Ukishangaa ya Musa utayaona ya Firauni.
Yule mzee aliyekuwa anatupigia kelele kila siku kuwa hawataki mafisadi kumbe ndiye Babu wa mafisadi.
Mh Mbowe anachokiongea sicho anachokimaanisha, Watanzania tulidhani ungekuwa mfano wa Kuigwa wa kuliPa kodi za watanzania kumbe ww ndiye unahodhi na mkwepaji mkuu.
Tulidhani utasimama kusaidiana na Mh Rais kuhakikisha nchi inarudi kwenye misingi yake, kumbe ulijaa unafiki na uzandiki mtupu kwa kutafuna usichopanda.
Kumbe ww ni fisi, unavuna usichopanda, unakusanya usivyo tawanya, ole wako ww fisadi wa kodi za Watanzania wakati wako umekwisha.