Ngozi ya chatu ni zaidi ya uijuavyo

Ngozi ya chatu ni zaidi ya uijuavyo

Ninayo ngozi ya chatu naimiliki kihahali kule kilingeni Msata... Karibu tufanye jaribio la pamoja
NAOMBA NIWE KINYUME NA MSHANA JR,KWANI NGOZI YA CHATU HAIWEZI AU HAINA UWEZO WA KUSABABISHA MBWA ATULIE KAMWE.

Mara nyingi chatu anapohisi mnyama wa aina fulani yu karibu nae,huitoa harufu kulingana na hitaji la windo husika.
-ikiwa ni binadamu hapo patanukia chakula maridadi sana.
-ikiwa ni mbwa basi hapo hutoa super clasic meat smell ambayo huwa haivumiliki.
##############
Matters of its nature when he is alives...!
 
. Mtu mwingine naye alimwona nyoka akipita njiani, akajishika kwa nguvu mkono kwenye wrist, nyoka hakuweza kusogea hata inchi moja mpaka alipouliwa.
hilo nimelishuhudia pia

Ni maajabu ya ajabu
 
Mbwa wangu anakula hadi chatu sasa nyie njoeni na chatu wenu muone kilicho mtoa kanga manyoya
 
  • Thanks
Reactions: R.K
. Mtu mwingine naye alimwona nyoka akipita njiani, akajishika kwa nguvu mkono kwenye wrist, nyoka hakuweza kusogea hata inchi moja mpaka alipouliwa.
hilo nimelishuhudia pia
Haya maajabu Kitu gani kinafanya ashindwe kusogea?
 
Mkuu sijaelewa.. Huwa anatofautishaga ngozi nyengine na nini?
Kuna article nilisoma kwamba mbwa hawezi kutifautisha rangi za ngozi ya chatu, hivyo akimuona chatu hubaki anashangaa kwa muda mrefu na chatu hutumia hiyo fursa kumkamata
 
Kule kwetu walitusimu kuwa chatu sbb anakula wanyama mdomo wake unaharufu kali za nyama. Kwa hiyo anapopanua mdomo Ile harufu inamvutia mbwa na kuifuata.
 
Kule kijijini mkiwa porini na mbwa ile hali ya kuhisi tu kuwa kuna joka kubwa karibu, kama mlikuwa mnatembea huku mnacheza, hachezi tena zaidi ya kulia, kufyata mkia na kuelekea aliko. Anakuwa hawezi kutii sheria tena bila shuruti. Unachofanya ni kutumia nguvu kwa kipigo au kumkamata kwa nguvu ili mbadili uelekeo.
Uzoefu wangu kutoka maeneo yenye historia ya kunukia wali porini kunakosababishwa na uwepo wa nyoka wakubwa.
Ukiwaeleza habari hii ya wali kunukia porini watu hawaelewi kabisa
 
Nataka nifanye utafiti naweza kupata dawa bora sana ya mvuto hasa kwa madomo zege na akina dada wanaosaka ndoa... Shida ni kwamba inaweza kuwa zana bora kabisa kwa matapeli na machangu
"Off Label Use" ktk madawa ya kizungu unaifahamu Mshana Jr? Mambo ya kawaida hayo mkulu!

Bazazi
 
NAOMBA NIWE KINYUME NA MSHANA JR,KWANI NGOZI YA CHATU HAIWEZI AU HAINA UWEZO WA KUSABABISHA MBWA ATULIE KAMWE.

