Kwa mtu aliyezaliwa na kukulia city center, na kwa namna yoyote hajawahi kuingia porini kuwinda hiyo encounter ya mbwa vs chatu kwake itakuwa a game of chance.Sio kweli kwamba hujipeleka its achance tu mbwa katika kupambana na chatu hukuta kaliwa
Kwa mtu aliyezaliwa na kukulia city center, na kwa namna yoyote hajawahi kuingia porini kuwinda hiyo encounter ya mbwa vs chatu kwake itakuwa a game of chance.
Lakini kwangu mimi niliyekulia Bush star niliyeishi porini kama mpiganaji wa Mai mai, anachokisema Mshana Jr ni 100%. Nilishashuhudia mbwa kadhaa wakijipeleka kumezwa kwa unyenyekevu usiomithirika. Utadhani muumini wa Kanisa Katoliki anaenda kupokea sakramenti kwa Padri.
Mwaka 1996 ilikuwa last time kwangu kushuhudia encounter hizo. Na siku hiyo mimi na wenzangu tulimuua chatu aliyekuwa ameanza kummeza mbwa wa jirani zetu.
Kwa hiyo hii nafananisha na demu akiona hela analegea...mahaba kama yote












Mbwa ni mnyama aliyekosa weledi ktk masuala ya jadi kama ilivyo kwa paka,njiwa na wengine that's why huwezi kuona viungo vya mbwa vinatumika sana ktk utengenezaji wa dawa za asili mahiri ni mara chache mno.Kwakweli bado natafiti hili... Mbwa hata awe hodari vipi akishaliona lile dubwana huchanganyikiwa kabisa na kukosa ujasiri huku akijipeleka kuliwa bila utashi wake
Huu ndiyo ukweli na si vinginevyoKuna article nilisoma kwamba mbwa hawezi kutifautisha rangi za ngozi ya chatu, hivyo akimuona chatu hubaki anashangaa kwa muda mrefu na chatu hutumia hiyo fursa kumkamata





Mbwa ni mnyama aliyekosa weledi ktk masuala ya jadi kama ilivyo kwa paka,njiwa na wengine that's why huwezi kuona viungo vya mbwa vinatumika sana ktk utengenezaji wa dawa za asili mahiri ni mara chache mno.
Mbwa ndiyo mnyama wa kwanza kuanza kuishi na binadamu ili atumike kuwinda wanyama wengine hivyo automatically ni adui wa wengi.
Kama ilivyo duniani kila mtu na mbabe wake basi chatu ndiyo mbabe wa mbwa.
Yaani mnaamanisha anachanganyikiwa kabisaaa! Sasa mbona chatu mwenyewe hata msambwanda hakuna....
Kuna sayansi ya nguvu ya uvutano kati ya mbwa na chatu. Mbwa akishakutana na chatu huishiwa na nguvu na kujikuta anajipeleka mwenyewe bila kupenda mpaka analiwa. Umegundua nini hapo? Kiboko ya mbwa ni chatu.
NAOMBA NIWE KINYUME NA MSHANA JR,KWANI NGOZI YA CHATU HAIWEZI AU HAINA UWEZO WA KUSABABISHA MBWA ATULIE KAMWE.Ukisikia kunukia wali ujue ni nyoka anajitoa magamba
Hiyo mzungu haiweziAsee nimecheka,watu wana teknolojia ya ajabu.



hilo nimelishuhudia pia
Hizi nguvu za asili hazijasikika kufanyiwa tafiti na wasomi, kwa mfano, nilishuhudia watu kadhaa kwa nyakati tofauti;
- Mama mmoja alishika maziwa yake kwa nguvu alipomwona nyoka, kilichotokea ni kwamba yule nyoka hakuweza kuendelea kujongea mpaka walipojitokeza watu kumuua
- Mtu mwingine naye alimwona nyoka akipita njiani, akajishika kwa nguvu mkono kwenye wrist, nyoka hakuweza kusogea hata inchi moja mpaka alipouliwa.