Nguvu za kioo na miujiza yake: Wale wenye imani zenu njooni hapa

Ukitaka kujua nguvu ya kioo na maajabu yake mpe mtoto ambaye hajamaliza hata mwaka mmoja

Na haitatokea kamwe ukayajua yote ya Dunia hadi unaingia kaburini. Dunia Ina mambo mengi yenye kuonekana na yasiyoonekana kwa macho. Endelea kujifunza.
Kweli nilimpoteza mwanangu kwa hili.
Alikuwa akiona mengi sana.
 
Vioo tunavyotumia kujitazamia au vilivyoko ktk nyumba zetu inasemekana kuwa na uwezo mkubwa wa kiroho. Soma hapa na utoe maoni yako.

Kioo ni kitu ambacho kinatakiwa kutunzwa na kutazamwa kwa umakini zaidi kwakuwa ni kitu Flagile yaani kinavunjika kwa urahisi.

Tujue kwanza kioo hutengenezwa na nini? Kioo kimetengenezwa na Material asilia ya aina tatu yaani Mchanga, Soda ash na Limestone ambavyo huchanganywa na kuunguzwa na moto mkali ndipo hutokea Kioo! Tuachane na Utengenezwaji wake tuje kwenye matumizi yake.

Kuna vioo vya kujitazama na vioo vya urembo halafu kuna vioo kwa ajili ya matumizi ya nyumba kama mlango ama madirisha. Vioo vya urembo hivi huwa na rangi rangi nyingi tofauti ambavyo hutengenezwa kwa ustadi na kuning'inizwa nje mlangoni au dirisha. Mara hivi hutumika kutambua uwepo wa roho eneo husika kwani utakuta hakuna upepo ila vinatikisika na kutengeneza mlio flani hapo wataalamu hukwambia kuna uwepo wa Roho na milio inapo sikika

mtaalamu huwa na uwezo wa kusoma ujumbe kupitia milio hiyo! Tafuta muvi inaitwa BABA YAGA utatambua nachokiongea. Kioo ni kifaa cha Magic Power kwa Wazungu sio Asili ya afrika sisi tulikuwa hatutumii vioo vya kutengeneza bali tulitumia vioo vya asilia. Asili inauwezo wa kutengeneza kioo yaani kioo cha asili kutoka kwenye natural Stone ndio hizo Almasi n.k. Sasa Wapuuzi wasio jua nguvu ndio wakaamua kutengeneza vioo kutoka kwenye natural stones. Kioo hutokana na madini na madini yana roho ndani yake so isione ajabu kioo kikahitaji damu katika eneo hilo.

Wachawi wa kizungu na ma Sorcerer walitumia vioo kutazama matukio yajayo ama kutazama matukio yaliyopita na yaliyopo. Kupitia kioo waliweza kuita mizimu ama kutuma uchawi kwa njia ya kioo. Waliweza kuhifadhi roho mbaya na nzuri kwenye vioo. Kioo kinauwezo mkubwa wa kusababisha mauaji. Sasa Wakushi hatukuwahi kutumia vioo katika utaalamu wa namna hiyo kwakuwa vioo vya Asili ni vichache kinyume chake Wakushi walitumia maji yaliyitulia either ya mto uliotulia ama ya Bwawani ambayo ni maji yasiyokuwa na movement. Baadhi ya Wakushi pia hutumia Maji kwenye Beseni, Bakuri ama Ndoo n.k.

Sasa turudi kwenye Vioo. Katika kila kioo kuna Roho ndani yake, jiulize kioo kimoja hutazamwa na watu wangapi? Ile Image unadhani haibaki kwenye kioo? Unadhani ni kitu gani kina leta ile reflexion ya wewe ama kitu? Kioo kinaweza kuamrisha mtu kufanya tukio la kujiua.

