Ngono Makazini...

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
Takwimu zinaonyesha kuwa kuna Idara fulani za Serikali maambukizi ya Ukimwwi yapo juu sana, labda inatokana na kuona suala la ku-ngonoka ni jambo la kawaida sana.

Idara hizi ni pamoja na Mambo ya Ndani (hususan Polisi), Elimu (waalimu) na Ulinzi (Jeshini)...kuna jamaa yangu ananieleza kuwa kwa baadhi ya sehemu, mapolisi wa kike kutoa ofa ya ngono kwa maafande wao pengine sio jambo la ajabu ni sehemu tu ya maisha ili kuweza kupewa favour fulani ikiwemo kupandishwa cheo, kupandiwa kituo kizuri cha kazi nk..sina hakika kichoche kikubwa cha hili, Je, ni uelewa mdogo wa wahusika, mazingira ya kazi au?? na kwa nini katika Idara nyingine msukumo wa ngono upo finyu...??

Sina hakika, inadaiwa oia ukiacha maofisini, hata kwenye makazi ya makamanda (Quarters) dhana ya "Ngono shirikishi" miongoni mwa wanafamilia za makamanda wanaoishi Kotazi linazidi kushamili kila kukicha....na hili linapelekea familia nyingi kupotea.
 
Sekta hizo zina watumishi wengi sana kote nchini, kiasi kwamba ishu ya mshahara ina mgogoro.
Kuongeza Mshahara kwa e.g Walimu ni ishu inayotaka roho ngumu, maana hata ukiongeza 10K tu@, basi umejiongezea msalaba mkubwa mno wa bajeti. Matokeo yake, hali ya shida na matatizo ya fedha inawalazimisha watu wa idara hizi kukubaliana na matakwa ya wanaume wajanja kirahisi na bila kujali mazingira!
 
If this is the finding..........

In Tanzania – 47% of women working class granted sexual favours to be offered a job (Mwananchi Newspaper - 17th March, 2011)

The question is kwani akisha anza kazi hawataendelea? Makazini balaaaaaaa!
 
Nashindwa kuamini... hivi sexual favours maana yake nini? inaweza kua kwenda diner, a kiss au ndio sex yenyewe? walisema nature ya hizo favours ikoje? kama ni sex as sex basi ni hatari sana!
 
Kwa upande wa walimu kwa mfano, walimu wa kike wanapenda kufanya kazi vituo vya mijini. Na kwa kweli wamejaa mijini kwa kutoa rushwa ya uzinzi kwa maafisa elimu wakware.
Kwa hiyo kama afisa elimu ameathirika ataweza kuambukiza population kubwa ya walimu na wenza wao. Habari ndio hiyo.
 
Nashindwa kuamini... hivi sexual favours maana yake nini? inaweza kua kwenda diner, a kiss au ndio sex yenyewe? walisema nature ya hizo favours ikoje? kama ni sex as sex basi ni hatari sana!

Mwananchi ni gazeti la Kiswahili - inawezekana mm ndio translation yangu imekua mgogoro - ila walimaanisha rushwa ya ngono...... Someone may question on the authenticity of the sample size and so how representative is the sample size.... But simply, the findings provide an alarming eye opener....
 
Rushwa ya ngono is very explicit...
Mi naendelea kua na shaka na research hiyo. hivi kama Tanzania nzima ni 47%, hizo idara ni ngapi zikichukuliwa kwa upekee? Alafu angalia vile kuna waalimu wengi wa kike...
Kwa kweli kuna vitu vingine ni bora tuendelee kupinga tu sababu vikiwa kweli vitaumiza sana.
 
If this is the finding..........

In Tanzania – 47% of women working class granted sexual favours to be offered a job (Mwananchi Newspaper - 17th March, 2011)

The question is kwani akisha anza kazi hawataendelea? Makazini balaaaaaaa!

Survey nyingine bwana! Sample size ilikuwaje?
Hao 47% walitoa ngono kwa % ya wanaume?..na hao wanaume waliopewa ofa nao waliendeleza libeneke kwa % gani ya %gani ya jamii?...nadhani unaona maswali yanavyoweza kuzaliwa.......
 
umesahau sehemu moja nyeti sana
inayounda feza za nchi hii
nako wanangonoka zaidi hata ya hao,
uliowataja hapo juu.
 
Rushwa ya ngono is very explicit...
Mi naendelea kua na shaka na research hiyo. hivi kama Tanzania nzima ni 47%, hizo idara ni ngapi zikichukuliwa kwa upekee? Alafu angalia vile kuna waalimu wengi wa kike...
Kwa kweli kuna vitu vingine ni bora tuendelee kupinga tu sababu vikiwa kweli vitaumiza sana.
:poa:juggle::A S-coffee::photo:
 
Survey nyingine bwana! Sample size ilikuwaje?
Hao 47% walitoa ngono kwa % ya wanaume?..na hao wanaume waliopewa ofa nao waliendeleza libeneke kwa % gani ya %gani ya jamii?...nadhani unaona maswali yanavyoweza kuzaliwa.......

Bi Tausi,

Maswali ni mengi kwa kardi mtu unavyoweza kuwaza ... BUT THE THING IS....

... In Tanzania – 47% of women working class granted sexual favors to be offered a job (Mwananchi Newspaper - 17th March, 2011)

Kwani smbale size ikiwa ni Watano ... Itakuwaje dhidi ya Sample size ikiwa Laki moja..?

Tunataka kusema nini .... dhidi ya kuwa ... In Tanzania – 47% of women working class granted sexual favours to be offered a job (Mwananchi Newspaper - 17th March, 2011)

Hakuna rushwa ya NGONO? Kisi kinabadilisha nini?

Tusaidiane kwenye hili!!!
 
If this is the finding..........

In Tanzania – 47% of women working class granted sexual favours to be offered a job (Mwananchi Newspaper - 17th March, 2011)

The question is kwani akisha anza kazi hawataendelea? Makazini balaaaaaaa!
Ndo hapo sasa, tatizo kwake litakuwa kama ni kweli alifanya ngono kwasababu ya kazi na hakufurahia tendo hilo...Where as kuna wenine hawaoni shida, hapo sijui ni mazoea utamaduni ama ni kitu gani.

Issue hii mara nyingi kisheriahuwa inakuwa proved kama kuna ushahidi wa "Quid quo Pro"
 
If this is the finding..........

In Tanzania – 47% of women working class granted sexual favours to be offered a job (Mwananchi Newspaper - 17th March, 2011)

The question is kwani akisha anza kazi hawataendelea? Makazini balaaaaaaa!

Goodness gracious!! That is astonishing.
 
Back
Top Bottom