NHC yambwaga Mbowe Mahakamani

NHC yambwaga Mbowe Mahakamani

Huwezi kuiacha mahakama idhalilike kwa mtu kutumika na watawala kupindisha sheria.

Marejeo ya Kesi au Rufaa yataumbua wengi
Ha ha ha dogo tatizo mnafanya propaganda hadi mahakamani,kateni rufaa ila mkishindwa na huko sijui mtasemaje?...hivi kwa kesi hii Kibatala na John wanalipwa na chama au Mbowe?...manake naona hadi ofisi za ufipa leo zimefungwa.
 
Hivi unaanzaje kumchangia Billionaire mwenye biashara zake na mahotel wakati wewe ukoo wenu mzima mnashindwa kumchangia ada ndugu yenu aliyekosa mkopo wa chuo?

Nyinyi ndio wale vichaa mliotajwa kwenye utafiti.
 
Ni wakati wa Mbowe kuangalia masoko mapya,mh ilete Bills maeneo ya Tabata Kisukuru utengeneze hela
 
Hata hapo chamani anawapiga sana tu sema analundo la running dogs ambao kawajaza ujinga kwamba yeye ndiye anakifadhili chama.

Chacha Wangwe pamoja na kuwa na elimu ya kawaida tu aliukataa huo ujinga lakini leo hii pana wasomi pale mpaka maprofesa lakini wamegeuka Yes-men kazi kufuga ndevu tu.

They can't even question!!
 
Hivi unaanzaje kumchangia Billionaire mwenye biashara zake na mahotel wakati wewe ukoo wenu mzima mnashindwa kumchangia ada ndugu yenu aliyekosa mkopo wa chuo?

Nyinyi ndio wale vichaa mliotajwa kwenye utafiti.
Then asitafute sympathy kwetu kwakuwa yeye ni bilionea mwenzako. Mayowe yote ya nini wakati ana pesa? Nenda nae bilionea mwenzako huko Mahakamani mkatumie pesa zenu kumnunua kila mtakayemkuta huko ili mshinde kesi hiyo. Halafu mkimaliza kesi umshauri bilionea mwenzako asibanane na sisi vidampa kwenye nyumba za msajili, ajenge ofisi yake. Au kama vipi kwakuwa na wewe ni bilionea mwenzake basi mgawie nyumba mojawapo aweke ofisi zake. Mbona simple tu?
 
Majuzi tu hapa TANESCO wamefunguliwa kesi ya madai na SYMBION or some other electric company kisa kutaka kuvunja contractual agreement ambayo bado aijaanza. Mtu amekaa kwenye jengo kwa miaka zaidi ya ishirini kwa maandishi utasemaje mkataba auhusiki, hawa ndio majaji wanaofunga wezi wa kuku 20 years.

Politics is politics and law is law, sheria lazima itende haki; pengine kweli mkataba wa Mbowe ulikuwa wakinyonyaji na aukuwa na maslahi kwa NHC lakini ni mkataba. The only way watanzania tunaweza kuwa makini ni kupitia changamoto zilizopo umefanya makosa, pambana kurekebisha either unashinda au unashindwa kisheria (au kwa njia zingine ambazo sahihi procedural wise) mwisho wa siku kama ni serikari makini inatoka imejifunza kitu (kufanya kosa sio kosa kurudia kosa ndio kosa).

Lakini haya mambo ya kupenda vitu rahisi rahisi kamwe ayawezi kubadili fikra za serikari na jinsi inavyofanya mambo; kuanzia namna wanavyopata wataalamu wao mpaka, maamuzi yanayochukuliwa na utendaji mmbovu uliokithiri. Provided there are signatories of the two parties in contract document that is an acceptance and pretty much a legal contract hakuna ata aja ya kutafuta principles zingine kujua uhalali wa mkataba na ikifikia hapo kuvunja mkataba kuna taratibu zake either zipo kwenye maandishi au kupitia mahakama.

Kama kushinda washinde au wavunje mkataba kwa njia sahihi lakini sio haya maamuzi ambayo ayana kichwa wala miguu isitoshe inawafanya watumishi wa serikari kutokuwa wabunifu kwa sababu ya easy rides.
 
Hii inasikitisha sana kwa siasa zetu pamoja na sura halisi ya viongozi wetu
kitaifa. Je Mbowe ni kama Trump kukwepa kodi tangu miaka ya 90?

-------------
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ameangukia pua mahakamani baada ya Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi kutupilia mbali maombi yake katika mgogoro wake wa umiliki wa jengo la Shirika la Nyumba (NHC).

