Mshana na hili la nyoka kumwogopa mama mjamzito limekaaje? Maana hii habari si ngeni kule kwetu na wazee wsnasemsa kabisa kukiwa n nyoka ndani kama kunamjamzito mpeni kazi ya kuua huyo nyoka.
+MambaMbwa ni mnyama aliyekosa weledi ktk masuala ya jadi kama ilivyo kwa paka,njiwa na wengine that's why huwezi kuona viungo vya mbwa vinatumika sana ktk utengenezaji wa dawa za asili mahiri ni mara chache mno.
Mbwa ndiyo mnyama wa kwanza kuanza kuishi na binadamu ili atumike kuwinda wanyama wengine hivyo automatically ni adui wa wengi.
Kama ilivyo duniani kila mtu na mbabe wake basi chatu ndiyo mbabe wa mbwa.

Uroho wa mbwa ndo unamponza
Ukiwaeleza habari hii ya wali kunukia porini watu hawaelewi kabisa
Sijui kwakweli ila tuliokulia vijijini tulifundishwa hiyo technique ya kubana kiwiko ili nyoka asikimbie... Tatizo mababu zetu hizi elimu walizifanya siri wakafa bila kutufundisha
Kuna ile endapo unamuona nyoka basi usimtaje jina lake,kufanya hivyo unaweza ukatoka Temeke na kufuata fimbo Chalinze na ukamkuta palepale.
NB;Ila kwenye statement hii kuna kitu nilikiona c cha kweli baada kufanya chunguz zanfu
Good morning great thinkers, N sinkers.
Good morning JF. Good morning people!
Matukio ya kuvujiwa nyumba na kuibiwa hali ya kuwa tumeajiri walinzi wa asili na hata wa kisasa huku wengine wakiwa na silaha kali za moto kumesababisha wengine kutokuwa na imani nao tena.
Kufuatia hali hiyo ndio maana wenye uwezo kifedha wameamua kuongeza nguvu na mbwa wenye mafunzo. Na kwa wale wenye kipato cha kawaida wameamua kufuga mbwa kama walinzi waaminifu.
Lakini inakuwaje hata hawa walinzi waaminifu nao wanazidiwa maarifa na kujikuta nao wanalevywa ama kuibiwa kabisa? Kuna kutumia ujanja wa chakula chenye sumu ama madawa ya kulevya.
Lakini mbwa mwenye mafunzo hadanganyiki kamwe. HALI!!!
Akili ya binadamu hailali kila kitu kina mbadala wake. Wewe ukiwaza hivi. Kuna mwenzako anawaza vile. Kama mbwa wako ana mafunzo ya kutokula chochote bila idhini yako. Wenzako wamewaza zaidi ya hapo
Kuna sayansi ya nguvu ya uvutano kati ya mbwa na chatu. Mbwa akishakutana na chatu huishiwa na nguvu na kujikuta anajipeleka mwenyewe bila kupenda mpaka analiwa. Umegundua nini hapo? Kiboko ya mbwa ni chatu.
Hivyo basi siku hizi wezi wanatembea na ngozi za chatu kwenye yale majumba yenye mbwa wakali. Wakifanikiwa tu kuzama ndani na kumwoneshea mbwa wako mwenye mafunzo yote. Hupoteza nguvu zote na kujikuta anaifuata ngozi huku akitoa mate mdomoni na kutikisa tu mkia na kutoa kisauti chenye kutia huruma.
Hapo mwizi atakuwa na uchaguzi. Amuibe na mlinzi mwaminifu? Amuue? Amzimishe kwa muda? Ukiona watu wako busy mikoani kutafuta ngozi za chatu tambua zina matumizi zaidi ujuavyo
View attachment 1284247View attachment 1284248

Kiuhalisia ni kwamba chatu ana harufu hutoa ambayo ni mbwa tu huwa na uwezo wa kuinusa. Harufu hii huwa nzuri na yakuvutia sana kwa mnyama mbwa na huiweza kuisikia hata akiwa mbali sana.
