MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,564
- 8,876
Hahaa nimekaa pembezoni mwa Hifadhi ya Serengeti, nimewinda sana, hakuna kitu kama hicho, mbwa huenda kushangaa Chatu.
Kwenye kushangaa ndo hukamatwa, Chatu akikulia timing hata wewe huchomoki kwake kamwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye kushangaa ndo hukamatwa, Chatu akikulia timing hata wewe huchomoki kwake kamwe
Kwa mtu aliyezaliwa na kukulia city center, na kwa namna yoyote hajawahi kuingia porini kuwinda hiyo encounter ya mbwa vs chatu kwake itakuwa a game of chance.
Lakini kwangu mimi niliyekulia Bush star niliyeishi porini kama mpiganaji wa Mai mai, anachokisema Mshana Jr ni 100%. Nilishashuhudia mbwa kadhaa wakijipeleka kumezwa kwa unyenyekevu usiomithirika. Utadhani muumini wa Kanisa Katoliki anaenda kupokea sakramenti kwa Padri.
Mwaka 1996 ilikuwa last time kwangu kushuhudia encounter hizo. Na siku hiyo mimi na wenzangu tulimuua chatu aliyekuwa ameanza kummeza mbwa wa jirani zetu.
Sent using Jamii Forums mobile app

noma sana