Ngumu kuwa na rafiki wa kiume

Ngumu kuwa na rafiki wa kiume

KITENDO CHA KUKUANIKIA SIRI ZA KAMBI-
ND'O MISTAKE KUBWA ALIYOIFANYA HUYO MSELA!!!

HUYO ALITAKIWA ASIKWAMBIE KABISA KUHUSU MISHEMISHE ZAKE ZA UDUFUAJI BUMUNDA HUKO NJE-

NAAMINI HATA HAPA USINGELETA UZI,
NA MSELA SASA UNGEKUWA UNAMPA BUMUNDA BILA PURUKUSHANI ZOZOTE!!!

KWA KIFUPI UBOYA ALIOUFANYA NI KUKUJUZA TREND YA MISHE ZAKE ZA UDUFUAJI KWA WENGINE-
HICHO NDICHO KIINI CHA UZI,
BILA HIVYO UNGEKUWA USHALIWA NA UNAENDELEA KULIWA BILA VURUGU!!!

Basi kosa lake ndo ticket yangu kanisaidia
 
Am not married nor committed to anyone
He's not married too but committed to many gals,i like him and envy wat he has mentally but not love,and yes he doesnt diserve me

I think i should run
Run. No more things to say.
 
Tumekutana mahali tukajadili mawili matatu tukabadilishana namba kiukweli interest zetu zikaendana na tukaendelea kuwasiliana/kusaidiana kimawazo kwa mda kidogo lakini urafiki umeisha gafla baada ya yeye kuingiza mambo ya mapenzi ambayo hayakua kwenye list ya urafiki wetu mbaya zaidi alinambia mwenyewe madhaifu aliyonayo kwa warembo...

Wakuu inamaana siwezi pata rafiki kama rafiki tu wakubadilishana nae mawazo na si kushiriki nae tendo(mahusiano)
Kweli unatafuta rafiki wa kiume tu? Just rafiki?
 
Connection za kibiashara zaidi ndomengi tuliyozungumza
Sasa si tayari ushataka kufaidika huo sio urafiki tena.

Wewe unataka kumfaidikia ila yeye asifaidi chochote.
 
Sasa si tayari ushataka kufaidika huo sio urafiki tena.

Wewe unataka kumfaidikia ila yeye asifaidi chochote.

Unajaribu kunambia kiuno ndo natakiwa kutoa ili nipate kugain mawazo ya kiabiashara kwakwe seriously
 
Unajaribu kunambia kiuno ndo natakiwa kutoa ili nipate kugain mawazo ya kiabiashara kwakwe seriously
Ni mojawapo ya vinavyotolewa na mwanamke.

Ushajiuliza yeye akishakupa connection ya biashara atafaidikaje?
 
Ni mojawapo ya vinavyotolewa na mwanamke.

Ushajiuliza yeye akishakupa connection ya biashara atafaidikaje?

Bora aseme anicharge kwa ushauri/mawazo anayotoa lakini si kiuno thats being too cheap hell NO
 
Bora aseme anicharge kwa ushauri/mawazo anayotoa lakini si kiuno thats being too cheap hell NO
Tehteh..

Trying to lecture you how it works...Time and tide wait for none.
 
Ukitaka kuwa na urafiki na jinsia tofauti tafuta aliyekuzidi umri hasa mbali.
 
Back
Top Bottom