Nguvu ya umma: Eric Shigongo azomewa ashindwa kuzungumza

Ndugu POMPO .. kuleta hii habari hapa mwenyewe unajiona shujaa... hongera,! anyways hata mimi simfagilii shigongo, sio kwasababu ni mshabiki wa chadema la! nachukia magezeti yake

Asante ndugu NJIWA naona umeuma na kupuliza
 
Jamani tuweke pembeni u-CCM na u-CHADEMA..... Eric alikuwa na vision nzuri sana....Sisi sote ni Watanzania na tuna kila sababu ya kulinda na kudumisha AMANI ya nchi yetu.....Yatakapokuja machafuko na umwagaji wa damu hayataangalia mshabiki wa CCM, CHADEMA, CUF..... Naungana nae kabisa kabisa na vision yake ya kukutanisha watanzania wote....Hasa sisi vijana ambao rahisi kushawishiwa, kudanganywa..... na kufanya mamabo hatari ...(tumeyaona MISRI, TUNISIA na sasa LIBRYA)....Kuelezana kwa ukweli mtakabali wa taifa letu!! Mungu ibariki Tanzania na watu wake...AMEN

Nani aliyekuambia yaliyotokea Tunisia, Misri na Libya ni mabaya.Ni mapinduzi dhidi ya viongozi wadhalimu na ni mfano wa kuigwa.
 
Jamani tuweke pembeni u-CCM na u-CHADEMA..... Eric alikuwa na vision nzuri sana....Sisi sote ni Watanzania na tuna kila sababu ya kulinda na kudumisha AMANI ya nchi yetu.....Yatakapokuja machafuko na umwagaji wa damu hayataangalia mshabiki wa CCM, CHADEMA, CUF..... Naungana nae kabisa kabisa na vision yake ya kukutanisha watanzania wote....Hasa sisi vijana ambao rahisi kushawishiwa, kudanganywa..... na kufanya mamabo hatari ...(tumeyaona MISRI, TUNISIA na sasa LIBRYA)....Kuelezana kwa ukweli mtakabali wa taifa letu!! Mungu ibariki Tanzania na watu wake...AMEN
We nadhani una yako, hii ni new generation tunahitaji mabadiliko ya kweli kwa njia yoyote ile halali au haramu amani unayoitaka hiyo ndio imetufikisha hapa tulipo, tuone ladha kwanza ya kutokuwa na amani viongozi watatia akili.tukifa kuna vizazi vinakuja vitafaidi tu usijali.
 
amechelewa, anatauta ubunge kupitia chama ambacho kinapoteza mvuto kwa wananchi katika kasi ya ajabu sana. ndo maana anatumia nguvu nyingi lakini inashindikana, shame on him
 
Wakuu nilikuwa kwa ibada siku nzima sijaona tukio hili,ila bahati mbaya sioni post yoyote inayo eleza hili tukio limetokea mkoa gani,...please
 
Hana lolote huyu, eti global walitaka kumfananisha na Slaa. Pamoja na street university yake bado ni manamba wa ccm, aibu, hata ubunge ulimshinda.
 
Wakuu. Shigongo amekutana na nguvu ya umma. Katika tamasha lake la uzalendo, ambapo alitaka kuanza kumwaga sumu juu ya harakati / maandamano za CHADEMA. Ile anaanza tu kuongea umma ukaanza kumzumia na kumtukana ikabidi atelemke jukwaani, Ameiona na kuijua "nguvu ya umma" source tbc habari ya saa nne am
Jamaa CCM wenyewe hawamtaki lakini analazimisha tu ili aendelee kufanya biashara zake za kuharibu maadili na kuvunja ndoa za watu!!Eric komaa na biashara zako za photoshop!PEOPLE'S...................................................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
aache ujinga. aende zake akatunge hadithi zake ambazo hata kufikirika hazifikiriki. magazeti yake tu yanatosha kumtafsiri kuwa ni mtu wa namna gani. mkuda,mdaku,mbeya,mpashkuna,mpekupeku,mshambenga,mnafiki,muongo,na tabia zote mbaya.
 
