Ngumu kuwa na rafiki wa kiume

Ngumu kuwa na rafiki wa kiume

Hivi kwa nini mnapenda kuwaadhibu watu kwa hisia zao !!!!.. umeshasema mnaendana interest na mpo karibu kwa hiyo jamaa kuhisi kitu chochote ni kawaida. Ulitakiwa kuonesha kuwa haupo katika mawazo hayo na kama ni muelewa mbona mtaheshimiana tu. Umekosea kumuweka mbali na hii ilikuwa ndio time sahihi ya kuonesha maturity yako na angekuongezea credits hata kibiashara. Unaweza kuendesha hisia zako na sio za mtu mwingine PERIOD!.
 
Tumekutana mahali tukajadili mawili matatu tukabadilishana namba kiukweli interest zetu zikaendana na tukaendelea kuwasiliana/kusaidiana kimawazo kwa mda kidogo lakini urafiki umeisha gafla baada ya yeye kuingiza mambo ya mapenzi ambayo hayakua kwenye list ya urafiki wetu mbaya zaidi alinambia mwenyewe madhaifu aliyonayo kwa warembo...

Wakuu inamaana siwezi pata rafiki kama rafiki tu wakubadilishana nae mawazo na si kushiriki nae tendo(mahusiano)

Tafuta wa jinsia yako utafanikiwa

Law of magnetism
1. Unlike magnetic pole attracts like poles repel

Fundamental law of static electricity
2. Unlike charge attracts, like charges repel

So me na ke if at all are both psychologically and physically fit the final results of their relationship could certainly be sex at a probability of ×>= 90%
 
Unaweza kumuelewesha tu halafu akarejea kwenye mstari "----

Mtu kukupenda au kukutaka Kimahusiano " hizo ni hisia zake tu -- haimaanishi kwamba mnapaswa kusafiri pamoja kihisia na kumkubalia kuwa wote inluv .. .

Waweza kumuueleza lengo la urafiki wako nayeye kama ni understanding person atakuelewa tu ....na kuamua kushirikiana nawewe katika future plan zako "....

Mwanamke kutongozwa katika mazingira ya utafutaji hiyo ni kawaida ...that's kina maria carey .Celine Dion hawa wote waliwahi kuwa kwenye mahusiano na managers wao -- lakini still kazi zao zilipata mafanikio makubwa".. haimaanishi kwamba Ikea kwenye mahusiano na mshirika mwenzako kibiashara itachangia kuwaangusha kimalengo''....

Ijapo kuwa kuna nyakati mahusiano kama huwa yana pelekea kuharibu malengo ..yakupasa ufahamu kwamba maisha tunayo ishi yana beba ajali nyingi"..... so kama umemuelewa na unaona ni right person kuwa nae inlove

Asante kwa ushauri ntafanya hivyo ingawa niko likizo kwenye haya maswala naimani atanielewa maana kijana anaonekana kujielewa na anakitu ambacho naamini ntavuka kwenye malengo yangu sikutaka kumpoteza kwa ajili ya hizi issues ingawa ikinibidi itabidi
 
Honestly inawezekana...inategemea na mwanamke mwenyewe alivyo jipanga. Mwanamume kaumbwa na tamaa na kutongoza ni asili yake,anaweza kumtongoza yeyote mwenye K.!! Na hiyo haimaanishi anampenda. Kuna shida kidogo kwa mwanamke lakini inawezekana. Nimesoma shule yenye ratio ya 30:6 utawapa wote?

