- Thread starter
- #21
Yes Mkuu; na hili litakuwa somo langu litakalofuata wiki ijayo...kwa nini ilikuwa ni lazima Yesu auawe?Upo sahihi.
Hata Yesu akifanyika Kafara kwa ajili ya wanadamu kama upatanisho baina yetu na Mungu..
Hii kitu wengi wanashindwa kuielewa!!
Kumbuka wakati wa mwisho kabisa kabla ya mateso aliomba sana na kusema
"Baba kama unaona inafaa kikombe hiki kiniepuke"
Swali Je kulikuwa hamna namna nyingine ya kishinda dhambi ya ulimwengu?
Stay turned!!