ANGALIZO

1. Usitumie kioo ambacho Pembe zake hazijafunikwa mfano kama kina pembe nne hakikisha kila pembe imeshikiliwa na ubao au chuma kisichokuwa na reflexion.

2. Usitumie kioo ambacho hakijazungushiwa cover ya aina yeyote.

3. Kioo kikivunjika tupa vipande vyote usibaki na kipande cha kioo ndani ya nyumba ama chumba chako.

4. Reflexion ya aina yeyote inaweza kutumika kuita mzimu ama mtu aliyembali ama roho yoyote katika taswira yake na kuongea nayo.

5. Watu wenye vibrations za karibu wanauwezo wa ku sense Roho zilizopo kwenye kioo na hutulia tu endapo kioo kitafunikwa ama kugeuzwa muelekeo ambao sio walipo wao.

6. Wachawi hutumia vioo ambavyo vipo majumbani mwa watu kuleta madhara katika familia husika au watu husika.

7. Kioo kikivunjika kwenye Dressing table ondoa dakika hiyo hiyo kioo kizima katupe kisha weka kioo kingine usiendelee kutumia kwa ubahili madhara yake ni makubwa zaidi. Unaweza ukaona mambo ndani ya nyumba hayaendi na usijue shida ni nini kumbe ni Kioo kibovu.

8. As below so Above. Ukisimama na kutazama mbele kwenye ukuta bila kioo utaona ukuta ila tukileta kioo utajiona wewe kiuhalisia pale unapoona ukuta kuna another version of you anakutazama ila wewe humuoni mpaka uletewe kioo. Ila ukiletewe kioo ambacho ni transparent utaendelea kuona ukuta halafu anaother version of you (Taswira) utaiona kwa kufifia kama kivuli hivi Taswira unayo iona ni wewe katika mfumo wa Roho. Sasa wachawi huitumia hiyo kufanyia mambo yao.

9. Umewahi kusikia kwamba kwenye bwawa flani kuna chunusi ana nyonya damu za watu. Kiuhalisia kwenye bwawa lenye maji yaliyotulia kuna Roho ambazo muda flani hazihitaji kubugudhiwa kwa namna yoyote ile, sasa mkienda kuoga ni lazima ziondoke na mtu na mkienda kwa maana ya kuabudu mtawasiliana nazo na kupewa maelekezo ya nini cha kufanya kwa utaratibu.

10. Kioo kinaweza kukuonesha matukio yajayo, yaliyopo na yaliyopita kwa kunuia maneno.

11. Mwisho kabisa japo yapo mengi unaweza kumuita Mtu aliyekufa akatokea kwenye kioo na mkaongea naye ukamueleza shida zako akakuelekeza namna ya kufanya kutatua shida zako ila unatakiwa kuwa na ujasiri kwakuwa tukio hilo unatakiwa kulifanya usiku wa kuanzia saa sita kamili mpaka sa tisa hapo kati au sehemu ambayo imetulia sana hakuna kelele."

Mdau mmoja naye katoa ya moyoni

Fact kabisa kioo kina nguvu kubwa ya kiasili na ukitaka kuamin amka usik kuanzia sa 9-10 nenda kajiangalie kenye kioo km dk 10 elekeza(concentrate) fikra zako hapo utaona kama kivuli nyuma yako kimesimama kama huamin kafanye na kama unatumia kioo chenye cracks(mipasuko) katupe sahv tafut kioo kipya.

NB:
Tutoe ushuhuda au maoni bila mihemuko ya kiimani.
Soma Dr From Lhasa,chapter 6 Clairvoyance.
 
Kwenye nyumba zenye msiba mara nyingi vioo vinafunikwa na nguo? Hii ni kwa sababu gani? Au nyumba ambazo hazikaliwi na kuna furniture ndani yake vioo pia hufunikwa.

