Nguvu ya umma: Eric Shigongo azomewa ashindwa kuzungumza

Lengo ilikuwa waamashisa uzarendo kwa wananchi kuipenda nchi ya na siyo burudani kama unavyofikili,Je baadhi ya viongozi alifuata nini pale?.
Kwenye red Mkuu,! Wananchi ni wazalendo na wanaipenda nchi yao sana tu! wasioipenda nchi hii ni watawala wanaoshirikiana na wageni kupora mali ya uma
 
Tanzania yetu mtu akitaka umaaarufu kisiasa basi anaki-mention CDM, Labda akina atatoka na CCM watam-consider kwa nafasi ya kugombea ubunge.
Shigongo alikuwa anaijaribu karata yake! too bad kaliwa.
Mlio karibu nae mwambie aendelee kuchungulia watu kwenye ma-gesti hauzi, he seem to be talented in that field. Mungu hamtupi mja wake.
 
<p></p>
<p>&nbsp;</p>
Akili ya Shigongo haijawahi kuwa tofauti na magazeti yake ya udaku. Cheap and stupid!

nakubishia sana tu. Japo huyu jamaa nina bifu nae, ni mtu mwenye kuona mbali. Mtamsema na magazeti yake lakini mtanunua tu! Watu wanapenda udaku, ndugu. Pia suala la kuzomewa, watz wawe na subira na mchanganuo. Baada ya burudani walipata nini? Ni haohao ukiwauliza maadui wa taifa letu ni kina nani hawajibu. Wanachojua ni burudani tu! Kwa nini hawakutaka kusikiliza hotuba ili wachambue pumba na mchele wakataka minyimbo iliyojaa kwenye media? Nasema waliofika Biafra na wakazomea ni ma stupid!
 
Jamani tuweke pembeni u-CCM na u-CHADEMA..... Eric alikuwa na vision nzuri sana....Sisi sote ni Watanzania na tuna kila sababu ya kulinda na kudumisha AMANI ya nchi yetu.....Yatakapokuja machafuko na umwagaji wa damu hayataangalia mshabiki wa CCM, CHADEMA, CUF..... Naungana nae kabisa kabisa na vision yake ya kukutanisha watanzania wote....Hasa sisi vijana ambao rahisi kushawishiwa, kudanganywa..... na kufanya mamabo hatari ...(tumeyaona MISRI, TUNISIA na sasa LIBRYA)....Kuelezana kwa ukweli mtakabali wa taifa letu!! Mungu ibariki Tanzania na watu wake...AMEN
Wewe ukiwa mwepesi kushawishika unazani vijana wote...Pole sana kwababu unashawishika kirahisi lakini anggalia ukienda mombasa watakuomba
 
Pole sana Shigongo kwa aibu hyo ni vema ukatambua nyakati na majira! Sasa ivi hatutapigia makofi ahadi na pumba za maneno!
Kajifunze kuongea kikubwa!
 
Ukweli ni kwamba anatafuta mbinu za kujipenyeza karibu na vigogo wa ccm(mafisadi) kwa lengo la ubunge kule buchosa. Hapo 2015
ni vema ameshtukiwa mapema na jamii.
Asome alama za nyakati,vinginevyo heshima yake(iliyoporomoka tayari)itapotea kabisa.na mbaya zaidi PEOPLES POWER!!!!........... magazeti yake.
UZALENDO hauhitaji burudani.maana si suala la fashion bali ni la MAADILI zaidi
Tatizo la nchi hii ni ukiukwaji wa maadili ktk jamii.
FISADI ANAOMBWA ARUDISHE na KIBAKA ANAKWENDA SEGEREA??????????
 
Video unaweza kuupload Tinypic.com hakuna haja hata ya ku-register.
 
nakubishia sana tu. Japo huyu jamaa nina bifu nae, ni mtu mwenye kuona mbali. Mtamsema na magazeti yake lakini mtanunua tu! Watu wanapenda udaku, ndugu. Pia suala la kuzomewa, watz wawe na subira na mchanganuo. Baada ya burudani walipata nini? Ni haohao ukiwauliza maadui wa taifa letu ni kina nani hawajibu. Wanachojua ni burudani tu! Kwa nini hawakutaka kusikiliza hotuba ili wachambue pumba na mchele wakataka minyimbo iliyojaa kwenye media? Nasema waliofika Biafra na wakazomea ni ma stupid!

Correction: I never ever buy his tabloids and I believe others don't too, they lack even kid's simple mentality

Accusing a multitude of people simply bcoz they didn't like who and what was being adressed to them is low brother, don't hate the game or the players!

Inatubidi kwa majira ya sasa tukiwa viongozi ama watu wenye ushawishi kwa jamii tusome alama za nyakati, lile halikuwa kundi sahihi kwake E Shigongo kujinadi..la hasha!

Lastly I have no hatred whatsoever as he has gotten and risen to where he is now thru legal means, I only hate and abhor the fact that he translate novels for his dear books, haven't read any of them but was told of two, with copyright issues, he better collect his game lest he goes to insolvency...
 
Tumewatuma wawakilishi wetu, kuangua maembe juu ya mti, ili wakimaliza kazi tugawane walichopata, badala yake viongozi wetu wamebaki juu wa mti wanakula maembe wanadondosha maganda. Harafu wanamtuma Kuwadi kama Shigongo eti kuhamasisha watu wapende shamba lao (Tanzania) na wawe wazalendo. Uzalendo uanze juu kwa hao wanaokula maembe na kudondosha maganda brother Shigongo, strategy yenu imetokota, fanyeni utafiti kabla hamjandaa matamasha yenye title kubwa kama hizo.
 
  • Thanks
Reactions: 911
yaani nchi hii imefika mahali patamu sana.....mi nangoja tu ipigwe kiberiti maana watu tumechoka
 
Mzee wa Hadithi za kufikirika. hahahaha ila jamani ndiyo njia ya kutuopoa sisi VIPOFU wa siku nyingi. Unajua nashukuru Mungu kwamba hayo matamasha yote sipati habari zake on time. Maana ingekuwa kazi kweli. Imagine unaenda kwenye tamasha ukakutana na waswahili wakiokuja special kuzomea. Wa TZ tunaenda wapi?

Tunamuhitaji Mungu atufungue macho! tunakoenda siko.
 
Shigongo nyanda wa kukaya,
Naomba nikupe ushauri wa bure: Njia unayoelekea itakupoteza! achana kabisa na siasa chafu, thats not a breakthrough opportunity as you see it!! Njia unayoelekea ni njia chafu, na kwa bahati mbaya kabisa mbio unajaribu kupiga ni za sakafuni; 2015 simbalikufika ukingoni! Umeingia wakati mbaya kuliko wakati mwingine wowote ule,watanzania wako macho sana, hautapata nafasi! Jahazi ulilodandia likizama hapo 2015 UTAJUTA!
 
Jamani tuweke pembeni u-CCM na u-CHADEMA..... Eric alikuwa na vision nzuri sana....Sisi sote ni Watanzania na tuna kila sababu ya kulinda na kudumisha AMANI ya nchi yetu.....Yatakapokuja machafuko na umwagaji wa damu hayataangalia mshabiki wa CCM, CHADEMA, CUF..... Naungana nae kabisa kabisa na vision yake ya kukutanisha watanzania wote....Hasa sisi vijana ambao rahisi kushawishiwa, kudanganywa..... na kufanya mamabo hatari ...(tumeyaona MISRI, TUNISIA na sasa LIBRYA)....Kuelezana kwa ukweli mtakabali wa taifa letu!! Mungu ibariki Tanzania na watu wake...AMEN

Mkuu Saitama , naona una matatizo ya kufikiri kama Tambwe.
Sisi wengine hatujifichi ni wanaccm, lakini ni kijana yupi aliyeleta kashfa za Richmond,Dowans, EPA na Kagoda?
Ungekuwa unauwezo wa kuchanganua mambo ungejua kuwa hayo ya Misri, Libya na Tunisia ni matokeo ya kulea na kuzivundika kashfa kama hizi.
Huyu Shigongo angeonekana ana akili kidogo kama angekuwa wa kwanza kusema "mfalme uko uchi". Kwa uhakika mfalme yuko uchi na watu kama Eric wanachekelea na kujikomba,watu wanajua na wanaona mfalme yuko uchi, kuwaeleza vijana vinginevyo ni kupoteza wakati na sana sana kuonekana mwehu mbele ya jamii-kama Eric alivyofanya.
 
Huyu ndo anaelekea kufuria muacheni atapetape....amejiingiza kwenye ubunge CCM imemtenda vibaya mpaka...kakimbia Dodoma kujitetea pia ametendwa...kapewa tender na CCM ya Mamillion hajalipwa mpaka sasa...kahaidiwa viti maalum katendwa pia...kaahidiwa u DC pia katendwa....kasambaza magazeti yake ya udaku bure copy 3000 kila cku miezi 2 Buchosa ila katendwa pia...kashauriwa na wafanyabiashara maarufu aache siasa ila hackii..sasa kampuni inakufa kifo kitakatifu....haijui CCM...Msameheni sana huyo
 
Back
Top Bottom