Mbowe alifungua maombi mahakamani hapo kupitia kampuni yake ya Mbowe Hotels Ltd, akipinga uamuzi wa NHC kumuondoa katika jengo ambalo alikuwa akilitumia kama ofisi ya kampuni yake ya Magazeti ya Free Media na klabu ya Bilicanas.

Katika maombi hayo, pamoja na mambo mengine Mbowe alikuwa akidai kuwa aliondolewa katika jengo hilo jinyume cha sheria kwa kuwa hakupewa taarifa na kwamba kampuni ya udalali iliyotumiwa kumuondoa haijasajiliwa kama dalali wa mahakama.

Hata hivyo katika uamuzi wa mahakama hiyo uliotolewa leo na Jaji Sivangilwa Mwangesi, imetupilia mbali maombi hayo ya Mbowe ikisema kuwa hayana msingi

Jaji Mwangesi alikubaliana na hoja za NHC na akasema kuwa Mbowe aliondolewa katika jengo hilo kisheria.

Chanzo: Mwananchi

Na siku hawa ndugu zangu wanaojiita makamanda wakigundua kuwa Mbowe ni bonge la msanii watafanyaje?!!
Alisema anachukia ufisadi kumbe yeye ndo fisadi no 1
Alisema anachukia mafisadi kumbe ndo marafiki zake wakubwa!
Alihaidi kujiuzuru uenyekiti wa chadema endapo ccm ingeshinda, labda tumkumbushe asisahau!
Alituambia Dr slaa yupo likizo ya muda anatafakari, kumbe mzee wa watu alishajiuzuru!
Mbowe tamaaaaa
 
Hata hapo chamani anawapiga sana tu sema analundo la running dogs ambao kawajaza ujinga kwamba yeye ndiye anakifadhili chama.

Chacha Wangwe pamoja na kuwa na elimu ya kawaida tu aliukataa huo ujinga lakini leo hii pana wasomi pale mpaka maprofesa lakini wamegeuka Yes-men kazi kufuga ndevu tu.

They can't even question!!

mbowe alifanikiwa sana kuwa contain
hawa watu
lisu
msigwa
baregu
na anahakikisha hawabweki kutokana na njaa
wanakula vizuri ili wasiende kinyume naye na asikosolewe,
 
Lumumba mnatafuta kumharibia Mbowe heshima yake kwa kutaja cheo chake cha kisiasa kwenye mambo yake binafsi ya kibiashara. Au mnataka kusema kwamba umiliki wa kampuni yake huo una uhusiano na nafasi yake ya mwenyekiti wa CDM taifa?
 
Kisiasa tunaambiwa kuwa tuhuma zinabaki tuhuma hadi mahakama itakapothibitisha,Mahakama imethibitisha kuwa Mbowe hotels ilidhulumu shirika letu la umma (NHC) takribani shilingi bilioni 1.7 za kitanzania.

Pamoja na misukosuko chadema inayopitia hususani ya kusafisha makada wake wenye tuhuma za ubadhirifu, maamuzi ya kesi hii yanawaweka njia panda. Kazi kubwa sasa ni kusafisha na kujilinda wasishambuliwe.Ni ngumu leo mwananchi wa kawaida kumsamehe Mbowe na chadema, suluhu pekee ni kujiuzulu uenyekiti na nafasi ya KUB ili kukilinda chama chake.

Lowassa yakupasa umuelekeze Mbowe afuate nyayo zako 'kwa kukilinda chama na serikali naachia uwaziri mkuu''. Mbowe hana jinsi kwa gharama ulizokitia chama, mawakili wa chama wamekutetea bila mafanikio.

Mbowe aliitisha press conference na kuaminisha umma kuwa ameonewa , eti wewe ulidai kumiliki asilimia 75 ya jingo la wananchi ilihali ukijua ni uongo lakini sasa hata matokeo yanaonekana madai yako mahakamani hayakuwa ya umiliki bali ni kuomba mahakama urudishwe kwenye jingo sababu umetolewa kinyume cha sharia.

Nilishawahi kusema sitakuambia ujiuzulu lakini kwa hili la leo sababu sababu ipo dhahiri yakupasa uweke maslahi mapana ya nchi na chamdema,pisha damu mpya.

Tuhuma hizi ni nzito na hazihitaji kupepesa macho.
 
