Ngumu kuwa na rafiki wa kiume

Ngumu kuwa na rafiki wa kiume

Nope bt am respecting my age oelse tungebishana tu
thats what i call it being mature..now you acting like matured one and i like that....keep going and if you act like that the first place you will be great cause
 
Yaan huo urafiki unaoutaka labda kwanza wewe uwe mbovu sana ila nje ya hapo tengeneza tu urafiki na ndugu uliozaliwa nao tumbo 1 tu
Tumekutana mahali tukajadili mawili matatu tukabadilishana namba kiukweli interest zetu zikaendana na tukaendelea kuwasiliana/kusaidiana kimawazo kwa mda kidogo lakini urafiki umeisha gafla baada ya yeye kuingiza mambo ya mapenzi ambayo hayakua kwenye list ya urafiki wetu mbaya zaidi alinambia mwenyewe madhaifu aliyonayo kwa warembo...

Wakuu inamaana siwezi pata rafiki kama rafiki tu wakubadilishana nae mawazo na si kushiriki nae tendo(mahusiano)
 
Kiukweli ni tabia mbov za kiswahili kuendekeza mapenz. lakn kiukweli inawezekana kabisa kuwa na rafiki wa jinsia tofauti.

mi nshakuwa na wadada marafk kitaan na wengne skul tena kwa kitambo kirefu tu tena wengne walikuwa wanajulikana hadi home na baadh ya waswahili walishajua mzee nawang'ata kiaina lakin kiukweli sikuwahi na sijawahi kuwatamkia mambo ya mapenzi
 
Ujue kusema kweli wadada wengi wana utakaga kuwala kutokana na jinsi mademu wenyewe wanavyowatengenezea mazingira. Mfano unakuta kwenye urafiki wenu siku zote demu anadai wewe ni rafiki yake ila kila siku haishi kukupiga vibomu vye hela
 
Asante
 
Kwaiyo wewe ukipigwa tu vibomu vya ela vinakupa mzuka mwingine
 
Back
Top Bottom