Ngozi ya chatu ni zaidi ya uijuavyo

Ngozi ya chatu ni zaidi ya uijuavyo

Hata mimi nisingeamini lakini pengine kulikuwa na tafsiri nyingine yenye kuleta uhalisia zaidi
Mwanamke yeyote ukiwa naye then ukaona nyoka na maeneo hayo fimbo hakuna basi mwambie mwanamke huyo ashike manyonyo yake na asimame huyo nyoka hatatembea na utaenda utatafuta rungu fimbo utakuja utamkuta utamuua pale pale.
Kuna siri nzito ktk agano la kitabu cha kutoka kuhusu Mwanamke na nyoka kuwa adui.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siri nzito ktk agano la kitabu cha kutoka kuhusu Mwanamke na nyoka kuwa adui.sikuwahi kuwaza hili... Nimegundua ni kweli kuna siri nzito kati ya wawili hawa.
Mwanamke yeyote ukiwa naye then ukaona nyoka na maeneo hayo fimbo hakuna basi mwambie mwanamke huyo ashike manyonyo yake na asimame huyo nyoka hatatembea na utaenda utatafuta rungu fimbo utakuja utamkuta utamuua pale pale.
Kuna siri nzito ktk agano la kitabu cha kutoka kuhusu Mwanamke na nyoka kuwa adui.

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr
 
Nataka nifanye utafiti naweza kupata dawa bora sana ya mvuto hasa kwa madomo zege na akina dada wanaosaka ndoa... Shida ni kwamba inaweza kuwa zana bora kabisa kwa matapeli na machangu
Mkuu miaka ya nyuma kidogo 2001 niliwahi kuwa na rafiki mmoja mkoa flani hivi yule jamaa alikuwaga na dawa yaani kama kuna demu unamtaka anazingua au amekukataa unajipaka hiyo dawa kwenye viganja vya mikono kisha unanuia utakavyo halafu unaenda kumsubiri huyo demu sehemu ambayo una uhakika anapita ila uhakikishe usigusane na mtu yeyote halafu ukishakutana na huyo demu umtakaye unamsalimia kwa kushikana naye mikono yaani baada ya hapo utamwona demu kabadirika huishiwa nguvu na ujasiri hata ukimwambia akufuate nyuma mwende lodge muda huo unaenda kumla.!
Hata ukimwambia aje saa flani geto kwako atakuja mwenyewe.!
Kwa kuwa huyo jamaa alitokea kuwa rafiki yangu nilimwomba anifundishe jinsi ya kutengeneza dawa hiyo aligoma akasema mimi bado mdogo maana ndo nilikuwa secondary hivyo akinifundisha dawa hizo ntajikuta natamani kutafuna kila demu na ntajikuta naharibu masomo,
Hivyo mpaka naondoka huko kurudi kwetu jamaa alinifungashia dawa kidogo ambayo nilipofika kijijini kwetu niliwatafuna mademu kama sina akili nzuri mpaka dawa ilipoisha nikabaki kukataliwa kama zamani!
Ukizingatia kipindi hicho hatuna simu yule rafiki tulipotezana maana hata rikizo iliyofuata nilirudi kule nilikomwacha nikakuta jamaa alishahama!
Ila ukweli jamaa alikuwa na dawa na aliwala sana wake za wakubwa na alikuwa na dawa flani hivi akitaka demu asimwache huingiza dawa kidogo kwenye kitundu cha mboo bila demu kuona kisha akishapiga bao moja tu asirudie hata kama demu anahitaji(ndo masharti ya dawa hiyo) yaani baada ya siku tatu demu ataanza kumganda jamaa na kumlilia mpaka inakuwa kero na dawa hiyo hakuwahi kunipa alisema sio nzuri maana demu atakuganda sana mpaka utamchukia na kama siku ukimtosa anajiua!
Nimekumbuka mbali sana aisee maisha ni safari ndefu ujue zamani mademu walikuwa wagumu sana sio kama siku hizi ukiwa na pesa tu unawala, zamani hata uwe na pesa unaweza kufukuzia demu mwaka mzima ndo unamla!
Ila jamaa angenifundisha hiyo dawa sijui kama ningekuwa bado naishi.!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sana wake za wakubwa na alikuwa na dawa flani hivi akitaka demu asimwache huingiza dawa kidogo kwenye kitundu cha mboo bila demu kuona kisha akishapiga bao moja tu asirudie hata kama demu anahitaji(ndo masharti ya dawa hiyo) yaani baada ya siku tatu demu ataanza kumganda jamaa na kumlilia mpaka inakuwa kero na dawa hiyo hakuwahi kunipa alisema sio nzuri maana demu atakuganda sana mpaka utamchukia na kama siku ukimtosa anajiua!
Mkuu miaka ya nyuma kidogo 2001 niliwahi kuwa na rafiki mmoja mkoa flani hivi yule jamaa alikuwaga na dawa yaani kama kuna demu unamtaka anazingua au amekukataa unajipaka hiyo dawa kwenye viganja vya mikono kisha unanuia utakavyo halafu unaenda kumsubiri huyo demu sehemu ambayo una uhakika anapita ila uhakikishe usigusane na mtu yeyote halafu ukishakutana na huyo demu umtakaye unamsalimia kwa kushikana naye mikono yaani baada ya hapo utamwona demu kabadirika huishiwa nguvu na ujasiri hata ukimwambia akufuate nyuma mwende lodge muda huo unaenda kumla.!
Hata ukimwambia aje saa flani geto kwako atakuja mwenyewe.!
Kwa kuwa huyo jamaa alitokea kuwa rafiki yangu nilimwomba anifundishe jinsi ya kutengeneza dawa hiyo aligoma akasema mimi bado mdogo maana ndo nilikuwa secondary hivyo akinifundisha dawa hizo ntajikuta natamani kutafuna kila demu na ntajikuta naharibu masomo,
Hivyo mpaka naondoka huko kurudi kwetu jamaa alinifungashia dawa kidogo ambayo nilipofika kijijini kwetu niliwatafuna mademu kama sina akili nzuri mpaka dawa ilipoisha nikabaki kukataliwa kama zamani!
Ukizingatia kipindi hicho hatuna simu yule rafiki tulipotezana maana hata rikizo iliyofuata nilirudi kule nilikomwacha nikakuta jamaa alishahama!
Ila ukweli jamaa alikuwa na dawa na aliwala sana wake za wakubwa na alikuwa na dawa flani hivi akitaka demu asimwache huingiza dawa kidogo kwenye kitundu cha mboo bila demu kuona kisha akishapiga bao moja tu asirudie hata kama demu anahitaji(ndo masharti ya dawa hiyo) yaani baada ya siku tatu demu ataanza kumganda jamaa na kumlilia mpaka inakuwa kero na dawa hiyo hakuwahi kunipa alisema sio nzuri maana demu atakuganda sana mpaka utamchukia na kama siku ukimtosa anajiua!
Nimekumbuka mbali sana aisee maisha ni safari ndefu ujue zamani mademu walikuwa wagumu sana sio kama siku hizi ukiwa na pesa tu unawala, zamani hata uwe na pesa unaweza kufukuzia demu mwaka mzima ndo unamla!
Ila jamaa angenifundisha hiyo dawa sijui kama ningekuwa bado naishi.!

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr
 
Kule kijijini mkiwa porini na mbwa ile hali ya kuhisi tu kuwa kuna joka kubwa karibu, kama mlikuwa mnatembea huku mnacheza, hachezi tena zaidi ya kulia, kufyata mkia na kuelekea aliko. Anakuwa hawezi kutii sheria tena bila shuruti. Unachofanya ni kutumia nguvu kwa kipigo au kumkamata kwa nguvu ili mbadili uelekeo.
Uzoefu wangu kutoka maeneo yenye historia ya kunukia wali porini kunakosababishwa na uwepo wa nyoka wakubwa.
Wali, maziwa mtindi na baadhi ya vyakula vilivyopikwa vizuri.

Yani ukiwa porini ukahisi harufu ya chakula kizuri anza kukimbia mapema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SIYO WAOGA ILA WANA VIHEREHERE AKIONA ANATAKA KUJIFANYA MLINZI ANAPELEKA SHAMBULIZI ANANYAKWA HABARI YAKE KWISHA...... tena unakuta nyoka hana time na mbwa ila mbwa anakuwa kimbelembele front 😂😂😂 kumchokonoa Nyoka ....Dakika kadhaa kwisha habari yake ...waambieni mbwa wenu waache viherehere 😂😂😂😂😂
 
Haina ukweli wowote, mbwa akiona nyoka wa aina yeyote hata mjusi lazima atamfuata na kumnusa ili ajuwe kama ni chakula au la.
Mkuu hiyo haijibu kwa nini anakunja mkia na kulia kwa sauti ya woga na kulifuata hilo joka?.Mbona akitokea chui Mbwa huwa anamkimbia?
 
SIYO WAOGA ILA WANA VIHEREHERE AKIONA ANATAKA KUJIFANYA MLINZI ANAPELEKA SHAMBULIZI ANANYAKWA HABARI YAKE KWISHA...... tena unakuta nyoka hana time na mbwa ila mbwa anakuwa kimbelembele front kumchokonoa Nyoka ....Dakika kadhaa kwisha habari yake ...waambieni mbwa wenu waache viherehere

Jr
 
Back
Top Bottom