Hamna cha ngosha wala nini. Acha kuiba picha na kuzitafsiri visivyo.Ngosha ameshauza ng'ombe zake na sasa anatamba jijini dsm
We na wewe tulia basi huyo ni ngosha kama hutaki andamanaHamna cha ngosha wala nini. Acha kuiba picha na kuzitafsiri visivyo.
Acha tabia ya kipuuzi. Images may be subject to copyright.We na wewe tulia basi huyo ni ngosha kama hutaki andamana
Anataka kila picha iwe Na uhalisia utazan mtafitiMpuuzi ww , kwan kila picha zinazopostiwa humu zina mandhari halisi?
Ww kama ni Ngosha sema lakn ukweli ni kwamba huyo katoka kuuza ngombe ni ngosha
Kwanza sahihisha signature yako wewe kilaza. Ni courage na siyo caurage. Angalia ulivyoandika: Life shrinks or expands in proportion to one's caurage. Ha ha ha.Ww ndo limbuken ungekijua zaidi hili jukwaa la picha usingeleta upumbavu wako..
Ila kwa kuwa ww jinga ndio maana unaleta ujinga
Ngosha mbona unapanic sana?kwani si ni kweli hua mko ivyo?Inaonekana wewe bado ni limbukeni wa mtandao na ni kilaza kwa wakati mmoja.
Achana na sahihi yangu hapa tunajadili kinachotakiwa kupostiwa kwenye hili jukwaa..Kwanza sahihisha signature yako wewe kilaza. Ni courage na siyo caurage. Angalia ulivyoandika: Life shrinks or expands in proportion to one's caurage. Ha ha ha.
Kuna mmoja alipoingia madarakani alikuwa anatinga hizihizi !Ngosha ameshauza ng'ombe zake na sasa anatamba jijini dsm
Unajua Mfaranyaki iko wapi hapa Tanzania?Ngosha mbona unapanic sana?kwani si ni kweli hua mko ivyo?
Ha ha ha, unajidanganya. Huo ndio ninaouita ulimbukeni wa mtandao. Ndio maana unaandika caurage badala ya courage na huoni haya.Aisee sikujua kama najibizana na mtu mjinga na asiyejua chochote..
Sitajibizana na ww kwamaana hujui uandikalo
Jf yenyewe umeijua mwaka Jana halafu leo ndio unaleta ligi...
Nyinyi ambao wazazi wako wanabishana chumbani halafu ww unatega sikio kusikiliza
huyu nae hakuwepo kwenye mnada wa nyumba za Lugumi?