Ngumu kuwa na rafiki wa kiume

Ngumu kuwa na rafiki wa kiume

Tumekutana mahali tukajadili mawili matatu tukabadilishana namba kiukweli interest zetu zikaendana na tukaendelea kuwasiliana/kusaidiana kimawazo kwa mda kidogo lakini urafiki umeisha gafla baada ya yeye kuingiza mambo ya mapenzi ambayo hayakua kwenye list ya urafiki wetu mbaya zaidi alinambia mwenyewe madhaifu aliyonayo kwa warembo...

Wakuu inamaana siwezi pata rafiki kama rafiki tu wakubadilishana nae mawazo na si kushiriki nae tendo(mahusiano)
Inawezekana.
 
We mdada ngoja nikwambie kitu mara chache sana kuwa na urafiki na mwanaume alafu asikuombe kitumbua mimi ushaur wangu wafanye kaka zako kuwa marafiki zako over.
 
Tumekutana mahali tukajadili mawili matatu tukabadilishana namba kiukweli interest zetu zikaendana na tukaendelea kuwasiliana/kusaidiana kimawazo kwa mda kidogo lakini urafiki umeisha gafla baada ya yeye kuingiza mambo ya mapenzi ambayo hayakua kwenye list ya urafiki wetu mbaya zaidi alinambia mwenyewe madhaifu aliyonayo kwa warembo...

Wakuu inamaana siwezi pata rafiki kama rafiki tu wakubadilishana nae mawazo na si kushiriki nae tendo(mahusiano)
HAKUNA URAFIKI KATI YA ME NA KE!!

Labda awe ndugu yako wa damu.
 
Ameachana nayo!? Au bado jinamizi la umalaya lina muandama !?

Nahisi anataka niwe moja wa msukule wake ingawa anasema amebadilika ila matendo yake hayaridhishi
 
Connection za kibiashara zaidi ndomengi tuliyozungumza
Hiyo ilikuwa chambo ya kumnasa samaki... Kuna dada mmoja nilijilengesha kwake aniingize Forever Living. Sikuwa na lengo la kuingia huko. Nilikuwa na nia tu ya kukutana naye nimchombeze ili awe wangu...
 
Kwangu naona imekua ngumu
Ni swala la muda tuu.Pia usiudhike kama alionyesha nia hiyo.Urafiki uliishaje?Ni baada ya wewe kumwambia hupendelei urafiki wa aina hiyo au ni wewe ulikatisha mawasiliano/urafiki baada ya kuona nia yake.

Kama hamna undugu, ni kawaida mwanaume kuwaza au kupendelea urafiki uende kwenye mapenzi.Kinachotokea ni kuwa wakati mwingine mwanaume anajizuia tuu kusema ili kutokuvunja urafiki ...
 
Tumekutana mahali tukajadili mawili matatu tukabadilishana namba kiukweli interest zetu zikaendana na tukaendelea kuwasiliana/kusaidiana kimawazo kwa mda kidogo lakini urafiki umeisha gafla baada ya yeye kuingiza mambo ya mapenzi ambayo hayakua kwenye list ya urafiki wetu mbaya zaidi alinambia mwenyewe madhaifu aliyonayo kwa warembo...

Wakuu inamaana siwezi pata rafiki kama rafiki tu wakubadilishana nae mawazo na si kushiriki nae tendo(mahusiano)
Inawezekana kabisaa lakini lazima mtakuwa na utani wa mahusiano, I mean utani lazima utakuwepo bila huo utani mtakuwa mtu na kaka au dada yake na itaondoa dhana nzima ya urafiki.

Urafiki should be stress free na lazima ujue status ya mahusiano ya rafikiyo ili usije vuka mipaka kama ana mke au mume.
All the the best.
 
Jamaa mbona kama unamfundisha?[emoji34][emoji34][emoji34] let nature take its course
Wanaume tuna mbinu zaidi ya millions usipokuwa makini utaliwa tu "-- if hauhitaji relationship nae " punguza connection nae tu " vinginevyo atakula tu
 
Ni swala la muda tuu.Pia usiudhike kama alionyesha nia hiyo.Urafiki uliishaje?Ni baada ya wewe kumwambia hupendelei urafiki wa aina hiyo au ni wewe ulikatisha mawasiliano/urafiki baada ya kuona nia yake.

Kama hamna undugu, ni kawaida mwanaume kuwaza au kupendelea urafiki uende kwenye mapenzi.Kinachotokea ni kuwa wakati mwingine mwanaume anajizuia tuu kusema ili kutokuvunja urafiki ...

Baada ya kumwambia sipo tayari kuingia huko akawa ndo speed imeongezeka nikaona nipunguze mawasiliano
 
Inawezekana kabisaa lakini lazima mtakuwa na utani wa mahusiano, I mean utani lazima utakuwepo bila huo utani mtakuwa mtu na kaka au dada yake na itaondoa dhana nzima ya urafiki.

Urafiki should be stress free na lazima ujue status ya mahusiano ya rafikiyo ili usije vuka mipaka kama ana mke au mume.
All the the best.

Asante nimekuelewa
 
Back
Top Bottom