Ngosha baada ya kuuza ng'ombe

Mgirik

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
13,204
13,182
Ngosha ameshauza ng'ombe zake na sasa anatamba jijini dsm
1eea4512b36b78d6c4bc9c430873922f.jpg
 
Ww ndo limbuken ungekijua zaidi hili jukwaa la picha usingeleta upumbavu wako..
Ila kwa kuwa ww jinga ndio maana unaleta ujinga
Kwanza sahihisha signature yako wewe kilaza. Ni courage na siyo caurage. Angalia ulivyoandika: Life shrinks or expands in proportion to one's caurage. Ha ha ha.
 
Kwanza sahihisha signature yako wewe kilaza. Ni courage na siyo caurage. Angalia ulivyoandika: Life shrinks or expands in proportion to one's caurage. Ha ha ha.
Achana na sahihi yangu hapa tunajadili kinachotakiwa kupostiwa kwenye hili jukwaa..
Hebu fuatilia post mbalimbali za kwenye ili jukwaa ... Ukishazifuatilia halafu njoo na hoja zako..

Tatzo unakariri sana
 
Aisee sikujua kama najibizana na mtu mjinga na asiyejua chochote..
Sitajibizana na ww kwamaana hujui uandikalo
55d941ffb673b659a1ffdc503b272072.jpg


Jf yenyewe umeijua mwaka Jana halafu leo ndio unaleta ligi...

Nyinyi ambao wazazi wako wanabishana chumbani halafu ww unatega sikio kusikiliza
Ha ha ha, unajidanganya. Huo ndio ninaouita ulimbukeni wa mtandao. Ndio maana unaandika caurage badala ya courage na huoni haya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom