Nguvu ya Kafara

FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
31,637
37,850
SIRI YA KAFARA? HIKI NDICHO KIPIMO CHA THAMANI YA DAMU YA YESU

Kutoa kafara ni kanuni ya Ulimwengu wa roho ambayo ipo tangu kuumbwa kwa Mbingu na Dunia.
Na kanuni hiyo haitegemei kama kuna Agano au laa, Tangu mbinguni hadi kwa adamu, hadi Kaini na Abeli, hadi kwenye agano jipya na lile agano la Kale, kanuni hiyo imeonekana kuwepo.

Tena cha ajabu ni kwamba, kwa hiyo kanuni ya kutoa kafara, ndiyo imezaa Maagano kuwepo na kwa hiyo kanuni ya kutoa kafara, Maagano hufungwa.

Sadaka, Kafara, Zaka na Malimbuko ni Foundation Principles of Creation zifanyazo kazi nje au ndani ya agano. Maana hata hayo maagano yenyewe msingi wake uko katika hivyo vitu vitatu. Yaani Sadaka, Kafara na Matoleo

Sasa Kuna aina mbali mbali za Kafara, nazo hutofautiana Ubora na Nguvu yake. Na kafara zenye ubora zaidi ni zile zinazohusisha uhai. Na katika uhai, uhai wenye Nguvu zaidi ni ule uhai ambao unaokaa kwenye Damu, (Maana upo uhai wa Miti, na Mawe na Samaki, etc). Katika hao viumbe, Nguvu ya Kafara na thamani yake hutofautiana kutoka kiumbe hadi kiumbe.

Kwahiyo Mtu atakayefunga agano kwa kuchinja Ng’ombe, agano lake litakuwa na Nguvu zaidi kuliko yule aliyetumia Mbuzi kufunga agano. Na wa Mbuzi agano lake ni Kubwa zaidi kuliko aliyetoa Kuku.

Lakini katika viumbe vyote, Kafara ya mwanadamu ndiyo inayo thamani kubwa kuliko kiumbe yeyote aliyeumbwa.
Maana katika viumbe wote pamoja na Malaika, Mwanadamu ndiye kiumbe Bora kabisa kuliko wote aliyewahi kuumbwa na Mungu. Naam, Mwanadamu ni bora zaidi ya Malaika
 
Kwangu..huu ndo uzi Bora tangu nijiunge JF.

Natamani sana kupata mtalaamu wa haya mambo, sio kwa theory ila ANAEYAWEZA KUYATENGENEZA!!!

Mshana Jr, @ Rakims
Bila Mshana Jr, hii kitu hainogi kabsaaaaaaaaaaa
Nimefika... Nitakosaje kwa mfano kwenye mada kama hii!?
Mtoa mada yuko sahihi na kabalance vizuri sana mada yake inasomeka na kueleweka ngoja nitaweka link za mada nyingine za kafara
 
Mshanara samahani mkuu nahitaji mazungumzo privert kidogo na ww
 
Upo sahihi.
Hata Yesu alifanyika Kafara kwa ajili ya wanadamu kama upatanisho baina yetu na Mungu..

Hii kitu wengi wanashindwa kuielewa!!
SIRI YA KAFARA? HIKI NDICHO KIPIMO CHA THAMANI YA DAMU YA YESU

Kutoa kafara ni kanuni ya Ulimwengu wa roho ambayo ipo tangu kuumbwa kwa Mbingu na Dunia.
Na kanuni hiyo haitegemei kama kuna Agano au laa, Tangu mbinguni hadi kwa adamu, hadi Kaini na Abeli, hadi kwenye agano jipya na lile agano la Kale, kanuni hiyo imeonekana kuwepo.
Tena cha ajabu ni kwamba, kwa hiyo kanuni ya kutoa kafara, ndiyo imezaa Maagano kuwepo na kwa hiyo kanuni ya kutoa kafara, Maagano hufungwa.

Sadaka, Kafara, Zaka na Malimbuko ni Foundation Principles of Creation zifanyazo kazi nje au ndani ya agano. Maana hata hayo maagano yenyewe msingi wake uko katika hivyo vitu vitatu. Yaani Sadaka, Kafara na Matoleo

Sasa Kuna aina mbali mbali za Kafara, nazo hutofautiana Ubora na Nguvu yake. Na kafara zenye ubora zaidi ni zile zinazohusisha uhai. Na katika uhai, uhai wenye Nguvu zaidi ni ule uhai ambao unaokaa kwenye Damu, (Maana upo uhai wa Miti, na Mawe na Samaki, etc).Katika hao viumbe, Nguvu ya Kafara na thamani yake hutofautiana kutoka kiumbe hadi kiumbe.

Back
Top Bottom