Mnazareth
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 3,474
- 7,409
Hahaha naona unaweka maneno yako kwenye kinywa changu.Malizia ”HAIWEZEKANI BILA KUKUGEGEDWA”
Hahaha naona unaweka maneno yako kwenye kinywa changu.Malizia ”HAIWEZEKANI BILA KUKUGEGEDWA”
Tumekutana mahali tukajadili mawili matatu tukabadilishana namba kiukweli interest zetu zikaendana na tukaendelea kuwasiliana/kusaidiana kimawazo kwa mda kidogo lakini urafiki umeisha gafla baada ya yeye kuingiza mambo ya mapenzi ambayo hayakua kwenye list ya urafiki wetu mbaya zaidi alinambia mwenyewe madhaifu aliyonayo kwa warembo...
Wakuu inamaana siwezi pata rafiki kama rafiki tu wakubadilishana nae mawazo na si kushiriki nae tendo(mahusiano)
Inawezekana usemacho kinaukweli kwaupande fulani
Tupo lakini ni wachache sanaTumekutana mahali tukajadili mawili matatu tukabadilishana namba kiukweli interest zetu zikaendana na tukaendelea kuwasiliana/kusaidiana kimawazo kwa mda kidogo lakini urafiki umeisha gafla baada ya yeye kuingiza mambo ya mapenzi ambayo hayakua kwenye list ya urafiki wetu mbaya zaidi alinambia mwenyewe madhaifu aliyonayo kwa warembo...
Wakuu inamaana siwezi pata rafiki kama rafiki tu wakubadilishana nae mawazo na si kushiriki nae tendo(mahusiano)
You better take a powder before it's too late...Am not married nor committed to anyone
He's not married too but committed to many gals,i like him and envy wat he has mentally but not love,and yes he doesnt diserve me
I think i should run
Utofauti wake huanzia from like to love. Huwezi Ku love bila Ku like. Ila unaweza kulike na uka love baadaye like iki develop ndo huwa love.There is a difference btn like and love i think
Niko hapa rafiki yanguTumekutana mahali tukajadili mawili matatu tukabadilishana namba kiukweli interest zetu zikaendana na tukaendelea kuwasiliana/kusaidiana kimawazo kwa mda kidogo lakini urafiki umeisha gafla baada ya yeye kuingiza mambo ya mapenzi ambayo hayakua kwenye list ya urafiki wetu mbaya zaidi alinambia mwenyewe madhaifu aliyonayo kwa warembo...
Wakuu inamaana siwezi pata rafiki kama rafiki tu wakubadilishana nae mawazo na si kushiriki nae tendo(mahusiano)
Asante kwa ushauri ntafanya hivyo ingawa niko likizo kwenye haya maswala naimani atanielewa maana kijana anaonekana kujielewa na anakitu ambacho naamini ntavuka kwenye malengo yangu sikutaka kumpoteza kwa ajili ya hizi issues ingawa ikinibidi itabidi
Utakuwa wewe aseeUnaweza kumuelewesha tu halafu akarejea kwenye mstari "----
Mtu kukupenda au kukutaka Kimahusiano " hizo ni hisia zake tu -- haimaanishi kwamba mnapaswa kusafiri pamoja kihisia na kumkubalia kuwa wote inluv .. .
Waweza kumuueleza lengo la urafiki wako nayeye kama ni understanding person atakuelewa tu ....na kuamua kushirikiana nawewe katika future plan zako "....
Mwanamke kutongozwa katika mazingira ya utafutaji hiyo ni kawaida ...that's why kina maria carey .Celine Dion hawa wote waliwahi kuwa kwenye mahusiano na managers wao -- lakini still kazi zao zilipata mafanikio makubwa".. haimaanishi kwamba ukiwa kwenye mahusiano na mshirika mwenzako kibiashara ni lazima itachangia kuwaangusha kimalengo''....
Ijapo kuwa kuna nyakati mahusiano kama hayo huwa yana pelekea kuharibu malengo ..yakupasa ufahamu kwamba maisha tunayo ishi yana beba ajali nyingi"..... so kama umemuelewa na unaona ni right person kuwa nae inlove
Nipo hapa RafikiTumekutana mahali tukajadili mawili matatu tukabadilishana namba kiukweli interest zetu zikaendana na tukaendelea kuwasiliana/kusaidiana kimawazo kwa mda kidogo lakini urafiki umeisha gafla baada ya yeye kuingiza mambo ya mapenzi ambayo hayakua kwenye list ya urafiki wetu mbaya zaidi alinambia mwenyewe madhaifu aliyonayo kwa warembo...
Wakuu inamaana siwezi pata rafiki kama rafiki tu wakubadilishana nae mawazo na si kushiriki nae tendo(mahusiano)
Bila shaka una kaka zako na ndugu zako wa kiume hebu kuwa rafiki na hao. Mwanaume wa uzao mwingine hamuwezi ishia hapo kwenye urafiki.