SMU
JF-Expert Member
- Feb 14, 2008
- 9,616
- 7,863
da,
inakamata sana ngono ya wizi.
ni tamu ile mbaya na ina kilevi, ukionja hutaki acha.
Jamani na mimi ni muhanga wa ngono hizi, napenda mademu wa watu ile mbaya,
sijui nifanyeje ili nijinusuru na ulevi huu.??
Bujibuji,
Kwani hao mademu wa watu wana nini ambacho mkeo hana? Ukishapata jibu unaweza kuanzia hapo kutafuta tiba.