Kuna duaa ya kujiangalia kwenye kioo katika uislam (Ewe Mola kama ulivyoyapendezesha maumbile yangu-kuwa mzuri...basi Vipendezeshe na vitendo vyangu pia)
 
Huu upuuzi wa kufikirika,mpaka lini bandugu?Dunia inaenda kwenye space kutafuta dark matter and energy,sisi bado tupo kwenye hizi abracadabla?
Ndio maana tunapigwa kila kona,wanasiasa wanauza rasilimali za nchi,vyombo vya habari vimekuwa makuwadi wa michezo ya kubet,kila saa matangszo ya kufwa milionea!!wanatuaminisha tukicheza tutakuwa mamilionea,kwanini wao hawachezi na bibi zao!!
Kwenye Imani,huko unaambiwa leta pesa ili Mungu akubaliki!! Upuuzi kila kona,
Kama Dubai, Johannesburg,Paris,ilijengwa kwa kufuata hizi Imani,onyesha NAMI nitakubali,kama sio,prease spare us of this fucking shit bro!!tuna matatizo mengi,uchumi,afya,lishe,
Elimu,hatuhitaji kuongezewa upuuzi
I second you mkuu. Huu upuuzi wa mambo ya kufikirika unafanya wazungu watutukane waafrika na kuona tuna ulemavu wa kufikiri.

Wakati wenzetu wanachanja mbuga kwenye teknolojia na artificial intelligence sisi tunawaza kioo. Yaani babu zetu waliporwa dhahabu kwa kubadilishana na kioo na sisi tulivyo wajinga tunajadili upumbavu mpaka leo.

Ndio maana wajasiriamali wa imani za uponyaji na miujiza ya mafanikio bila kufanya kazi wanawapiga mbumbumbu kwa akili hizi.
 
Sikuwahi kujua juu ya kioo ila mimi huwa kuna roho inaniambia usiku nifunike vioo popote napokuwa kabla sijalala nikiona kioo kimefunuliwa mi najikuta tu nimeshafunika sielewi huwa ni kitu gani kinanisukuma kufanya hivyo
 
Vile vya kubandikwa ukutani unavifanyeje mkuu?
 
Huu upuuzi wa kufikirika,mpaka lini bandugu?Dunia inaenda kwenye space kutafuta dark matter and energy,sisi bado tupo kwenye hizi abracadabla?
Ndio maana tunapigwa kila kona,wanasiasa wanauza rasilimali za nchi,vyombo vya habari vimekuwa makuwadi wa michezo ya kubet,kila saa matangszo ya kufwa milionea!!wanatuaminisha tukicheza tutakuwa mamilionea,kwanini wao hawachezi na bibi zao!!
Kwenye Imani,huko unaambiwa leta pesa ili Mungu akubaliki!! Upuuzi kila kona,
Kama Dubai, Johannesburg,Paris,ilijengwa kwa kufuata hizi Imani,onyesha NAMI nitakubali,kama sio,prease spare us of this fucking shit bro!!tuna matatizo mengi,uchumi,afya,lishe,
Elimu,hatuhitaji kuongezewa upuuzi
Nimekuelewa mkuu Hongera
 
Mm nlipata demu mneithaland pale nairobi demu ukitaka mdanganya anakwambia kaangalie kioo ukithubutu anakwambia kama uko home au uko baa au unachepuka .nkasema cha kufia nn nkapiga chini
 
Tafuta kioo chakujiangalia Paint black kioo chako, uwe na mishumaa miwili moja weka kushoto na kingine kulia, huku kioo kikiwa katikati, chumba chako hakikisha kina giza. Jitazame kwenye kioo chako for minimum 45 minutes

Asubuhi uje na marejesho nini umeona
sijaelewa hapa.
aliyeelewa anieleweshe
 
Vioo tunavyotumia kujitazamia au vilivyoko ktk nyumba zetu inasemekana kuwa na uwezo mkubwa wa kiroho. Soma hapa na utoe maoni yako.

Kioo ni kitu ambacho kinatakiwa kutunzwa na kutazamwa kwa umakini zaidi kwakuwa ni kitu Flagile yaani kinavunjika kwa urahisi.