Nimekuelewa mkuu
 
Asante kwa ushauri ntafanya hivyo ingawa niko likizo kwenye haya maswala naimani atanielewa maana kijana anaonekana kujielewa na anakitu ambacho naamini ntavuka kwenye malengo yangu sikutaka kumpoteza kwa ajili ya hizi issues ingawa ikinibidi itabidi
Mpe tu --- acha kumfanyia roho ngumu ...mpenzi wa kweli huwa hatafutwi bali huletwa na wakati sahihi

Nashukuru kwa kuupokea ushauri
 
Hivi kwa nini mnapenda kuwaadhibu watu kwa hisia zao !!!!.. umeshasema mnaendana interest na mpo karibu kwa hiyo jamaa kuhisi kitu chochote ni kawaida. Ulitakiwa kuonesha kuwa haupo katika mawazo hayo na kama ni muelewa mbona mtaheshimiana tu. Umekosea kumuweka mbali na hii ilikuwa ndio time sahihi ya kuonesha maturity yako na angekuongezea credits hata kibiashara. Unaweza kuendesha hisia zako na sio za mtu mwingine PERIOD!.[/

Maybe maturity yangu haijaweza kusolve hili ndomana nimeomba ushauri,asante kwa mawazo yako
 
Nimekuelewa mkuu
Look here!si unapenda kampani za kiume?ziko bomba kichizi,ila inabidi uwe kiumeume pia. Nimezaliwa katikati ya wavulana nawajua sana,inabidi ukaze,na ukimpa pia kesho ni stori ya kitaa. But they are so nice to be with mkishaelewana.
 
Mpe tu --- acha kumfanyia roho ngumu ...mpenzi wa kweli huwa hatafutwi bali huletwa na wakati sahihi

Nashukuru kwa kuupokea ushauri

Sio kwa sasa mkuu especially alishaniambia mienendo yake na alionao si vyema niingie kwenye moto ilihali najua ni moto
 
Sio kwa sasa mkuu especially alishaniambia mienendo yake na alionao si vyema niingie kwenye moto ilihali najua ni moto
Kwamba alikuhadithia jinsi anavyo toka na wanawake !??, kama alifanya hivyo kwako then unajielewa hilo ni kosa
 
Ahsante lakini jitathmini upya gal. Mtu yoyote anaweza kukuhitaji lakini si lazma akupate na kukutongoza haimaanishi mtu kakuchukulia low. Ni hisia tu na unaweza kosa mengi kwa kulipa suala dogo uzito usiostahili. Kuwa brave na uli_face hili jambo na kama huyo mtu bado unamuhitaji haina shida akaendelea kuwa katika life yako labda aonekane kutaka kuvuka mipaka.
 
Dada hakunaga urafiki kama huo

IPO 1-Hivi mwanaume huweka urafiki na mwanamke anaempenda ili apate urahisi wa kuzoeana kidogo Ili afikishe hisia zake kwa huyo rafiki,,,

2- naweza kuweka urafiki nawewe nami nakua nawaza kama ww unavyowaza kwamba ni rafiki tu but kuna vitu ambavyo vitasababisha nakupenda ghafla either tabia yako, au umbo lako ambalo sikuweza kuliona hapo kabla sababu hatukua karbu ama sauti yako pia,,

3- we mwenyew kujirahisisha, mfano unamwomba msaada Mara kwa Mara cjui vocha mara hela ya saloon yaani ukiwa unamchuna kwanini asijiongeze bana

Siku nyingine ukiombwa namba na me kama haujampenda kaa mbali aiseee
 
Tumekutana mahali tukajadili mawili matatu tukabadilishana namba kiukweli interest zetu zikaendana na tukaendelea kuwasiliana/kusaidiana kimawazo kwa mda kidogo lakini urafiki umeisha gafla baada ya yeye kuingiza mambo ya mapenzi ambayo hayakua kwenye list ya urafiki wetu mbaya zaidi alinambia mwenyewe madhaifu aliyonayo kwa warembo...

Wakuu inamaana siwezi pata rafiki kama rafiki tu wakubadilishana nae mawazo na si kushiriki nae tendo(mahusiano)
Kama hauna mvuto sawa,

Ila kama umepewa neema za Allah,, basi sahau kumpata rafiki wa kiume,,

Na ukiona hakuchukulii hatua,, tambua anakulia tyming
 
Hata mm marafiki wa KIKE siwawezi labda nliyefanya nae kazi au kusoma nae

I WANT FRIENDS WITH BENEFITS
 
Back
Top Bottom