAIS wetu.
Kuna wanaodai ndege sio kipaumbele na kwamba RAIS anapoteza pesa zetu kununulia ndege, kujenga Standard gauge, flyovers, viwanja vya ndege, Stiglers George, ukuta wa Merelani nk.
Inaonekana kama Rais alipaswa kuzipeleka pesa hizo kwenye elimu, afya, kilimo, ajira nk.
Madai haya ni kama vile hizo pesa hapo awali zilikuwepo na zilikuwa zikienda huko wanakotaka ziende lakini sasa Magufuli amezichukua na kufanyia haya anayoyafanya.
Wenye akili tunayopaswa kujiuliza, tena kwa HASIRA na UCHUNGU -hivi hizo pesa huko nyuma zilikuwa zikienda wapi au zilikuwa zikifanyia nini?
Si Afadhali Magufuli ndani ya miaka miwili na nusu tu! tumeshaanza kugombania Vipaumbele na huku Ndege, Reli, ukuta, viwanja vya ndege tukiviona?
Huko nyuma kabla JPM hajaingia "tulipokuwa" na hivyo vipaumbele pesa ilikuwa ikienda huko kwenye elimu, afya na kilimo?
Afadhali JPM katufanya tuanze kujadiliana VIPAUMBELE.
Hii ni dalili nzuri kuwa tupo kwenye RIGHT TRACK!
Ni nyingi sana kuzitaja dada.vipi umepatwa na kigugumizi kuzitaja hapa,mpaka nije huko Chattle?