Wakuu. Shigongo amekutana na nguvu ya umma. Katika tamasha lake la uzalendo, ambapo alitaka kuanza kumwaga sumu juu ya harakati / maandamano za CHADEMA. Ile anaanza tu kuongea umma ukaanza kumzumia na kumtukana ikabidi atelemke jukwaani, Ameiona na kuijua "nguvu ya umma" source tbc habari ya saa nne am

Aliamua kushuka jukwaani kwa sababu aligundua kuwa watu wanauelewa uzalendo na ndio maana walimwonesha uzalendo kwa vitendo. Hicho walichomwonesha ndio uzalendo wenyewe.
 
Huko kwenye siasa amekuwa aki-struggle kwa muda mrefu, anatafuta namna ya kutoka... huko kanda ya ziwa wanamfahamu sana maana ndiko anakoendesha harakati zake za kusaka ubunge

Kanda ya ziwa lipi atagombea, huku mwanza? chadema tupu
 
Sisi tulioko huku kanda ya ziwa mtuulize, Shigongo lengo lake ni kulikamata jimbo lililokuwa na chitalilo (bila shaka mnamjua sana chitalilo), lakini kweli, ivi ccm bado wanataka ubunge tena huku kanda ya ziwa? tumeonja asali huku tunataka kuchonga mzinga.
Jumamosi kulikuwa na mkutano wa wabunge wa cdm mwanza city (wenje&kiwia) na wapiga kura wao, kweli they are unique, walikuwa wanatoa taarifa ya kile walichokuwa wametumwa na wapiga kura... ni hivi, kule buhongwa kuna kituo cha afya kilijengwa mwaka 1976 hakikuwa na umeme wameweka, maji yalikatwa baada ya kushindwa kulipia, wanaunganisha, hakijawahi kupigwa rangi tangu kimejengwa, wanapiga na wanajenga wodi ya kina mama.
Mama ntilie wanaanzishiwa saccos 5mls zinatolewa, machinga saccos 5mils za kuanzia wanatoa.
Walimu saccos 5mils za kuanzia wanatoa.
Siku hiyo ya mkutano Kiwia aliingia na Ambulance mpya kwa ajili ya wana ilemela na kasema zinakuja soon..
walitoa mipango ya jiji pia.
Wanasomesha wanafunzi zaidi ya 900 now sekondari.
Na walitoa taarifa ya mfuko wa maendeleo ya bunge kitu ambacho wananchi walisema hata hawajawahi kusikia achana na kuziona.
Waliwauliza wapiga kura zikija tuzifanie nini? wakajibu tuzigawe sehem mbili, AFYA NA ELIMU.
Hayo ndo maendeleo tunayotaka na zaidi shigongo bado anataka ubunge..??
 
Jamani tuweke pembeni u-CCM na u-CHADEMA..... Eric alikuwa na vision nzuri sana....Sisi sote ni Watanzania na tuna kila sababu ya kulinda na kudumisha AMANI ya nchi yetu.....Yatakapokuja machafuko na umwagaji wa damu hayataangalia mshabiki wa CCM, CHADEMA, CUF..... Naungana nae kabisa kabisa na vision yake ya kukutanisha watanzania wote....Hasa sisi vijana ambao rahisi kushawishiwa, kudanganywa..... na kufanya mamabo hatari ...(tumeyaona MISRI, TUNISIA na sasa LIBRYA)....Kuelezana kwa ukweli mtakabali wa taifa letu!! Mungu ibariki Tanzania na watu wake...AMEN
hapo red:unatumia makalio kufikiri badala ya ubongo.......ndio maana unapost upupu hapa huna tofauti na Shigongo anayetuharibia wadogo zetu kwa kuwashawishi wafanye ngono
 
Masikini Shigongo... kweli elimu sio kwenda shule tu!!!! Kweli Shigongo kakubali kutumwa na kina mzee Makamba kufanya kazi za kisharobaro na akakubali!!!!!!
 
Siku hizi ameacha ile kazi ya kufumania watu na wapenzi, akaingia kweye siasa? au nafanya zote?

Ata hiyo ya kufumania hajawahi kuifanya. Ni kulipa watu wasiojulikana afu wajifanye wamefumaniwa ili atengeneze pesa kwa kuuza magazeti yake. Amesaidia sana kuzuga wananchi hasa wanawake wa Uswazi ambao leo hawajui gazeti lolote ila ya udaku tu. Wamekuwa MBUMBUMBU kusema kweli!!!!
 
Back
Top Bottom