Ndio maana ktk elimu ya viumbe haishauriwi kabisa kuwa na mbwa upitapo misituni maana mbali ya chatu mbwa huvutwa na harufu za wanyama wengine hatari.
Kuna article nilisoma kwamba mbwa hawezi kutifautisha rangi za ngozi ya chatu, hivyo akimuona chatu hubaki anashangaa kwa muda mrefu na chatu hutumia hiyo fursa kumkamata
Good morning great thinkers, N sinkers.
Good morning JF. Good morning people!
Matukio ya kuvujiwa nyumba na kuibiwa hali ya kuwa tumeajiri walinzi wa asili na hata wa kisasa huku wengine wakiwa na silaha kali za moto kumesababisha wengine kutokuwa na imani nao tena.
Kufuatia hali hiyo ndio maana wenye uwezo kifedha wameamua kuongeza nguvu na mbwa wenye mafunzo. Na kwa wale wenye kipato cha kawaida wameamua kufuga mbwa kama walinzi waaminifu.
Lakini inakuwaje hata hawa walinzi waaminifu nao wanazidiwa maarifa na kujikuta nao wanalevywa ama kuibiwa kabisa? Kuna kutumia ujanja wa chakula chenye sumu ama madawa ya kulevya.
Lakini mbwa mwenye mafunzo hadanganyiki kamwe. HALI!!!
Akili ya binadamu hailali kila kitu kina mbadala wake. Wewe ukiwaza hivi. Kuna mwenzako anawaza vile. Kama mbwa wako ana mafunzo ya kutokula chochote bila idhini yako. Wenzako wamewaza zaidi ya hapo
Kuna sayansi ya nguvu ya uvutano kati ya mbwa na chatu. Mbwa akishakutana na chatu huishiwa na nguvu na kujikuta anajipeleka mwenyewe bila kupenda mpaka analiwa. Umegundua nini hapo? Kiboko ya mbwa ni chatu.
Hivyo basi siku hizi wezi wanatembea na ngozi za chatu kwenye yale majumba yenye mbwa wakali. Wakifanikiwa tu kuzama ndani na kumwoneshea mbwa wako mwenye mafunzo yote. Hupoteza nguvu zote na kujikuta anaifuata ngozi huku akitoa mate mdomoni na kutikisa tu mkia na kutoa kisauti chenye kutia huruma.
Hapo mwizi atakuwa na uchaguzi. Amuibe na mlinzi mwaminifu? Amuue? Amzimishe kwa muda? Ukiona watu wako busy mikoani kutafuta ngozi za chatu tambua zina matumizi zaidi ujuavyo
View attachment 1284247View attachment 1284248
Kwakweli bado natafiti hili... Mbwa hata awe hodari vipi akishaliona lile dubwana huchanganyikiwa kabisa na kukosa ujasiri huku akijipeleka kuliwa bila utashi wake
Haina ukweli wowote, mbwa akiona nyoka wa aina yeyote hata mjusi lazima atamfuata na kumnusa ili ajuwe kama ni chakula au la.
Nahapo ndio hoja ya rangi inapokua na nguvu sasa. Ngozi ya chatu haiwezi kuwa na harufu, au kutoa vitu kama chatu akiwa hai.
Ila hao wezi waliobuni hii sayansi inabidi watunukiwe PhD nne.
Sambamba na waliojiongeza kwenye mafuta ya transformer kutokuisha upesi kwenye chips, akili kubwa sana imetumika pale.
Kuna video clip moja ilisambaa sana, inaonesha mbwa akijinasua toka kwa chatu na kufanikiwa kuepa.
Ilo swala la kuishiwa nguvu halina ukweli kabisa
Sikuwahi kuwaza why mbwa akamatwe na chatu wakati chatu hawezi kukimbia, kumbe ndivyo ilivyo? Sawa mkuu nimekusoma umenitoa tongo tongo