Tujue kwanza kioo hutengenezwa na nini? Kioo kimetengenezwa na Material asilia ya aina tatu yaani Mchanga, Soda ash na Limestone ambavyo huchanganywa na kuunguzwa na moto mkali ndipo hutokea Kioo! Tuachane na Utengenezwaji wake tuje kwenye matumizi yake.

Kuna vioo vya kujitazama na vioo vya urembo halafu kuna vioo kwa ajili ya matumizi ya nyumba kama mlango ama madirisha. Vioo vya urembo hivi huwa na rangi rangi nyingi tofauti ambavyo hutengenezwa kwa ustadi na kuning'inizwa nje mlangoni au dirisha. Mara hivi hutumika kutambua uwepo wa roho eneo husika kwani utakuta hakuna upepo ila vinatikisika na kutengeneza mlio flani hapo wataalamu hukwambia kuna uwepo wa Roho na milio inapo sikika

mtaalamu huwa na uwezo wa kusoma ujumbe kupitia milio hiyo! Tafuta muvi inaitwa BABA YAGA utatambua nachokiongea. Kioo ni kifaa cha Magic Power kwa Wazungu sio Asili ya afrika sisi tulikuwa hatutumii vioo vya kutengeneza bali tulitumia vioo vya asilia. Asili inauwezo wa kutengeneza kioo yaani kioo cha asili kutoka kwenye natural Stone ndio hizo Almasi n.k. Sasa Wapuuzi wasio jua nguvu ndio wakaamua kutengeneza vioo kutoka kwenye natural stones. Kioo hutokana na madini na madini yana roho ndani yake so isione ajabu kioo kikahitaji damu katika eneo hilo.

Wachawi wa kizungu na ma Sorcerer walitumia vioo kutazama matukio yajayo ama kutazama matukio yaliyopita na yaliyopo. Kupitia kioo waliweza kuita mizimu ama kutuma uchawi kwa njia ya kioo. Waliweza kuhifadhi roho mbaya na nzuri kwenye vioo. Kioo kinauwezo mkubwa wa kusababisha mauaji. Sasa Wakushi hatukuwahi kutumia vioo katika utaalamu wa namna hiyo kwakuwa vioo vya Asili ni vichache kinyume chake Wakushi walitumia maji yaliyitulia either ya mto uliotulia ama ya Bwawani ambayo ni maji yasiyokuwa na movement. Baadhi ya Wakushi pia hutumia Maji kwenye Beseni, Bakuri ama Ndoo n.k.

Sasa turudi kwenye Vioo. Katika kila kioo kuna Roho ndani yake, jiulize kioo kimoja hutazamwa na watu wangapi? Ile Image unadhani haibaki kwenye kioo? Unadhani ni kitu gani kina leta ile reflexion ya wewe ama kitu? Kioo kinaweza kuamrisha mtu kufanya tukio la kujiua.

ANGALIZO

1. Usitumie kioo ambacho Pembe zake hazijafunikwa mfano kama kina pembe nne hakikisha kila pembe imeshikiliwa na ubao au chuma kisichokuwa na reflexion.

2. Usitumie kioo ambacho hakijazungushiwa cover ya aina yeyote.

3. Kioo kikivunjika tupa vipande vyote usibaki na kipande cha kioo ndani ya nyumba ama chumba chako.

4. Reflexion ya aina yeyote inaweza kutumika kuita mzimu ama mtu aliyembali ama roho yoyote katika taswira yake na kuongea nayo.

5. Watu wenye vibrations za karibu wanauwezo wa ku sense Roho zilizopo kwenye kioo na hutulia tu endapo kioo kitafunikwa ama kugeuzwa muelekeo ambao sio walipo wao.

