Hiyo source ameitaja baada ya sisi wadau kumsihi aijazie maelezo,kwa lugha nyingine naweza kusema alikurupuka/habari ilikuwa ya mwendokasiAmetaja source reliable, unalako jambo
Hiyo source ameitaja baada ya sisi wadau kumsihi aijazie maelezo,kwa lugha nyingine naweza kusema alikurupuka/habari ilikuwa ya mwendokasiAmetaja source reliable, unalako jambo
Angeshinda wangepanda juu ya bati kupiga baragumu.Si unaona leo wanasuasua kuchangia huu uzi? Siwaoni kabisaa.
kamandaa? haki imetendeka?Huwezi kuiacha mahakama idhalilike kwa mtu kutumika na watawala kupindisha sheria.
Marejeo ya Kesi au Rufaa yataumbua wengi
Lakini leo makamanda wote wameingia mitini.Angeshinda wangepanda juu ya bati kupiga baragumu.
ngoja tuona hii drama kama analipa au anakata rufaa..teh teh. siku hizi haki imeanza kutolewa kwa wenyewe.Saafi sana, na akome. Lazima alipe kodi mkwepa kodi mkubwa huyu. Nasikia kaanza kukusanya hela toka kwa wananchi akiwadanganya eti ujenzi wa ofisi kumbe anataka kulipa kodi, hahah
Hilo ni pingamizi ambayo lazima litolewe maamuzi haraka so walaumu tu KM hujuiKama ana deni ni sahihi kulilipa ila mmmmhhhh, kesi imeenda haraka sana hii mpaka kufikia hatua hii.
Tutatafuta alama zake alizopata Elimu ya msingi pia....Makamanda tuipongeze mahakama kwa kutenda haki.
Lakini tusisahau Mbowe anatakiwa kujitokeza kueleza kuhusu elimu yake...
MASUALA YA KISHERIA NA ELIMU YA MBOWE VINA UHUSIANO GANI WE UNADHANI KWA AKILI YAKO ILIVYO NDOGO KAMA UNYWELE WA WASSIRA MBOWE ALISIMAMA KAMA YEYE MAHAKAMANI HAO MAWAKILI WALIOSIMAMIA INSHU YA MBOWE WANA AKILI NA UFAHAMU ZAIDI YAKO MARA MILION,akili za kushikiwa ndo matatizo yake,huwezi fikiri au kutoa ushauri hadi umuulize girl friend wako,hii ndio TZ na hawa ndo wasomi wetuMakamanda tuipongeze mahakama kwa kutenda haki.
Lakini tusisahau Mbowe anatakiwa kujitokeza kueleza kuhusu elimu yake...
Leo siwaoni makamandaKweli kabisa kamanda.
Nljua tu mtakuwepongoja tuona hii drama kama analipa au anakata rufaa..teh teh. siku hizi haki imeanza kutolewa kwa wenyewe.
Magogoi wa sheria, hivi unajuwa maama ya court of appeal?Makamanda walishangilia kabla hata ya kesi kuisha.... nawasubiri waje kuipongeza mahakama kwa kutenda haki