Majuzi tu hapa TANESCO wamefunguliwa kesi ya madai na SYMBION or some other electric company kisa kutaka kuvunja contractual agreement ambayo bado aijaanza. Mtu amekaa kwenye jengo kwa miaka zaidi ya ishirini kwa maandishi utasemaje mkataba auhusiki, hawa ndio majaji wanaofunga wezi wa kuku 20 years.

Politics is politics and law is law, sheria lazima itende haki; pengine kweli mkataba wa Mbowe ulikuwa wakinyonyaji na aukuwa na maslahi kwa NHC lakini ni mkataba. The only way watanzania tunaweza kuwa makini ni kupitia changamoto zilizopo umefanya makosa, pambana kurekebisha either unashinda au unashindwa kisheria (au kwa njia zingine ambazo sahihi procedural wise) mwisho wa siku kama ni serikari makini inatoka imejifunza kitu (kufanya kosa sio kosa kurudia kosa ndio kosa).

Lakini haya mambo ya kupenda vitu rahisi rahisi kamwe ayawezi kubadili fikra za serikari na jinsi inavyofanya mambo; kuanzia namna wanavyopata wataalamu wao mpaka, maamuzi yanayochukuliwa na utendaji mmbovu uliokithiri. Provided there are signatories of the two parties in contract document that is an acceptance and pretty much a legal contract hakuna ata aja ya kutafuta principles zingine kujua uhalali wa mkataba na ikifikia hapo kuvunja mkataba kuna taratibu zake either zipo kwenye maandishi au kupitia mahakama.

Kama kushinda washinde au wavunje mkataba kwa njia sahihi lakini sio haya maamuzi ambayo ayana kichwa wala miguu isitoshe inawafanya watumishi wa serikari kutokuwa wabunifu kwa sababu ya easy rides.

umechanganya kidhungu wew lakin sijaona hoja yako ya msingi , haki imetendeka , kuwepo signatories wa pande mbili haimpi mtu uhalali wa kutolipa kodi yake , labda utuwekee hapa hiyo docments
 
Saafi sana, na akome. Lazima alipe kodi mkwepa kodi mkubwa huyu. Nasikia kaanza kukusanya hela toka kwa wananchi akiwadanganya eti ujenzi wa ofisi kumbe anataka kulipa kodi, hahah

Ha

Hahahaha yaaani Mbowe akome
 
Majuzi tu hapa TANESCO wamefunguliwa kesi ya madai na SYMBION or some other electric company kisa kutaka kuvunja contractual agreement ambayo bado aijaanza. Mtu amekaa kwenye jengo kwa miaka zaidi ya ishirini kwa maandishi utasemaje mkataba auhusiki, hawa ndio majaji wanaofunga wezi wa kuku 20 years.

Politics is politics and law is law, sheria lazima itende haki; pengine kweli mkataba wa Mbowe ulikuwa wakinyonyaji na aukuwa na maslahi kwa NHC lakini ni mkataba. The only way watanzania tunaweza kuwa makini ni kupitia changamoto zilizopo umefanya makosa, pambana kurekebisha either unashinda au unashindwa kisheria (au kwa njia zingine ambazo sahihi procedural wise) mwisho wa siku kama ni serikari makini inatoka imejifunza kitu (kufanya kosa sio kosa kurudia kosa ndio kosa).

Lakini haya mambo ya kupenda vitu rahisi rahisi kamwe ayawezi kubadili fikra za serikari na jinsi inavyofanya mambo; kuanzia namna wanavyopata wataalamu wao mpaka, maamuzi yanayochukuliwa na utendaji mmbovu uliokithiri. Provided there are signatories of the two parties in contract document that is an acceptance and pretty much a legal contract hakuna ata aja ya kutafuta principles zingine kujua uhalali wa mkataba na ikifikia hapo kuvunja mkataba kuna taratibu zake either zipo kwenye maandishi au kupitia mahakama.

Kama kushinda washinde au wavunje mkataba kwa njia sahihi lakini sio haya maamuzi ambayo ayana kichwa wala miguu isitoshe inawafanya watumishi wa serikari kutokuwa wabunifu kwa sababu ya easy rides.

You raise a really good point.
Ila hii kesi nayo unless there is something am missing, kuna kitu kama hakiko sawa. Si ni hii mahakama ilikataa kumtambua dalali aliyetoa vitu vya mbowe nje... Which in essence means taratibu hazikufuatwa kwasababu NHC walitumia dalali ambaye hajasajiliwa/hatambuliki na mahakama.
 
Back
Top Bottom