Penny
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 575
- 48
Nahisi mwanaume ana tendency ya kukariri ule mziki anaopigiwa kila wakipandisha milima na mamaa.Akifikiria kuna mtu mwingine huwa anapigiwa huo mziki lazima atachanganyikiwa. Halafu hivi vi michezo vya siku hizi vya Tigo ndo kabisaa.mtu hawezi ota bwana kwanini mkewe anatoka nje. Labda ni sababu ya kwenda kugawa Tigo mana ndani ya ndoa inataka roho ngumu kuomba au kugawa Tigo.
Ila ninachokiona ni kuwa ndoa nyingi za leo ni ndoa jina tu.Hatuthamini tena values za ndoa wajameni
Zinaitwa BORA NDOA na sio NDOA BORA!