Sababu za Mwanamke kukosa hamu ya tendo la ndoa

Aug 17, 2023
9
58
Zipo sababu nyingi zenye kuwapa wakati mgumu wanawake wengi katika uhitaji/hamu ya kushiriki tendo la ndoa.

Zifuatazo ni miongoni mwa sababu za wanawake kukosa hamu ya tendo la ndoa:-

1. Utokwaji wa uchafu ukeni (Vaginal discharge)
2. Harufu mbaya ukeni wakati wakushiriki tendo la ndoa
3. Fangasi sugu/Miwasho baada ya kushiriki tendo la ndoa.
4. Kuhisi maumivu na michubuko/uke kuwaka moto wakati wa tendo la ndoa
5. Uke kuwa mkavu sana.
6. Kuwa na historia ya kunyanyapaliwa kijinsia.
7. Upungufu wa madini chuma mwilini.
8. Kutokubalansi kwa homoni.
 
1. Kausha damu.

2. Vikoba.

3. Nguo za sikukuu

4. Birthday party finance

5. Pornography addiction.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom