NHC yambwaga Mbowe Mahakamani

NHC yambwaga Mbowe Mahakamani

umechanganya kidhungu wew lakin sijaona hoja yako ya msingi , haki imetendeka , kuwepo signatories wa pande mbili haimpi mtu uhalali wa kutolipa kodi yake , labda utuwekee hapa hiyo docments
The legal term is "acceptance" either you act on it, gesturing or signatures.

Mahakama ikithibitisha hilo appropriate discharge procedures have to be followed, it is a matter of contest. Lakini kuamuru akukuwa na mkataba automatic that is just easy to say the least.
 
You raise a really good point.
Ila hii kesi nayo unless there is something am missing, kuna kitu kama hakiko sawa. Si ni hii mahakama ilikataa kumtambua dalali aliyetoa vitu vya mbowe nje... Which in essence means taratibu hazikufuatwa kwasababu NHC walitumia dalali ambaye hajasajiliwa/hatambuliki na mahakama.
Hayo ya dalali sidhani kama yanauzito wa kisheria he is acting on behalf of NHC (unless kama kuna taratibu za usajili even with that sidhani kama anausika na madai ya msingi).

Hoja ni mkataba umefutwa kihalali au la kwa taratibu na makubaliano.
 
Nataka nimuone kibatala akiposti katika FB page yake ''hatimaye haki imepatikana dhidi ya hila,hongera jaji''

Kama kesi haijafikia uamuzi wa mahakama ya rufaa ni mapema mno kushangilia. Sheria ina namna yake ya kushangilia. Ni pale tu kesi inakuwa imefikia mahakama ya rufaa au pia kama imeshafanyiwa review. So, Mbowe bado kama hajaridhika ana nafasi ya kukata rufaa.
 
Matapeli wakubwa,michango ya ujenzi wa ofisi alipe deni . Tapeli mwenzie naye kule Bukoba alianza kuchangisha misaada eti ya wafadhili ili wapige hela kwa kupitia mgongo wa siasa,zama hizi si za ujanja ujanja kila MTU atakula kihalali
 
Siamini kama kweli MBOWE anaweza kutuchezea rafu kama hizi - napendekeza ajiondoe ktk nafasi ya uenyekiti
 
m
Na siku hawa ndugu zangu wanaojiita makamanda wakigundua kuwa Mbowe ni bonge la msanii watafanyaje?!!
Alisema anachukia ufisadi kumbe yeye ndo fisadi no 1
Alisema anachukia mafisadi kumbe ndo marafiki zake wakubwa!
Alihaidi kujiuzuru uenyekiti wa chadema endapo ccm ingeshinda, labda tumkumbushe asisahau!
Alituambia Dr slaa yupo likizo ya muda anatafakari, kumbe mzee wa watu alishajiuzuru!
Mbowe tamaaaaa
mmezoea kulambishwa... mlisema fisadi namba moja ni LOWASA leo mmelambishwa tena fisadi namba moja amekuwa ni mbowe sasa LOWASA unamuweka namba ngapi.. ?
ngoja nione utyampandisha au utamshusha
 
Yeah right. Kesi nyingi sana wapinzani wanashinda mahakamani. Tundu Lissu ameshaigaragaza serikali mara ngapi? Ikitokea wakashindwa hata kama siyo masuala ya kisiasa basi maneno kibao na kujiapiza kusiko na misingi. Tukumbuke tu kuwa nobody is above the law; na hata ukijifanya leo kuwa uko above the law kesho na kesho kutwa the law will find you. ...
Tundu Lissu anashinda vijikesi uchwara,kesi kubwa zinazogusa maslahi ya watanzania kama hizi haingii maana anajua atashindwa na yeye hataki kupoteza credibility yake. Shame on matapeli
 
Kama kesi haijafikia uamuzi wa mahakama ya rufaa ni mapema mno kushangilia. Sheria ina namna yake ya kushangilia. Ni pale tu kesi inakuwa imefikia mahakama ya rufaa au pia kama imeshafanyiwa review. So, Mbowe bado kama hajaridhika ana nafasi ya kukata rufaa.
Wakishindwa mahakama ya rufaa wataenda kushitaki mahakama ya Afrika au ICC,keh keh keh..!!
 
ndo maana wanamkumbuka jk kwa kuwa aliacha kila kitu kijiendee ilimradi, kodi za taasis hazikusanywi, bandarini nako mambo hovyo , wezi walimshangilia sana jk
 
Katika ile kesi aliyofungua Mh Mbowe kupinga kutolewa kwa nguvu katika jingo la NHC, uamuzi wa Mahakama ya Ardhi imesema kitendo kile kilikuwa sahihi, na haki ilitendeka.
Wakili wa NHC, Ndg Aliko Mwamunenge aesema Mahakama imetoa uamuzi kuwa hajaonewa mtu.

Wakili wa Mbowe, Nd Mallya amesema watakata rufaa.
Details baadaye.
 
Hayo ya dalali sidhani kama yanauzito wa kisheria he is acting on behalf of NHC (unless kama kuna taratibu za usajili even with that sidhani kama anausika na madai ya msingi).

Hoja ni mkataba umefutwa kihalali au la kwa taratibu na makubaliano.


Acha blah blah hapa sisi tunataka fedha zetu, na Mbowe lazima alipe fedha zetu!
 
Acha blah blah hapa sisi tunataka fedha zetu, na Mbowe lazima alipe fedha zetu!
Sijasikia akikataa kulipa hoja yake ni kwamba madai ya NHC ni tofauti na terms za mkataba.

Mbowe kwa sababu ya nafasi yake kwenye jamii na uwezo ndio maana ana challenge; lakini NHC Nehemia alipoingia madarakani aliwakuta watu wengi na mikataba, yeye akaivunja na kutoa mipya kabla ya muda yenye nyongeza ya kodi kama sio Tibaijuka kuna mitaa sasa hivi mngekuwa mnakaa nyinyi tu wenye posho.

Tofauti na sisi Mbowe ana challenge terms za mkataba na mwenzetu ana uwezo wa kulipa mawakili, walizoea vya kunyonga binafsi nataka kuona kama kuchinja pia wanaweza.
 
Back
Top Bottom