Nguvu za kioo na miujiza yake: Wale wenye imani zenu njooni hapa

IMG_20230622_162745.jpg
 
Hiki ndio kioo kinachozungumziwa. Concave au convex mirror ambayo imepakwa rangi nyeusi upande mmoja.
 
Ukitaka kujua nguvu ya kioo na maajabu yake mpe mtoto ambaye hajamaliza hata mwaka mmoja
Daaaaah kumbe bado cjaona mengi any way ahsanteh kwa kutujuzaaa Kiongozii
Na haitatokea kamwe ukayajua yote ya Dunia hadi unaingia kaburini. Dunia Ina mambo mengi yenye kuonekana na yasiyoonekana kwa macho. Endelea kujifunza.
 
Mleta uzi ameweka hoja mezani ila watu wanapinga bila ya kufanya tafiti,, ndio ubaya wa sisi watu weusi tunabisha bila kufanya tafiti za ku-mprove wrong mleta uzi,,, Waafrika tupunguze kupinga-pinga tutafka mbali,,,
NB:Mnaobishia kafanyeni tafiti mlete mrejesho, maneno mengi uoga mwingi.....shiiiitttt
 
10. Kioo kinaweza kukuonesha matukio yajayo, yaliyopo na yaliyopita kwa kunuia maneno.

11. Mwisho kabisa japo yapo mengi unaweza kumuita Mtu aliyekufa akatokea kwenye kioo na mkaongea naye ukamueleza shida zako akakuelekeza namna ya kufanya kutatua shida zako ila unatakiwa kuwa na ujasiri kwakuwa tukio hilo unatakiwa kulifanya usiku wa kuanzia saa sita kamili mpaka sa tisa hapo kati au sehemu ambayo imetulia sana hakuna kelele."

Huu sasa ni uchawi khe 😅
 
Mhhh ni miaka thalatha tunajitazama na mijioo ipo wazi...kitu kile ukiwazacho ndicho kikutokeacho
 
Najua upinde unasambaza USHOGA au kunamaana zaidi ya hiyo mkuu?
Ndiyo una maana kubwa sn ktk medali za nguvu za giza. Kwani hujawahi kuona mvua ikitaka kunyesha huo upinde ukijitokeza tu Kwisha habari yake. Hata km mawingu yalikuwa ya mvua ya mawe hutaona mvua abadani labda vimanyunyu tu kwa mbaaali. Na upinde huo huwa hauwezi kujitokeza pindi mvua inapokuwa ineanza kunyesha. Je hili ulilijua hapo kabla. Fanya research ulete mrejesho.
 
Tafuta kioo chakujiangalia Paint black kioo chako, uwe na mishumaa miwili moja weka kushoto na kingine kulia, huku kioo kikiwa katikati, chumba chako hakikisha kina giza. Jitazame kwenye kioo chako for minimum 45 minutes

Asubuhi uje na marejesho nini umeona
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom