inawezekana kabisa mungu wake alishamsamehe, nani aujuaye moyo wa mtu? halafu unafikiri watu wote wanaotelekeza watoto wanashtakiwa na dhamiri zao? Swala hapa ni kwamba kama kumchukia kwako baba yako hakuathiri ustawi wako wa kiroho wala kisaikolojia na hata kimwili, basi mwache baba asamehewe na mungu wake. ila kama unaumia na hata ukitype mikono inatoka povu kuna haja ya kuachia hiyo negative energy ikutoke. hilo faili ubongoni mwako unalolitumia kumhifadhi baba unayemchukia na nguvu unayotumia kumchukia ungetumia kufanyia mambo mengine mazuri sana. With time naamini utamwachia tu, na mimi nitakuombea moyo wako ulainike.
Hivi kila USIEMPENDA - UNAMCHUKIA? ninachojua mm nina vitu viwili tu kwake: SIJAMSAMEHE hiyo hata yeye anajua!
SINA MAPENZI nae km baba hata! Ndio CHUKI hii!
Sina uhakika km namchukia ama laah, labda, ila najishughulisha na HAMSINI zangu, alionifanyia ni darasa tosha!
Mengine hayanihusu! Hii kusamehe samehe wkt mwingine tuwe tunaweka kikomo bhana! Kila kitu samehe, samehe!
Hawa wengine waacheni wabebe misalaba yao hapa hapa tu!
Alinikataa utotoni! Na bado hajanikubali ukubwani!
Mm kutomsamehe BABA ni sehemu ya mipango ya m.mungu, anamuonyesha kuwa MKOSEFU!

Dada yangu achana na Imani hizo ni za kishetani kabisaNdiyo haswaa KUTOPENDA NA CHUKI havipishani kabisa,chuki ni zao la kutopenda,usipopenda lazima chuki izaliwe,katika upendo hamna chuki na upendo ni ukamilifu wa yote.
Si mipango ya Mungu wewe kutomsamehe baba yako,hiyo ni mipango ya shetani na anajua siku utakayomsamehe baba yako utakuwa ni ukombozi wako hivyo anataka wewe uendelee kuwa mtumwa wake.
Kwanza elewa Mungu wetu ni mwingi wa huruma na mwingi wa fadhili,kama yeye angehesabu maovu yetu hakuna hata mmoja angeishi,Ndiyo maana ametupa kanuni moja tu ili aweze kutusamehe nasi yatupasa tuwasamehe wanaotukosea,hilo tu tena yatupasa tufanye hivyo saba mara sabin tena kwa siku moja.Je kuna mtu anaweza kukosea hivyo kwa siku moja? Pamoja na yote uliyoumizwa tangaza msamaha,Mungu wetu ni wa rehema.
NI UHARO MTUPUmav matupu sasa hadithi hii inatufundisha nin?
mav matupu sasa hadithi hii inatufundisha nin?
Dada yangu achana na Imani hizo ni za kishetani kabisa
Kwa nini utembee na Baba yako, hata km ni umri wamiaka 10?
ukimsamehe tena atarudia hata mara 70
usiamini mambo ya Laana kutoka kwa Wazazi hata watoto nao wana laana kwa wazazi
mtu yeyote anayeLALA NA NDUGUYE (hasa BABA au MAMA ) ni chukizo kwa MUNGU halina MSAMAHA hapa Diniani hata AHERA
Serious
Tena sana!
Kama maneno yote haya ni ya kweli, na msamaha una baraka zooote hizi, Hivi kwa nyinyi mlio kimyume na rasimu ya katiba iliyopitishwa "kidijitali" pale bungeni hivi karibuni, mko tayari kuwasamehe akina sita na timu yake kwa ajili ya kupata "mijibaraka" kama ya mwenzetu??
Nawaza tu kipuuzi puuzi, msinikasirikie, ikiend imeshaanza...!!!!
Hujui namna gn niliumia! Hujui namna gn kutokuwepo kwake kulinipoteza ktk dira sahihi ya maisha!
Kwa kifupi niliteseka, nilimature b4 my age!
Na hv hajishughulishi ku-apologize, ndio kbs!
Namtakia all the best ktk maisha yake!
SIJAMSAMEHE!
Dada yangu achana na Imani hizo ni za kishetani kabisa
Kwa nini utembee na Baba yako, hata km ni umri wamiaka 10?
ukimsamehe tena atarudia hata mara 70
usiamini mambo ya Laana kutoka kwa Wazazi hata watoto nao wana laana kwa wazazi
mtu yeyote anayeLALA NA NDUGUYE (hasa BABA au MAMA ) ni chukizo kwa MUNGU halina MSAMAHA hapa Diniani hata AHERA
Duuuuu! Kama ndivyo kunauwezekano ukafanya kosa kama lake siku moja.
ww sasa unajichanganya na nguvu hizi za GIZAWeee ndio nimekuelewa vzr ktk hii thread!
Nadhani kuna haja ya kuishi kwa kukariri!
Kwamba eti ukishaitwa baba ama mama, basi LAANA inatoka toka hovyo tu!
Haiwezekani!
M. Mungu nae anaangalia! Wapi laana ipite na wapi laana isipite!
Nakubali kusamehe ni muhimu, ndio sio kila kitu basi!
Hata bingwa wa kusamehe MANDELA kuna wkt ikafika akawa na KIKOMO, akaona inatosha!
Halafu hapa chini baada ya kukemea hii Thread unasema MUNGU akuepusheMungu aniepushie mbali! Sina fikra hizo! Hapa nilipofika na yf wng na watoto wetu, nasema ahsante mungu!Duuuuu! Kama ndivyo kunauwezekano ukafanya kosa kama lake siku moja.
ww sasa unajichanganya na nguvu hizi za GIZA
unataka kutembea na Bint yako ili upate ujinga?
inaingia akilini kweli Baba mtu mzima kukamata vimiguu vya mwanao na kumuingilia na kumpumulia kweli ETI kuna msamaha
Halafu hapa chini baada ya kukemea hii Thread unasema MUNGU akuepushe
rudi kwenye uzi km kweli ww una Bint hata mmoja

jamani sijui kama nitaweza kuja kumsamehe my X kwa moyo mmoja kabisa???? cjui aisee najitahidi sana bt najikuta nafikilia aliyonitendea najikuta hasira inaongezeka x100 mungu anisaidie kwa hili.
Weee ndio nimekuelewa vzr ktk hii thread!