Ngono au Pesa?

Kweli vyote ni muhimu lakini usifanye mzaha na kupigika, umewahi kuumwa na njaa wewe? Hapo ndio utaujua umuhimu wa pesa.
Kuhusu ngono ni sera zako tu. Hata ukipigika unaweza kuongea vizuri na dada Lizzy akakupa hisani au smile akakupa mkopo.

Mkuu umenifurahisha hapo kwenye HISANI :lol:
Lakini kwa mimi mkulima nipo huku kijijini, chakula natoa shambani kwangu.
 
Nini kitanifanya nistahili?

Kwa mujibu wako, kuwa na kazi na mpenzi. Sasa kama huna kazi ambayo itakupa pesa unayostahili na huna mpenzi wa kukupa 'tunda'. Pale unapopewa offer na mtu, uchague kimojawapo, utachagua kipi?
 
Sitochagua chochote kwasababu sipendi vitu vya kupewa pewa.
 
Ni kipi muhimu zaidi ya kingine. Ngono/tendo la ndoa au Pesa/mshiko/faranga???
what i know bin-Adam wa kwanza alitabasamu kwa mara ya kwanza alipomwona Eva.....kumbuka hawakuwa na "pamba" vle vle hii kitu ni asili tofauti na mpunga.......! ndugu ukiambiwa ushuke upewe hela utashuka?
 
Kweli vyote ni muhimu lakini usifanye mzaha na kupigika, umewahi kuumwa na njaa wewe? Hapo ndio utaujua umuhimu wa pesa.
Kuhusu ngono ni sera zako tu. Hata ukipigika unaweza kuongea vizuri na dada Lizzy akakupa hisani au smile akakupa mkopo.
Nadhani wewe utafaa zaidi kutoa hiyo HISANI.
Kwako lizzy anytime, ukijisikia unataka huduma ni PM
 
Kweli vyote ni muhimu lakini usifanye mzaha na kupigika, umewahi kuumwa na njaa wewe? Hapo ndio utaujua umuhimu wa pesa.
Kuhusu ngono ni sera zako tu. Hata ukipigika unaweza kuongea vizuri na dada Lizzy akakupa hisani au smile akakupa mkopo.

Mkuu umenifurahisha hapo kwenye HISANI :lol:
Lakini kwa mimi mkulima nipo huku kijijini, chakula natoa shambani kwangu.
Kama unauwezo wa kuhudumia tumbo chagua ngono
 
Mi nachagua pesa kwani nikiwa na pesa hata wake za watu wanifuata wenyewe.
 
Back
Top Bottom