6. Wachawi hutumia vioo ambavyo vipo majumbani mwa watu kuleta madhara katika familia husika au watu husika.

7. Kioo kikivunjika kwenye Dressing table ondoa dakika hiyo hiyo kioo kizima katupe kisha weka kioo kingine usiendelee kutumia kwa ubahili madhara yake ni makubwa zaidi. Unaweza ukaona mambo ndani ya nyumba hayaendi na usijue shida ni nini kumbe ni Kioo kibovu.

8. As below so Above. Ukisimama na kutazama mbele kwenye ukuta bila kioo utaona ukuta ila tukileta kioo utajiona wewe kiuhalisia pale unapoona ukuta kuna another version of you anakutazama ila wewe humuoni mpaka uletewe kioo. Ila ukiletewe kioo ambacho ni transparent utaendelea kuona ukuta halafu anaother version of you (Taswira) utaiona kwa kufifia kama kivuli hivi Taswira unayo iona ni wewe katika mfumo wa Roho. Sasa wachawi huitumia hiyo kufanyia mambo yao.

9. Umewahi kusikia kwamba kwenye bwawa flani kuna chunusi ana nyonya damu za watu. Kiuhalisia kwenye bwawa lenye maji yaliyotulia kuna Roho ambazo muda flani hazihitaji kubugudhiwa kwa namna yoyote ile, sasa mkienda kuoga ni lazima ziondoke na mtu na mkienda kwa maana ya kuabudu mtawasiliana nazo na kupewa maelekezo ya nini cha kufanya kwa utaratibu.

10. Kioo kinaweza kukuonesha matukio yajayo, yaliyopo na yaliyopita kwa kunuia maneno.

11. Mwisho kabisa japo yapo mengi unaweza kumuita Mtu aliyekufa akatokea kwenye kioo na mkaongea naye ukamueleza shida zako akakuelekeza namna ya kufanya kutatua shida zako ila unatakiwa kuwa na ujasiri kwakuwa tukio hilo unatakiwa kulifanya usiku wa kuanzia saa sita kamili mpaka sa tisa hapo kati au sehemu ambayo imetulia sana hakuna kelele."

Mdau mmoja naye katoa ya moyoni

Fact kabisa kioo kina nguvu kubwa ya kiasili na ukitaka kuamin amka usik kuanzia sa 9-10 nenda kajiangalie kenye kioo km dk 10 elekeza(concentrate) fikra zako hapo utaona kama kivuli nyuma yako kimesimama kama huamin kafanye na kama unatumia kioo chenye cracks(mipasuko) katupe sahv tafut kioo kipya.

NB:
Tutoe ushuhuda au maoni bila mihemuko ya kiimani.
Unaambiwa kioo ikikiweka kwenye beseni lenye maji ukajitazama unaweza kugundua kama unaumwa ama la.

Unaambiwa ukitaka ndoa yako idumu, mara baada ya kufunga mkajiangalie kwenye kioo kwa maana nafsi zetu zitabaki kuwa milele, ndoa itadumu milele.

Wakati mwingine tunaota manyoka nyoka tukiwa tumelala ni kwasababu tunamakabati yenye vioo chumbani mwetu. Tukilala nafsi zinatoka, zinaenda kutalii, sasa ikitoka inakutana na kioo. Ni shida.

Miaka mingi iliyopita mtu aliuwawa pasipo haki, kwa dhuluma, kabla ya mazishi vioo vitawekwa kila mahali kwenye chumba chake ndani ya siku tatu..baada ya hapo atazikwa. Ile roho yake itabaki kwenye kioo italipa kisasi kwa wabaya wake wote.

Nasikia pia eti hata mtu alikataa roho kama kuna kioo kipo karibu basi kitavunjika.

Shaloom

COPY N PASTE..
 
Vioo tunavyotumia kujitazamia au vilivyoko ktk nyumba zetu inasemekana kuwa na uwezo mkubwa wa kiroho. Soma hapa na utoe maoni yako.

