Ngumu kuwa na rafiki wa kiume

Ngumu kuwa na rafiki wa kiume

Sio kwa sasa mkuu especially alishaniambia mienendo yake na alionao si vyema niingie kwenye moto ilihali najua ni moto
Aaaargh huyo jamaa sio mwanaume au bado mgeni kwenye masuala mazima ya mapenzi...! Mwanaume hawezi kukwambia ukweli wa yaliyopita kama kweli anakuhitaji
 
Hamna huo wala hana mtu, kama angekua na mtu kweli asingethubutu kukwambia. Ila hapo katumia njia moja wapo ya kujiongezea thamani ili umuone yeye ni sukari ya warembo.

Inawezekana
 
A man and a woman can be friend forever only when no one love the other.

waswahili nao wakasema hakuna urafiki wa kudumu kati ya mwanaume na mwanamke, mfano hata mngekua marafiki then ukawa unamuona ana mishe na wanawake wengine kimahusiano lazima kwa asilimia kadhaa ungeumia
 
Am not married nor committed to anyone
He's not married too but committed to many gals,i like him and envy wat he has mentally but not love,and yes he doesnt diserve me

I think i should run
Reading between lines nimejua tatizo ni kujua kuwa chalii ni player lakini unamu_admire pia . End of the day its yo own choice to make thou better a beast you know than an angle you don know.
 
Tumekutana mahali tukajadili mawili matatu tukabadilishana namba kiukweli interest zetu zikaendana na tukaendelea kuwasiliana/kusaidiana kimawazo kwa mda kidogo lakini urafiki umeisha gafla baada ya yeye kuingiza mambo ya mapenzi ambayo hayakua kwenye list ya urafiki wetu mbaya zaidi alinambia mwenyewe madhaifu aliyonayo kwa warembo...

Wakuu inamaana siwezi pata rafiki kama rafiki tu wakubadilishana nae mawazo na si kushiriki nae tendo(mahusiano)
Inawezekana mbona.....
Ebu jibu hiyo PM yenye nimekutumia, na ninahakika hautojuta....[emoji6]
 
Bila shaka una kaka zako na ndugu zako wa kiume hebu kuwa rafiki na hao. Mwanaume wa uzao mwingine hamuwezi ishia hapo kwenye urafiki.
Umemjibu vzr sana
Pia,swala akitaka urafiki na simba basi ujue amekubali kuliwa!
 
A man and a woman can be friend forever only when no one love the other.

waswahili nao wakasema hakuna urafiki wa kudumu kati ya mwanaume na mwanamke, mfano hata mngekua marafiki then ukawa unamuona ana mishe na wanawake wengine kimahusiano lazima kwa asilimia kadhaa ungeumia

Inawezekana usemacho kinaukweli kwaupande fulani
 
Reading between lines nimejua tatizo ni kujua kuwa chalii ni player lakini unamu_admire pia . End of the day its yo own choice to make thou better a beast you know than an angle you don know.

There is a difference btn like and love i think
 
Back
Top Bottom