Nitamlinda mkwere, asiwe na wasiwasi.Tuliposema CHADEMA ni mafisadi watu walikuwa wanatubishia. Haya sasa wanazidi kuumbuka
Hii case ni either black or white. Either kalipa na receipts, documents na vithibiti vyote anavyo au hana. Tusigeuke kuwatetea wakwepaji kodi kisa wapo vyama tunavyoshabikiaJaji ukiruhusu mboe ashinde. Huna kazi.
Mkulu anapiga goti kwa nani au nini?Kwa Magufuli kila goti litapigwa.
Hata wakwepa kodi Chadema waliofukuzwa Leo billicanas ipo siku watatubu na kuachana na wizi wa kuwaibia watanzania.
Kuna fisadi kuliko Magufuri? Ebu tuambieni zile nyumba za serikali alizogawia ndugu zake?Tuliposema CHADEMA ni mafisadi watu walikuwa wanatubishia. Haya sasa wanazidi kuumbuka
Hakuna anekataa mtu wahalifu wa kutolipa kodi....Siwezi nikatetea mkwepaji kodi hapa tuache unafiki, kama ni mdaiwa sugu ashughulikiwe bila huruma kama anaonewa atashinda na NHC itaumbuka na kulipa fidia.
View attachment 391870
SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC) limeeleza kuwa, hatua ya kufungia Kampuni ya Hotels Limited (MHL) ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa si ya kisiasa,*anaandika Pendo Omary.
Leo NHC kupitia wakala wake Fosters Auctioneers (Sio Action Mark) wamevamia jengo lililopo kampuni hiyo katika makutano ya Mitaa ya Mkwepu na Indira Gandhi (Makunganya) jijini Dar es Salaam na kuchukua vifaa vya kampuni hiyo katika upande wa uzalishaji gazeti.
Hatua hiyo inatokana na madai kwamba, NHC inadai kampuni hiyo jumla ya Sh. 1.3 Bilion na kwamba, bado hazijalipwa mpaka sasa licha ya kutoa muda stahili wa kulipwa deni hilo.
Ndani ya Hampuni ya MHL kuna Kampuni ya Free Media inayozalisha Gazeti la Tanzania Daima la kila siku.
Japhet Mwasenga, Meneja wa Kitengo cha Ukusanyaji Madeni katika Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) amesema, kuondolewa kwa kampuni ya Mbowe katika jengo hilo hakuhusiani na masuala ya kisiasa.
Mwasenga amewaambia waandishi wa habari leo mapema asubuhi wakati NHC ikisimamia shughuli ya uondoshaji vifaa kwenye jengo hilo kuwa “hiki kinachofanyia sio siasa. Hili sio suala la Mbowe peke yake. Ni suala la kiutendaji, pamoja na kwamba wadaiwa wako wengi, tumeamua kuanza na Mbowe.
“Tumefuata taratibu zote kumwondosha mpangaji wetu. Alishapewa taarifa na sisi kama taasisi ya umma, tuliendelea kumvumilia kwa muda mrefu lakini leo tumefika mwisho,” amesema Mwasenga.
Joshua Mwaituka, Mkurugenzi wa Kampuni ya udalali ya Fosters Auctioneers inayosimamia shughuli ya uondoshaji vifaa katika nyumba hiyo amesema, vifaa vyote vilivyondolewa vitahifadhiwa na kampuni hiyo mpaka hapo deni hilo litakapolipwa.
Source: Mwanahalisi Online

Kwa hio asilipe Kodi kwa sababu yeye Ni Mwenyekiti wa Chadema? Tumia akili unapo PostTutasikia mengi mwaka huu, inaweza fikia ukitaka nyumba za NHC unaulizwa chama gani, Tanzania ni yetu sote
kwani wadaiwa wengine wa NHC si wa kibiashara kama mbowe,wahindi kibao wanadaiwa ila hawaguswi,hii ni mchechu anatafut kiki ya kumfurahisha bwana wake ili asitumbuliwe,huwezi fanya vile tena kwa sababu ni mpinzani then udhani kuwa wa tz ni mambumbumbu na hawataelewa dhamira yakoSuala la Mbowe ni la kibiashara zaidi. Hakufuata masharti ya kupanga. Msichanganye masuala ya biashara na siasa
Ufisadi apa upo wapi?Tuliposema CHADEMA ni mafisadi watu walikuwa wanatubishia. Haya sasa wanazidi kuumbuka
Mbona mnajitetea sana ? Si kodi hajalipa na mnaweza pia kuthibitisha hilo ,Kelele za nini ? Mara hatujamuonea ,oh sio swala la kisiasa ,hata kama sio la kisiasa ,mmekosea timing huwezi kuniaminisha shinikizo la kisiasa halijatumika wakati ambao nchi ilikuwa kwenye homa ya Ukuta Mbowe akiwa ndio Captain