Nguvu ya umma: Eric Shigongo azomewa ashindwa kuzungumza

POMPO

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
6,690
2,400
Wakuu. Shigongo amekutana na nguvu ya umma. Katika tamasha lake la uzalendo, ambapo alitaka kuanza kumwaga sumu juu ya harakati / maandamano za CHADEMA. Ile anaanza tu kuongea umma ukaanza kumzumia na kumtukana ikabidi atelemke jukwaani, Ameiona na kuijua "nguvu ya umma" source tbc habari ya saa nne am
 
Peoples power!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hakome na hakomage.........................

Aibuuu!! hivi alifikiri watu wote ni mandunya kama yeye! alitaka kugeuza kuwa tamasha la kisiasa ili kukandya CDM, mtu mzima kaumbuka, kajichanganya kakalia poti la mtoto hadharani!
 
Aibuuu!! hivi alifikiri watu wote ni mandunya kama yeye! alitaka kugeuza kuwa tamasha la kisiasa ili kukandya CDM, mtu mzima kaumbuka, kajichanganya kakalia poti la mtoto hadharani!

NIMEPENDA HILO NENO "MANDUNYA" umenifanya nitabasamu mkuu!
 
Ya kweli mkuu,nilichokiona Jamaa kainigia kwa mbwe pale jukwaani,Yeye alifikili umati hule wemefika pale kwa mtazamo wa waandaaji kumbe sivyo watu walitaka burudani kuliko siasa.Ndo maana yeyote aliyepanda na kuanza polojo zake aliambiwa shuka.
Kwa ujumla lengo la waadaaji alikufanikiwa,watu walikuwepo kwa interest yao hasa BURUDARI na sivinginevyo
 
Lilikuwa ni concert tu,watu hawakuruhusu siasa. Ilikuwa poa kwa wananchi,maana viingilio havikuwepo, waendelee hivihivi kuwapelekea wananchi burudani free..
 
safi sana na nimeipenda sana hiyo ,wasitufanye watoto wa dogo tene wasio na elimu kwani siku izi kuna watoto hata wa kindegateni wanajua ku chuja mambo na kufikili kwa kina, shame upon them shigongo na mashalobalo wake
 
Hiyo ni habari njema. Maana wengine tulijua kuwa hilo tamasha lilikuwa na malengo ya kisiasa na sio kuhamasisha uzalendo; uzalendo huwa haumasishwi kihivyo nionavyo mimi. Nafurahi kuona Watanzania wameamka. CCM inatapatapa.

Ya kweli mkuu,nilichokiona Jamaa kainigia kwa mbwe pale jukwaani,Yeye alifikili umati hule wemefika pale kwa mtazamo wa waandaaji kumbe sivyo watu walitaka burudani kuliko siasa.Ndo maana yeyote aliyepanda na kuanza polojo zake aliambiwa shuka.
Kwa ujumla lengo la waadaaji alikufanikiwa,watu walikuwepo kwa interest yao hasa BURUDARI na sivinginevyo
 
Lilikuwa ni concert tu,watu hawakuruhusu siasa. Ilikuwa poa kwa wananchi,maana viingilio havikuwepo, waendelee hivihivi kuwapelekea wananchi burudani free..
Lengo ilikuwa waamashisa uzarendo kwa wananchi kuipenda nchi ya na siyo burudani kama unavyofikili,Je baadhi ya viongozi alifuata nini pale?.
 
hahahahahahah......nilikuwepo kwenye tukio ngoma ilianza pale mc dokii kumtaja kikwete...watu wakaonesha vidole viwili juu...shigongo alivyopanda akaharibu kabisa..ningekua mtaalam ninge upload clip za tukio zima
 
<p>
&lt;p&gt;&lt;/p&gt;</p>
<p>&lt;p&gt;&amp;nbsp;&lt;/p&gt;</p>
<p>Akili ya Shigongo haijawahi kuwa tofauti na magazeti yake ya udaku. Cheap and stupid!
</p>
<p>&nbsp;</p>
Nimeipenda hiyo! Anajifanya mlokole huku magazeti yake ya udaku yakiongoza kwa kutukuza ngono na ufirauni mwingine.
 
hahahahahahah......nilikuwepo kwenye tukio ngoma ilianza pale mc dokii kumtaja kikwete...watu wakaonesha vidole viwili juu...shigongo alivyopanda akaharibu kabisa..ningekua mtaalam ninge upload clip za tukio zima

mkuu safffffffffffi sana.nimeipendahiyo. Tafadhali omba kwa watu wasaidie ku-upload hiyo ili nasi furaha yetu itimilike. Watanzania wa leo siyo wa kudanganya na propoganda-tumeelika. Uongo na ushambenga sasa basi. Tanzania bila ccm inawezekana!!
 
wasijaribu kugusa mambo ya CDM,kwani wananchi hawasikilizi upuuzi mwengine wataendelea kukubalika na 2015 nchi itarudi kwa wananchi wanyonge kupitia CDM
 
Siku hizi ameacha ile kazi ya kufumania watu na wapenzi, akaingia kweye siasa? au nafanya zote?
 
yule msukuma sijui yukoje.....siasa yule hawezi mi namshauri aendelee na kazi yake ya udaku.....halafu sio lazima kuongea upuuzi angeweza kukaa kimya aibu hii angeikwepa
 
Siku hizi ameacha ile kazi ya kufumania watu na wapenzi, akaingia kweye siasa? au nafanya zote?

Huko kwenye siasa amekuwa aki-struggle kwa muda mrefu, anatafuta namna ya kutoka... huko kanda ya ziwa wanamfahamu sana maana ndiko anakoendesha harakati zake za kusaka ubunge
 
Back
Top Bottom