Ngosha baada ya kuuza ng'ombe

Ngosha baada ya kuuza ng'ombe

Hv wanaobishana ni jinsia gani? Maana kuna mabishano mengine ya ajabu ya jinsia flani hivi
 
Huyu atakuwa ni muuza korosho, maana sasa hivi wapo kwny chati
 
Ngosha ameshauza ng'ombe zake na sasa anatamba jijini dsm
1eea4512b36b78d6c4bc9c430873922f.jpg
Nduhu shiida!
 
Back
Top Bottom