Ngumu kuwa na rafiki wa kiume

Ngumu kuwa na rafiki wa kiume

Inawezekana usemacho kinaukweli kwaupande fulani
Kwa kukubali huku.. ni wazi jamaa unampenda kwa level fulani.. sema ile tabia yake ya kuwa na magashi wengine ndio shida.. we muambie aheshimu wanawake.. ili ww uweze kuwa huru kukaa nae mkaongea mambo ya kibiashara.. vinginevyo lzm wivu ujengeke kwako.. KUMB. HATA KAMA MTU HUMPENDI KIASI GANI PINDI MKARIBIANAPO KWA MUDA MREFU UNAANZA KUJENGA BOND YA MAPENZI TARATIBU NA BAADAE UNAJIKUTA UNAMPENDA KWA LEVEL YA JUU SANA..
 
Kwa kukubali huku.. ni wazi jamaa unampenda kwa level fulani.. sema ile tabia yake ya kuwa na magashi wengine ndio shida.. we muambie aheshimu wanawake.. ili ww uweze kuwa huru kukaa nae mkaongea mambo ya kibiashara.. vinginevyo lzm wivu ujengeke kwako.. KUMB. HATA KAMA MTU HUMPENDI KIASI GANI PINDI MKARIBIANAPO KWA MUDA MREFU UNAANZA KUJENGA BOND YA MAPENZI TARATIBU NA BAADAE UNAJIKUTA UNAMPENDA KWA LEVEL YA JUU SANA..

Asante ntafanya hivyo
 
Sijui kwa nini huyo jamaa kawa na papara kiasi hicho, alitakiwa kucheza very slow, akuaminishe kuwa he's cool na hana kabisa issues na wadada, akupe business ideas na akuweke close, huku ukidhani kuwa he's the best man out there...

Kwa status yako hakika unge-fall bila hata mtongozo, ila binafsi naamini katika pure friendship between Me n Ke, inawezekana sana tu na ni kitu chema sana. Only that boundaries must be drawn earlier.

Thanks nimekuelewa
 
Ww kuna sister mmoja tulisoma naye! Akawa anaita kaka! Kaka! , sasa nikajuuliza hv nina dada wangapi!!?

Sasa huyo hata hatuna undugu wa damu hata makabila tofauti!! Nikaona isiwe tabu nikaomba mchezo , kama kawaida yetu wanawake katulia ww!!

Huku namsumbuaa!!

Sasa kuna siku kaja geto itabidili niforce kingi

Nikaanza mara romance.... Kaka ni mbaya eti.
Mara kashika matiti.......kaka acha bwna
Mavua vifuniko wa asali .....jamn kaka acha hvyoo basi

Mara tukanaza kucheza muda kidogo, mara mzee changa ndan!!

Hadi leo tunaitana kaka na dada na tunatiana vizr tu[emoji23][emoji23][emoji23]


Sisi wanaume hatuhitaji dada zaidi ya ndugu zetu wengne wote!! Ubatili!! Tu

Kweli kabisa na me nimeprove hili
 
Unaweza kuwa unapoteza bahati yako ya ndoa kwa huyu, ukija stuka he is no longer available. Why are you giving him a cold shoulder while you have so many things in common!?
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]

Heart got cold earlier cant heat it up with the cold guy,too much drama around him cant manage
 
Kiukweli jamaa anataka tu papuchi atafune then urafiki uendelee, sometime masela tukiwa marafiki sana mnaanza kutuona kama mashoga hivi so jamaa anatoa hio nuksi tu kwahyo usimkazie kiivo hadi iwe kama ugomvi wewe mkatae then tafuta rafiki wa kike coz hakunaga urafiki wa men na women Duniani

Note: kama utaendelea nae mawasiliano lazima atakula tu, narudia tena lazima atakula tu. Nasisitiza hilo
Thank me later

Asante nimekuelewa
 
Tumekutana mahali tukajadili mawili matatu tukabadilishana namba kiukweli interest zetu zikaendana na tukaendelea kuwasiliana/kusaidiana kimawazo kwa mda kidogo lakini urafiki umeisha gafla baada ya yeye kuingiza mambo ya mapenzi ambayo hayakua kwenye list ya urafiki wetu mbaya zaidi alinambia mwenyewe madhaifu aliyonayo kwa warembo...

Wakuu inamaana siwezi pata rafiki kama rafiki tu wakubadilishana nae mawazo na si kushiriki nae tendo(mahusiano)
Kuwa hata na urafiki na mume wako.
 
Utofauti wake huanzia from like to love. Huwezi Ku love bila Ku like. Ila unaweza kulike na uka love baadaye like iki develop ndo huwa love.
Sasa je unauhakika you liking him haita develop?
Be aware he will manipulate your liking au wewe utaiongeza.
Hata hivyo wewe unaweza ukawa ni exceptional kama wengi wengine.

Need to take note on this one,tnx
 
Back
Top Bottom