Umeandika kituvambacho wewe mwenyewe hukipendi... Na huu ni unafiki wa hali ya juuKama kashindwa kesi alipe kabisa wala sioni tatizo la kwendelea kushindana mahakamani......
Kama umeelewa hivyo sawaimekuuma sana sio?
Mwanahabari huru haijapta hii habari au?
Hahaha mbona unataka uwaongezee maumivu wana ukawa !! .Makamanda tuipongeze mahakama kwa kutenda haki.
Lakini tusisahau Mbowe anatakiwa kujitokeza kueleza kuhusu elimu yake...
acha kuropoka wewe! nani amekwambia haruhusiwi kukata rufaa?Sasa kwa kesi hii haki ya Mbowe iko wapi zaidi ya Haki ya kulipa Deni?
Nilikuwepo kule nyuma ndio maana hukuniona.ukirejea maneno ya butiku utaelewa kwanini mahakama imetoa hukumu hiyo, halafu jana sijakuona kwenye msiba,
NimeipendaHii inasikitisha sana kwa siasa zetu pamoja na sura halisi ya viongozi wetu
kitaifa. Je Mbowe ni kama Trump kuwepa kodi tangu miaka ya 90?
-------------
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ameangukia pua mahakamani baada ya Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi kutupilia mbali maombi yake katika mgogoro wake wa umiliki wa jengo la Shirika la Nyumba (NHC).
Mbowe alifungua maombi mahakamani hapo kupitia kampuni yake ya Mbowe Hotels Ltd, akipinga uamuzi wa NHC kumuondoa katika jengo ambalo alikuwa akilitumia kama ofisi ya kampuni yake ya Magazeti ya Free Media na klabu ya Bilicanas.
Katika maombi hayo, pamoja na mambo mengine Mbowe alikuwa akidai kuwa aliondolewa katika jengo hilo jinyume cha sheria kwa kuwa hakupewa taarifa na kwamba kampuni ya udalali iliyotumiwa kumuondoa haijasajiliwa kama dalali wa mahakama.
Hata hivyo katika uamuzi wa mahakama hiyo uliotolewa leo na Jaji Sivangilwa Mwangesi, imetupilia mbali maombi hayo ya Mbowe ikisema kuwa hayana msingi
Jaji Mwangesi alikubaliana na hoja za NHC na akasema kuwa Mbowe aliondolewa katika jengo hilo kisheria.
Chanzo: Mwananchi
Atalipa tu bilioni kitugani ! Kikubwa sheria ifuate mkundo wake
Haki ya mtu haipotei. Itacheleweshwa na baadaye atapewa.
Hahaha hapo kwenye Elimu mtihaniMakamanda tuipongeze mahakama kwa kutenda haki.
Lakini tusisahau Mbowe anatakiwa kujitokeza kueleza kuhusu elimu yake...
Ametaja source reliable, unalako jamboMleta mada mbona unaharaka sana?hebu ivisha kwanza hii habari kwa maana sijaona maneno kama "kwa mujibu wa kifungu namba...,neno katiba nk
KabisaKama vile ilivyo kwa haki yetu ya kujua wasifu wa elimu wa viongozi wetu,shule gani walisoma na matokeo yao ni yepi. Wanatuchelewesha tu kuijua lakini ipo siku tataijua!