Kioo ni kitu ambacho kinatakiwa kutunzwa na kutazamwa kwa umakini zaidi kwakuwa ni kitu Flagile yaani kinavunjika kwa urahisi.

Tujue kwanza kioo hutengenezwa na nini? Kioo kimetengenezwa na Material asilia ya aina tatu yaani Mchanga, Soda ash na Limestone ambavyo huchanganywa na kuunguzwa na moto mkali ndipo hutokea Kioo! Tuachane na Utengenezwaji wake tuje kwenye matumizi yake.

Kuna vioo vya kujitazama na vioo vya urembo halafu kuna vioo kwa ajili ya matumizi ya nyumba kama mlango ama madirisha. Vioo vya urembo hivi huwa na rangi rangi nyingi tofauti ambavyo hutengenezwa kwa ustadi na kuning'inizwa nje mlangoni au dirisha. Mara hivi hutumika kutambua uwepo wa roho eneo husika kwani utakuta hakuna upepo ila vinatikisika na kutengeneza mlio flani hapo wataalamu hukwambia kuna uwepo wa Roho na milio inapo sikika

mtaalamu huwa na uwezo wa kusoma ujumbe kupitia milio hiyo! Tafuta muvi inaitwa BABA YAGA utatambua nachokiongea. Kioo ni kifaa cha Magic Power kwa Wazungu sio Asili ya afrika sisi tulikuwa hatutumii vioo vya kutengeneza bali tulitumia vioo vya asilia. Asili inauwezo wa kutengeneza kioo yaani kioo cha asili kutoka kwenye natural Stone ndio hizo Almasi n.k. Sasa Wapuuzi wasio jua nguvu ndio wakaamua kutengeneza vioo kutoka kwenye natural stones. Kioo hutokana na madini na madini yana roho ndani yake so isione ajabu kioo kikahitaji damu katika eneo hilo.

Wachawi wa kizungu na ma Sorcerer walitumia vioo kutazama matukio yajayo ama kutazama matukio yaliyopita na yaliyopo. Kupitia kioo waliweza kuita mizimu ama kutuma uchawi kwa njia ya kioo. Waliweza kuhifadhi roho mbaya na nzuri kwenye vioo. Kioo kinauwezo mkubwa wa kusababisha mauaji. Sasa Wakushi hatukuwahi kutumia vioo katika utaalamu wa namna hiyo kwakuwa vioo vya Asili ni vichache kinyume chake Wakushi walitumia maji yaliyitulia either ya mto uliotulia ama ya Bwawani ambayo ni maji yasiyokuwa na movement. Baadhi ya Wakushi pia hutumia Maji kwenye Beseni, Bakuri ama Ndoo n.k.

Sasa turudi kwenye Vioo. Katika kila kioo kuna Roho ndani yake, jiulize kioo kimoja hutazamwa na watu wangapi? Ile Image unadhani haibaki kwenye kioo? Unadhani ni kitu gani kina leta ile reflexion ya wewe ama kitu? Kioo kinaweza kuamrisha mtu kufanya tukio la kujiua.

ANGALIZO

1. Usitumie kioo ambacho Pembe zake hazijafunikwa mfano kama kina pembe nne hakikisha kila pembe imeshikiliwa na ubao au chuma kisichokuwa na reflexion.

2. Usitumie kioo ambacho hakijazungushiwa cover ya aina yeyote.

3. Kioo kikivunjika tupa vipande vyote usibaki na kipande cha kioo ndani ya nyumba ama chumba chako.

4. Reflexion ya aina yeyote inaweza kutumika kuita mzimu ama mtu aliyembali ama roho yoyote katika taswira yake na kuongea nayo.

5. Watu wenye vibrations za karibu wanauwezo wa ku sense Roho zilizopo kwenye kioo na hutulia tu endapo kioo kitafunikwa ama kugeuzwa muelekeo ambao sio walipo wao.

