Ngumu kuwa na rafiki wa kiume

Ngumu kuwa na rafiki wa kiume

Wanaume tuna mbinu zaidi ya millions usipokuwa makini utaliwa tu "-- if hauhitaji relationship nae " punguza connection nae tu " vinginevyo atakula tu

Nakosa mahalifa aliyonayo ndokichoniuma ila kwa swala la kuliwa kiboyaboya ngoja nimpogezee tu
 
Pole bint,hatamimi tuliwa marafiki nitakuomba tu papuchi..Labda usiwe na utofauti kama mwanamke.Na nakusihi hata ukija kupata mumeo akiwa na urafiki na bint Fulani halafu ukiangalia huyo bint kuna alichokuzidi jua anamkula.Kwahiyo nakushauti MPE tu mzigo rafiki yako kama unamjali
 
Huwa iko hivi.
Mwanamke na mwanaume wakiwa karibu kwa kipindi fulani, lazima hisia za mahusiano zidevelope either kwa mmoja wao au kwa wote, no matter what.

Naamini kabisa kua kama jamaa yuko very nice, kind and gentle kwako, kama asingeanzisha yeye mambo ya mahusiano, basi ungeanzisha wewe, it's just the matter of time.
 
Wanaume tuna mbinu zaidi ya millions usipokuwa makini utaliwa tu "-- if hauhitaji relationship nae " punguza connection nae tu " vinginevyo atakula tu
Sio asipokua makini mkuu. Hata awe makini namna gani, akikutana na mwanaume asiye na papala, aliyedhamiria kumla, atamla tuu. Labda mwanaume awe mgeni wa hawa watu
 
Hivi kwa nini mnapenda kuwaadhibu watu kwa hisia zao !!!!.. umeshasema mnaendana interest na mpo karibu kwa hiyo jamaa kuhisi kitu chochote ni kawaida. Ulitakiwa kuonesha kuwa haupo katika mawazo hayo na kama ni muelewa mbona mtaheshimiana tu. Umekosea kumuweka mbali na hii ilikuwa ndio time sahihi ya kuonesha maturity yako na angekuongezea credits hata kibiashara. Unaweza kuendesha hisia zako na sio za mtu mwingine PERIOD!.
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106] biggest kongole.
 
Pole bint,hatamimi tuliwa marafiki nitakuomba tu papuchi..Labda usiwe na utofauti kama mwanamke.Na nakusihi hata ukija kupata mumeo akiwa na urafiki na bint Fulani halafu ukiangalia huyo bint kuna alichokuzidi jua anamkula.Kwahiyo nakushauti MPE tu mzigo rafiki yako kama unamjali

Asante kwa ushauri
 
Huwa iko hivi.
Mwanamke na mwanaume wakiwa karibu kwa kipindi fulani, lazima hisia za mahusiano zidevelope either kwa mmoja wao au kwa wote, no matter what.

Naamini kabisa kua kama jamaa yuko very nice, kind and gentle kwako, kama asingeanzisha yeye mambo ya mahusiano, basi ungeanzisha wewe, it's just the matter of time.

Kweli asante kwa ushauri
 
Sio kwa sasa mkuu especially alishaniambia mienendo yake na alionao si vyema niingie kwenye moto ilihali najua ni moto
KITENDO CHA KUKUANIKIA SIRI ZA KAMBI-
ND'O MISTAKE KUBWA ALIYOIFANYA HUYO MSELA!!!

HUYO ALITAKIWA ASIKWAMBIE KABISA KUHUSU MISHEMISHE ZAKE ZA UDUFUAJI BUMUNDA HUKO NJE-

NAAMINI HATA HAPA USINGELETA UZI,
NA MSELA SASA UNGEKUWA UNAMPA BUMUNDA BILA PURUKUSHANI ZOZOTE!!!

KWA KIFUPI UBOYA ALIOUFANYA NI KUKUJUZA TREND YA MISHE ZAKE ZA UDUFUAJI KWA WENGINE-
HICHO NDICHO KIINI CHA UZI,
BILA HIVYO UNGEKUWA USHALIWA NA UNAENDELEA KULIWA BILA VURUGU!!!
 
Are you married? Is he?
Have you committed to someone?
Don't you like him?
Doesn't he deserve you?

If one of the above qns is yes then run, utakuja kusababisha tatizo kubwa zaidi ya hili na uzi wako utakosa mashiko!
 
Am not married nor committed to anyone
He's not married too but committed to many gals,i like him and envy wat he has mentally but not love,and yes he doesnt diserve me

I think i should run
 
Back
Top Bottom