NHC: Hatujamuonea Mbowe

NHC: Hatujamuonea Mbowe

Timing ya zoezi haiwezi kutengwa na siasa

Hili ni katika ku frustrate watu.

Hizi chuki zina matatizo mbele ya safari!!!
 
Duh! Kumbe ni kwa sababu ya kupambana na Magufuli!? ina maana asingepambana naye basi NHC wasingetumika kisiasa!!! Kweli nduli wa visasi katinga nchini!
Ovyooo
 
Hehehe anajua kuropoka huku halipi kodi,
Kila kutwa Dubai tu.
Huyu ni Magu hakuna mchezo
UMUNGU MTU WAKO PELEKA UFIPA
Kwa Magu hakuna kuangalia sura.

Pongezi kubwa kwa NHC
Kumbe ni siasa zinazofanyika na sio ishu ya biashara?
 
Tutasikia mengi mwaka huu, inaweza fikia ukitaka nyumba za NHC unaulizwa chama gani, Tanzania ni yetu sote
Hiyo ipo sana na ni kawaida kwa Tz.

Haya ni mambo yasiyofaa kabisa na ni mambo ya kijinga ktk dunia hii ya Leo.

TZ bado sana kukua kifikra
 
Mbona mnajitetea sana ? Si kodi hajalipa na mnaweza pia kuthibitisha hilo ,Kelele za nini ? Mara hatujamuonea ,oh sio swala la kisiasa ,hata kama sio la kisiasa ,mmekosea timing huwezi kuniaminisha shinikizo la kisiasa halijatumika wakati ambao nchi ilikuwa kwenye homa ya Ukuta Mbowe akiwa ndio Captain
 
Suala la Mbowe ni la kibiashara zaidi. Hakufuata masharti ya kupanga. Msichanganye masuala ya biashara na siasa
Hii ni siasa 100% kataa kubali lkn ndiyo hivyo.
Taratibu tutaelewana TU.
 
Mbona mnajitetea sana ? Si kodi hajalipa na mnaweza pia kuthibitisha hilo ,Kelele za nini ? Mara hatujamuonea ,oh sio swala la kisiasa ,hata kama sio la kisiasa ,mmekosea timing huwezi kuniaminisha shinikizo la kisiasa halijatumika wakati ambao nchi ilikuwa kwenye homa ya Ukuta Mbowe akiwa ndio Captain
Huu ndio ukweli mchungu.

Kama wakina cheyo mwishowe wakafyata mkia.
 
Siwezi nikatetea mkwepaji kodi hapa tuache unafiki, kama ni mdaiwa sugu ashughulikiwe bila huruma kama anaonewa atashinda na NHC itaumbuka na kulipa fidia.
Jaji ukiruhusu mboe ashinde. Huna kazi.
 
Kwa Magufuli kila goti litapigwa.

Hata wakwepa kodi Chadema waliofukuzwa Leo billicanas ipo siku watatubu na kuachana na wizi wa kuwaibia watanzania.

Endeleeni kutukuza na kumuabudu huyo mungu mtu wwnu
 
Mtu ana 1.3 bilion unataka zifike ngapi ili wadai?
Kwani wapi nimesema asidaiwe,mi nimepongeza shirika,kina wadeni wengi ila wameamua kuanza na Mbowe,we huoni kwamba ni mfano bora??
 
CCM bana asee. Kitu kidogo kinakua kikubwa . Hivi mnajua mkataba WA manji pale Quality plaza na hao NHC ? Time will speak.
Embu tuelezee huyu kabacholi nae tumchunguze
 
Back
Top Bottom