6. Wachawi hutumia vioo ambavyo vipo majumbani mwa watu kuleta madhara katika familia husika au watu husika.

7. Kioo kikivunjika kwenye Dressing table ondoa dakika hiyo hiyo kioo kizima katupe kisha weka kioo kingine usiendelee kutumia kwa ubahili madhara yake ni makubwa zaidi. Unaweza ukaona mambo ndani ya nyumba hayaendi na usijue shida ni nini kumbe ni Kioo kibovu.

8. As below so Above. Ukisimama na kutazama mbele kwenye ukuta bila kioo utaona ukuta ila tukileta kioo utajiona wewe kiuhalisia pale unapoona ukuta kuna another version of you anakutazama ila wewe humuoni mpaka uletewe kioo. Ila ukiletewe kioo ambacho ni transparent utaendelea kuona ukuta halafu anaother version of you (Taswira) utaiona kwa kufifia kama kivuli hivi Taswira unayo iona ni wewe katika mfumo wa Roho. Sasa wachawi huitumia hiyo kufanyia mambo yao.

9. Umewahi kusikia kwamba kwenye bwawa flani kuna chunusi ana nyonya damu za watu. Kiuhalisia kwenye bwawa lenye maji yaliyotulia kuna Roho ambazo muda flani hazihitaji kubugudhiwa kwa namna yoyote ile, sasa mkienda kuoga ni lazima ziondoke na mtu na mkienda kwa maana ya kuabudu mtawasiliana nazo na kupewa maelekezo ya nini cha kufanya kwa utaratibu.

10. Kioo kinaweza kukuonesha matukio yajayo, yaliyopo na yaliyopita kwa kunuia maneno.

11. Mwisho kabisa japo yapo mengi unaweza kumuita Mtu aliyekufa akatokea kwenye kioo na mkaongea naye ukamueleza shida zako akakuelekeza namna ya kufanya kutatua shida zako ila unatakiwa kuwa na ujasiri kwakuwa tukio hilo unatakiwa kulifanya usiku wa kuanzia saa sita kamili mpaka sa tisa hapo kati au sehemu ambayo imetulia sana hakuna kelele."

Mdau mmoja naye katoa ya moyoni

Fact kabisa kioo kina nguvu kubwa ya kiasili na ukitaka kuamin amka usik kuanzia sa 9-10 nenda kajiangalie kenye kioo km dk 10 elekeza(concentrate) fikra zako hapo utaona kama kivuli nyuma yako kimesimama kama huamin kafanye na kama unatumia kioo chenye cracks(mipasuko) katupe sahv tafut kioo kipya.

NB:
Tutoe ushuhuda au maoni bila mihemuko ya kiimani.
Hapa sijui kama Dr Mshana alipita
 
Ukitaka kujua nguvu ya kioo na maajabu yake mpe mtoto ambaye hajamaliza hata mwaka mmoja

Na haitatokea kamwe ukayajua yote ya Dunia hadi unaingia kaburini. Dunia Ina mambo mengi yenye kuonekana na yasiyoonekana kwa macho. Endelea kujifunza.
Kuna vindege huwa vikijiona kwenye kioo cha dirisha au gari huwa vinapambana kweli ili vimfikie yule reflects wake. Kanagonga dirisha balaa
 
Wewe unazungumza kuhusu claivoyance. Kioo kinachongumziwa siyo kioo cha bafuni. Kioo cha clairvoyance ni CURVED mirror,kama kifuniko cha taa ya gari au taa ya pikipiki.
Kioo hiki unakipaka rangi cheusi upande mmoja,halafu unakitazama ndani.
Kioo hiki kinaitwa Black Mirror.
Pia juzi nilikwenda Mererani. Kuna kitu kule kinaitwa crystal,neno ambalo linatajwatajwa sana watu wanapoongea kuhusu claivoyance.
Bado najitahidi kuipata hii crystal.
 
Duh!!,Dunia haiishi ya kujifunza.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom