Ngono ya wizi inanoga kuliko tendo la ndoa katika Ndoa halali. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ngono ya wizi inanoga kuliko tendo la ndoa katika Ndoa halali.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mmaroroi, Apr 17, 2009.

 1. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kwa nyakati za sasa uzinifu si kitu cha ajabu tena.Wahusika wanadai kufaidi uasherati kuliko tendo la ndoa.Kumekuwepo kuchokana kwa wawili walio katika ndoa na kufanya mmojawapo ajaribu kutafuta kuridhishwa nje ya ndoa.Jamii yahitaji kuelimishwa juu ya kuridhishana katika ndoa kwani itafikia mahali ndoa itakuwa ni ya jina tuu.Kinachoshangaza ni kuwa wahusika hubadilika baada ya kufunga ndoa au baada ya makubaliano ya kuoana.Nakaribisha elimu juu ya hili.
   
 2. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2009
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kweli baba,,, kweli tena saana.
  Hapa tujadili NGONO YA WIZI INANOGA?
  Mi nasema tena sana
   
 3. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Kumbe kama mnaona inanoga na kuifagilia kwa saaaaana, iweje humu ndani watu wanalialia wamemegewa na wanahasira kuliko - kiasi cha kupandisha munkari na kuwaacha wake/wapenzi wao?
  Kwani huo wizi mnaufanya na nani?
  Kwanini wanaofurahia wasione ni kawaida tu kwenye maisha na kuwa its not abig deal!?WATU WANAKASIRIKA NINI SASA?
   
 4. S

  Sabri-bachani Member

  #4
  Apr 17, 2009
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 96
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tuna tatizo sisi waafrika tunavyochukulia ndoa (heshima za kindoa), na tendo la ndoa kama ni mchezo. Sasa mchezo ni mchezo. Unaweza ukacheza tu kwa uwazi na mwanandoa wako- Jee ndoa itachosha hapo? Mbona wenzetu wazungu haichoshi?
   
 5. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #5
  Apr 17, 2009
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  WoS usikasirike ni kweli vitu vya wizi ni vitamu! waulize wale wa EPA hela zilivyokwa tamu. Na kumbuka kuwa penye Tamu na Chungu pia huwepo. Mtu anapoiba Penzi iko siku atakamatwa tu na hapo ndo chungu hutokea!
  Sikufichi hapa nifanyapo kazi mara nyingi hutoka usiku sana. Kuna jamaa yangu kila wakati lazima umkute na PS wake wamo dimbani tena ofisini. Nikimuuliza jamaa akanambia we acha tu mazee hii kitu ni tamu si mchezo! Kwenye sofa ya ofisi kama si mezani. Haka ka mchezo kakanikumba na demu wa idara moja na mimi,,,,, nakwambia hivi siachi hata unambie nini,,,, ila mamsap anakaribia kugundua hapo cjui tena,,,,ila ni tamu!
   
 6. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #6
  Apr 17, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mh kuna alosema (simkumbuki) kuwa kwa mwanaume mwanamke mzuri ni yule ambaye hajammega. Kwa mantiki hiyo basi kila siku tuendelee kusikia vilio hivi.

  Stolen kisses are sweetest.

  Mimi nadhani kule kuzoeana katika ndoa ndiko kunakopunguza ladha ya mapenzi. Watu tunajamiana kwa kuwa ni wajibu wa mume/mke katika ndoa. Hapo utakuta yale manjonjo, ile hamu ya mwanamke kutaka kumwonyesha mwenio kuwa wewe ni zaidi, unajua kukizungusha kiuno mwanakwetu. Wewe unajua mitindo na mengine mengi ambayo ni vinogesho vya tendo hupunguzwa. Hali kadhalika kwa wanaume ile hali ya kutaka kuonyesha kuwa you are a good lover inapungua so kinachobakia ni mazoea tu. Sasa ukimpata wa nje kama wewe ni mwanaume utataka uonyeshe kuwa wewe ni zaidi ya mtu wa huyo unaecheat naye (kama ni mke wa mtu then unajitutumua kuonyesha kuwa mume wake mbele yako hafui dafu) na kwama wewe ni mwanamke unacheat na mume wa mtu unataka kumhakikishia kuwa wewe ni zaidi ya mkewe. So mnapokutana katikati lazima tendo liwe zuri na lenye faraja kuliko mazoea ulozoea ndoani kwako.
   
 7. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #7
  Apr 17, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Kwanini sasa ulimtema yule demu wako aliyekuwa anajivinjari na yule kibopa kama ndio ivo?Si ni ukweli wa maisha tu? Na siku mamsap wako akikugundua utafanyaje?samahani lakini maana this is too personal.
   
 8. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #8
  Apr 17, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,343
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  Nahisi mwanaume ana tendency ya kukariri ule mziki anaopigiwa kila wakipandisha milima na mamaa.Akifikiria kuna mtu mwingine huwa anapigiwa huo mziki lazima atachanganyikiwa. Halafu hivi vi michezo vya siku hizi vya Tigo ndo kabisaa.mtu hawezi ota bwana kwanini mkewe anatoka nje. Labda ni sababu ya kwenda kugawa Tigo mana ndani ya ndoa inataka roho ngumu kuomba au kugawa Tigo.
  Ila ninachokiona ni kuwa ndoa nyingi za leo ni ndoa jina tu.Hatuthamini tena values za ndoa wajameni
   
 9. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #9
  Apr 17, 2009
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Nilimtema maana nilikuwa sijajua utamu wa wizi. Lakini baada ya kujua we! asikwambie mtu. Mamaa akijajua nitakuja huku kuomba ushauri! Si mtanipa ama? Nina MJ1 na WoS, Fidel na Masanilo tooooooooooooosha kabisa.
   
 10. Makonyagi

  Makonyagi Member

  #10
  Apr 17, 2009
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hic!
  Konyagi ya wizi inanoga pia burp!
  Enewei ngoja nijaribu kutoka nje ya ndoa kisha nitamwaga ripoti hapa jinsi inavyonoga.... hic!
  Kelly upo wapi haaaaniii?
   
  Last edited: Apr 17, 2009
 11. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #11
  Apr 17, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Yaani inanichekesha hivi nyie wanaume mnadhani sie hatuumii tunapojua kuwa mnaibia nje? Kwa nini mkasirike sisi tukifanya hivyo? Hata sie tunajiuliza kwata tunalochezeshwa na mwenzangu anachezeshwa hiyo? au unavyonikunja na kunipinda na mwenzangu naye auakunjwa na kupindwa hivyo hivyo au inauma sana. Afadhali mngekuwa mkitoka hamuwarushi kisawasawa ili usije nogewa lakini mh ndio kwanza mnaonyesha hata yale ambayo kwa mkeo hujawahi kuyafanya.

  Ila kwa jinsi kasi ya Express yourself inavyoongezeka kwa wale ambao wake ni ngumu kutoa huduma hiyo basi tusahau kama tuna waume maana akikamatwa nje nadhani hawezirudi.
   
 12. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #12
  Apr 17, 2009
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Jamani hii express yourself ikoje? Mi nataka nijaribu,,,unaanzaje. Nsije nikazabwa vibao bure.... Mtaalamu Fidel upo? Toa somo hapa.
   
 13. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #13
  Apr 17, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Wana JF tufikie tuache kutetea zinaaa.......kumbukeni ahadi zenu kanisani/msikitini/bomani....u guys mko serious kwenye ndoa kweli kwa maneno haya?
   
 14. Makonyagi

  Makonyagi Member

  #14
  Apr 17, 2009
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilikuwa sijui kama weye una jinsia ya jirani
  Hic
  hic
  naweza kuproposo?
  nataka kutoka nje hebu uje nikufundishe tunavyowakunja huko barazani
   
 15. Makonyagi

  Makonyagi Member

  #15
  Apr 17, 2009
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ..Unampiga BRUSH atafungua geti mwenyewe. utaona analazimisha kurudi rivas hapo ndipo penye nafasi ya kushambulia ghafla tena mno.

  Unajua kupiga brush wewe??
   
 16. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #16
  Apr 17, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  .......... Ni kweli unavyosema Yo yo kuwa tunaonekana kama tunatetea zinaa ila kusema ukweli haya mambo yapo na yanafanyika pamoja na kuwa watu wanaelewa fika ndoa ni nini. Sidhani kama kuna ubaya kujadili na kujaribu kufahamu haya mambo kwani yanatugusa sana kutokana na shuhuda mbalimbali za watu. "Tukisema hatuna dhambi tunajidanganya wenyewe"
   
 17. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #17
  Apr 17, 2009
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hatutetei zinaa tunaongelea zinaa! Wote wafanyao zinaaa wana ndoa zao. Wasio na ndoa wanafanya ngono.
   
 18. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #18
  Apr 17, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Mkuu penzi la wizi duhhh taaamu balaa tela lile la chap chap kama unaibia house girl wa mtu mnakaa nyumba mmoja mnaviziana bafuni asubuhi au usiku dah mkuuu yaani utaona siku mbona zinaenda fasta...kama ndo mmeweka timetable weweee balaaa mzee Mangi.
   
 19. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #19
  Apr 17, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  . kaka kama hujawahi kujaribu nakushauri usianzie kwa mkeo. Tafuta mzoefu ili uweze kujua kama inakufaa au la kama haikufai ishia huko huko wala usimwambie wifi. Ukianza kwa wifi moja kwa moja hukawii kweli kuzabwa kofi likifuatiwa na kunyimwa wiki nzima.... unataka huko karibu na mlango wa kutokea mtoto! Mna matatizo nyie
   
 20. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #20
  Apr 17, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Kamanda, inaelekea full time upo bwaksi
   
Loading...