Mara nyingi chatu anapohisi mnyama wa aina fulani yu karibu nae,huitoa harufu kulingana na hitaji la windo husika.
-ikiwa ni binadamu hapo patanukia chakula maridadi sana.
-ikiwa ni mbwa basi hapo hutoa super clasic meat smell ambayo huwa haivumiliki.
##############
Matters of its nature when he is alives...!
I think this makes sense
 
Hii kitu niliambiwa na wazee wangu enzi hizo, sijui ina ukweli gani
Ni kweli kabisa mkuu. Nimeshudia kabisa. Sisi kwetu zamani kulikuwa na nyoka hatari. Siku tuko shule,kulikuwa na poli kubwa la shule,tumeshuhudia hayo makitu,nyoka akijivua gamba ndio unasikia harufu ya wali
 
Good morning great thinkers, N sinkers.
Good morning JF. Good morning people!

Matukio ya kuvujiwa nyumba na kuibiwa hali ya kuwa tumeajiri walinzi wa asili na hata wa kisasa huku wengine wakiwa na silaha kali za moto kumesababisha wengine kutokuwa na imani nao tena.

Kufuatia hali hiyo ndio maana wenye uwezo kifedha wameamua kuongeza nguvu na mbwa wenye mafunzo. Na kwa wale wenye kipato cha kawaida wameamua kufuga mbwa kama walinzi waaminifu.

Lakini inakuwaje hata hawa walinzi waaminifu nao wanazidiwa maarifa na kujikuta nao wanalevywa ama kuibiwa kabisa? Kuna kutumia ujanja wa chakula chenye sumu ama madawa ya kulevya.

Lakini mbwa mwenye mafunzo hadanganyiki kamwe. HALI!!!

Akili ya binadamu hailali kila kitu kina mbadala wake. Wewe ukiwaza hivi. Kuna mwenzako anawaza vile. Kama mbwa wako ana mafunzo ya kutokula chochote bila idhini yako. Wenzako wamewaza zaidi ya hapo

Kuna sayansi ya nguvu ya uvutano kati ya mbwa na chatu. Mbwa akishakutana na chatu huishiwa na nguvu na kujikuta anajipeleka mwenyewe bila kupenda mpaka analiwa. Umegundua nini hapo? Kiboko ya mbwa ni chatu.

Hivyo basi siku hizi wezi wanatembea na ngozi za chatu kwenye yale majumba yenye mbwa wakali. Wakifanikiwa tu kuzama ndani na kumwoneshea mbwa wako mwenye mafunzo yote. Hupoteza nguvu zote na kujikuta anaifuata ngozi huku akitoa mate mdomoni na kutikisa tu mkia na kutoa kisauti chenye kutia huruma.

Hapo mwizi atakuwa na uchaguzi. Amuibe na mlinzi mwaminifu? Amuue? Amzimishe kwa muda? Ukiona watu wako busy mikoani kutafuta ngozi za chatu tambua zina matumizi zaidi ujuavyo

View attachment 1284247View attachment 1284248
Binafsi sijakutana na any scientific explanation kama hilo lipo.
Nimeona video clips kadhaa nyoka kadakwa na chatu na anajaribu kujinasua.
Mbwa wanajulikana for their good sense od smell lakini in principle hawawezi kusense uwepo wa nyoka!
Nahisi events za kujipeleka ni tunda la mbwa kuwa curious! Mwishowe anadakwa kiulaini.
Curiosity na sense of smell hupishana sana kati ya breeds za mbwa!
Ninachojua mbwa wanakula sana nyama ya chatu. More than once imetokea shambani kwangu. Lakini kwanza chatu aliyeuwawa hubabuliwa kwenye moto na kuchoma ngozi yake. Baada ya hapo mbwa hulishwa mapande
Nadhani ni eneo la kufanya utafiti
 
umeniongezea kitu

Video ilikuwa maarufu kwakuwa si kawaida kwa mbwa kuweza kufanya kitendo kama kile... Tuliowahi kwenda maporini na misituni tunajua hili....
Mshana na hili la nyoka kumwogopa mama mjamzito limekaaje? Maana hii habari si ngeni kule kwetu na wazee wsnasemsa kabisa kukiwa n nyoka ndani kama kunamjamzito mpeni kazi ya kuua huyo nyoka.
 
Back
Top Bottom