Ngono au Pesa?

Yule aliyechekelea HISANI na aliyepropose HISANI wote ni ME, itakuwa ngumu kidogo wapeane hisani wao wenyewe :shock:

Ila mmoja wao ndio mhitaji na mwenzake ameona umuhimu hivyo wamalizane wenyewe.Huwezi tembea na mwenzako mjini ukamfinya ampe omba omba sh.200 wakati hata wewe una wallet yako. Kama unaona ni muhimu kumpa, unampa wewe.
 
Back
Top Bottom